Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 27,934
- 35,422
Hawa hawawezi kuvuliwa chochoteKanisa Moja Takatifu la Mitume 😀
Hawa hawawezi kuvuliwa chochoteKanisa Moja Takatifu la Mitume 😀
Remark: Excellent guy😄"Hadhi ya Ubalozi"?
Hiyo ni kitu gani ukilinganisha na "Hadhi ya Kupambania nchi"?
Kwa hiyo hii ndiyo njia inayowanyamazisha wajaza matumbo kama akina Kabudi na wengine wengi wasivuliewe "Hadhi"?
Kwa mdomo wake alitamka na kutabiri haya yanayoendelea muda huuIla hii wala sio habari kubwa kwa sasa. Ilitarajiwa siku nyingi sana kuwa itakuwa hivyo. Mjadala wa bandari ni muhimu zaidi kuliko hadhi ya kitu chochote. Tuendelee kujadili!
Lakini bado Maswali kuhusu bandari yataendelea kuulizwa na atatakiwa kuyajibu! Tuliwambia kuwa huyu Rais awezi kustahimili vishindo kama anayojigamba hahahahahah kiko wapi? Sasa ubalozi ulikuwa unamsaidia nini Dk Slaa? 🤣 😂😂😂DKt Wilbroad Slaa amevuliwa hadhi ya ubalozi kuanzia leo Septemba 1, 2023.
Taarifa imetolewa hivi punde na Ikulu katika mtandao wa kijamii wa X ama Twitter.
Hayati Rais John Pombe Magufuli alimteua Dkt. Willibroad Slaa ambaya ni Katibu Mkuu wa zamani wa chama cha Upinzani, CHADEMA kuwa Balozi mnamo Novemba 23, 2017
View attachment 2735976
udaktariUpadri kavuliwa.
Ubalozi kavuliwa
Imebaki nini???
Sababu inaweza kuwa nini?na ni zipi hadhi za kibalozi mwana diplomasia yeyote ajitolee kuelimisha kwa ajili ya jamii atadhali.Yalitarajiwa, lilikua ni suala la muda tu
Kwani ubalozi ulikuwa unamlisha habahabMambo ya asali, wewe kama ni mtu wetu ni wetu kama ni wa pembeni utakaa mbali ni suala la muda,
Ila raha sana CCM wana njia nzuri sana za kulinda maslahi yao
Najua haiwezi kuwa heshima wala nguo🤔udaktari
Hyo hadhi unaipata mara na baada ya kuwa au kuwahi hudumia kama baloziAlipokuwa anaushi Canada alikuwa na hiyo hadhi?