Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 16,968
- 42,214
- Thread starter
- #81
Walipewa misaada gani? Au hizo mbolea za ruzuku?Washapewa sana hao unao waita wakulima tena wengine mkawaita investors lakin hamna Cha maana walicho fanya ngoja na vijana nao wapewe
Sijawahi kusikia Serikali ikipeleka barabara wala umeme mashambani. Wanasafurisha mazao yao kwa taabu sana toka mashambani. Wanashindwa kumwagilia kwa sababu hakuna umeme, na huwezi kumwagilia kwa generator za umeme.