Rais Samia amdhibiti Bashe, mradi wa Kilimo kwa Vijana ni kichaka cha upotevu wa pesa ya Umma

Mr Bams you seem to be smartest Katika kilimo naomba uendelee kuwapa ushauri Serikali kwakuwa ndo mradi/miradi inaenda kutekelezwa. Recently in wrong way.

Mkuu usichoke kutoa njia sahihi za kufikia lengo
Asante kwa kunitia moyo. Comments za baadhi ya watu zinakatisha tamaa, maana wanajua tu kukejeli au kutukana, lakini kwa kuwa mpo wenye hekima mnao-appreciate mawazo ya uboreshaji, basi sitakata tamaa.
 
Jana kawadanganya watanzania kua vijana wamekabidhiwa mashamba na vitu kibao but uhalisia hamna kijana hata mmoja Alie pewa shamba na hamna hata heka moja iliyo wekewa miundo mbinu
Tungekuwa na waandishi wa habari za kiuchunguzi wangeenda mpaka huko alikosema vijana wamekabidhiwa mashamba, wakaleta ukweli wa habari. Lakini huu mradi wa Bashe kwa ujumla ni upigaji wa pesa tu. Naona marafiki zake ndio wanapewa kandarasi za ajabu ajabu za mamia ya mamilioni. Wanaweka fence kuzunguka maeneo eti yaliyotengwa kwaajili kilimo cha mahindi. Hizo fence zinasaidia nini? Maana hazizuii ng'ombe kupita wala binadamu. Sasa ni za nini? Mradi huu ni wizi mkubwa wa pesa ya umma.
 
Asante kwa kunitia moyo. Comments za baadhi ya watu zinakatisha tamaa, maana wanajua tu kukejeli au kutukana, lakini kwa kuwa mpo wenye hekima mnao-appreciate mawazo ya uboreshaji, basi sitakata tamaa.
Mkuu ,mbona nyuzi zako umezifunga MTU hawezi kusoma nyuzi za nyuma
 
Tungekuwa na waandishi wa habari za kiuchunguzi wangeenda mpaka huko alikosema vijana wamekabidhiwa mashamba, wakaleta ukweli wa habari. Lakini huu mradi wa Bashe kwa ujumla ni upigaji wa pesa tu. Naona marafiki zake ndio wanapewa kandarasi za ajabu ajabu za mamia ya mamilioni. Wanaweka fence kuzunguka maeneo eti yaliyotengwa kwaajili kilimo cha mahindi. Hizo fence zinasaidia nini? Maana hazizuii ng'ombe kupita wala binadamu. Sasa ni za nini? Mradi huu ni wizi mkubwa wa pesa ya umma.
Mm naandika nikiwa eneo la tukio hamna Cha maana zaidi ya kuwapotezea vijana future zao
 
Hii project ni janja ya kupiga pesa tu .wana wanyonya vijana kadri iwezekanavyo wapige pesa ..nawaonea huruma sana asee kwa yanayo endelea uko walipo
 
vijana wamewekwa chambo ili bashe aendelee kupigia hela
Duh! Zile picha za kuwa vijana wameshapewa mashamba, wamejengewa nyumba, wamejengewa mifumo ya umwagiliaji, yooote hayo hakuna kitu.

Hata hayo matrekta, na yenyewe hakuna kitu
 
Back
Top Bottom