ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 45,536
- 52,597
Waziri anayetaka kuleta mabadiliko kwenye kilimo kwa kupractice theory
View: https://www.instagram.com/p/C2an2fxtZsX/?igsh=MW1haDVhbnI2bmR5MA==
Waziri anayetaka kuleta mabadiliko kwenye kilimo kwa kupractice theory
Jana kawadanganya watanzania kua vijana wamekabidhiwa mashamba na vitu kibao but uhalisia hamna kijana hata mmoja Alie pewa shamba na hamna hata heka moja iliyo wekewa miundo mbinu
Asante kwa kunitia moyo. Comments za baadhi ya watu zinakatisha tamaa, maana wanajua tu kukejeli au kutukana, lakini kwa kuwa mpo wenye hekima mnao-appreciate mawazo ya uboreshaji, basi sitakata tamaa.Mr Bams you seem to be smartest Katika kilimo naomba uendelee kuwapa ushauri Serikali kwakuwa ndo mradi/miradi inaenda kutekelezwa. Recently in wrong way.
Mkuu usichoke kutoa njia sahihi za kufikia lengo
Tungekuwa na waandishi wa habari za kiuchunguzi wangeenda mpaka huko alikosema vijana wamekabidhiwa mashamba, wakaleta ukweli wa habari. Lakini huu mradi wa Bashe kwa ujumla ni upigaji wa pesa tu. Naona marafiki zake ndio wanapewa kandarasi za ajabu ajabu za mamia ya mamilioni. Wanaweka fence kuzunguka maeneo eti yaliyotengwa kwaajili kilimo cha mahindi. Hizo fence zinasaidia nini? Maana hazizuii ng'ombe kupita wala binadamu. Sasa ni za nini? Mradi huu ni wizi mkubwa wa pesa ya umma.Jana kawadanganya watanzania kua vijana wamekabidhiwa mashamba na vitu kibao but uhalisia hamna kijana hata mmoja Alie pewa shamba na hamna hata heka moja iliyo wekewa miundo mbinu
Mkuu ,mbona nyuzi zako umezifunga MTU hawezi kusoma nyuzi za nyumaAsante kwa kunitia moyo. Comments za baadhi ya watu zinakatisha tamaa, maana wanajua tu kukejeli au kutukana, lakini kwa kuwa mpo wenye hekima mnao-appreciate mawazo ya uboreshaji, basi sitakata tamaa.
Mm naandika nikiwa eneo la tukio hamna Cha maana zaidi ya kuwapotezea vijana future zaoTungekuwa na waandishi wa habari za kiuchunguzi wangeenda mpaka huko alikosema vijana wamekabidhiwa mashamba, wakaleta ukweli wa habari. Lakini huu mradi wa Bashe kwa ujumla ni upigaji wa pesa tu. Naona marafiki zake ndio wanapewa kandarasi za ajabu ajabu za mamia ya mamilioni. Wanaweka fence kuzunguka maeneo eti yaliyotengwa kwaajili kilimo cha mahindi. Hizo fence zinasaidia nini? Maana hazizuii ng'ombe kupita wala binadamu. Sasa ni za nini? Mradi huu ni wizi mkubwa wa pesa ya umma.
Duh! Zile picha za kuwa vijana wameshapewa mashamba, wamejengewa nyumba, wamejengewa mifumo ya umwagiliaji, yooote hayo hakuna kitu.vijana wamewekwa chambo ili bashe aendelee kupigia hela