DKt Wilbroad Slaa amevuliwa hadhi ya ubalozi kuanzia leo Septemba 1, 2023.
Taarifa imetolewa hivi punde na Ikulu katika mtandao wa kijamii wa X ama Twitter.

Hayati Rais John Pombe Magufuli alimteua Dkt. Willibroad Slaa ambaya ni Katibu Mkuu wa zamani wa chama cha Upinzani, CHADEMA kuwa Balozi mnamo Novemba 23, 2017

View attachment 2735983

=====
Childish move!!!
 
Lakini bado Maswali kuhusu bandari yataendelea kuulizwa na atatakiwa kuyajibu! Tuliwambia kuwa huyu Rais awezi kustahimili vishindo kama anayojigamba hahahahahah kiko wapi? Sasa ubalozi ulikuwa unamsaidia nini Dk Slaa? 🤣 😂😂😂

Maswali na hoja za bandari zikijibiwa vyema wala ubalozi wa mtu hautokuwa kikwazo
Halafu ni bogaz 🤣 na asivyo na akili hajui kuwa hapo ndio kampa Kiki kubwa sana slaa, labda slaa akamatwe au afe. Ndio patakua kimya

Ila slaa alivyomkorofi ndio atatema cheche zaidi. Maana slaa akiongelea ishu ya DP world huwa anamshambulia bitozo moja kwa moja
 
DKt Wilbroad Slaa amevuliwa hadhi ya ubalozi kuanzia leo Septemba 1, 2023.
Taarifa imetolewa hivi punde na Ikulu katika mtandao wa kijamii wa X ama Twitter.

Hayati Rais John Pombe Magufuli alimteua Dkt. Willibroad Slaa ambaya ni Katibu Mkuu wa zamani wa chama cha Upinzani, CHADEMA kuwa Balozi mnamo Novemba 23, 2017

View attachment 2735983

=====
isingewezekana kuendelea kuinjoy privileges and immunities za kua hadhi ya balozi kitaifa na kimataifa hali ya kua ukosoaji wake sio wa kidiplomasia.
 
Back
Top Bottom