Hiyo itasaidia kubana matumizi.Waziri mkuu ana uwezo wa kupanda ndege mara kwa mara kuja dar kwenye vikao na kurudi dom.
swissyoukwa pesa za mtanzania wakati wanachuo hawana pesa za kujikimu.
wewe huna Elimu ya juu.
swissme
Changamoto hazikimbiwi...kwa muda tuu badae watakuwa karibu nadhani Hilo nijambo dogo tuu.
hizo gharama za serikali sio zakuzuia jambo lamuhimu kama hili kufanyika,isitoshe ni sisi wananchi tutafaidi izopesa za serikali na tutawapa tena kwanjia ya kodi! Nimzunguko tuu wa pesa...Lakini tutakuwa tumeshaingia gharama kiasi gani?
Unadhani zile serikali ambazo zinasemwa kuwa zimefilisika unadhani huwa hazina fedha za kuwafaidisha wananchi wake. Tatizo fedha ni dhana tu wala si kitu halisi, na ili hiyo dhana (Fedha)iwe na thamani ni lazima serikali iwe na mipango yenye tija kiuchumi. Kuhamia Dodoma si mradi wenye tija kiuchumi!!hizo gharama za serikali sio zakuzuia jambo lamuhimu kama hili kufanyika,isitoshe ni sisi wananchi tutafaidi izopesa za serikali na tutawapa tena kwanjia ya kodi! Nimzunguko tuu wa pesa...
Kwani mawasiliano na Rais wa Zanzibar wanafanyaje? Umeshajiuliza hilo?Najaribu kufikiria, Waziri mkuu Kassim Majaliwa anatarajia kuhamia Dodoma mwanzoni mwa mwezi septemba mwaka huu.
Wakati huo Rais atakuwa bado yuko Dar es salaam, mimi nadhani Rais na waziri mkuu ukutana mara kwa mara ili kujadili mambo mbalimbali, ikiwemo mikutano na baraza la mawaziri.
Swali langu, je watakuwa wanafanya vikao kwa Skype?, Au kuna nchi yoyote duniani ambapo waziri mkuu na Rais wanakuwa miji tofauti ama Tanzania itakuwa ya kwanza?
Nadhani lingeanza bunge kuonyeshwa LIVE kwa SkypeNajaribu kufikiria, Waziri mkuu Kassim Majaliwa anatarajia kuhamia Dodoma mwanzoni mwa mwezi septemba mwaka huu.
Wakati huo Rais atakuwa bado yuko Dar es salaam, mimi nadhani Rais na waziri mkuu ukutana mara kwa mara ili kujadili mambo mbalimbali, ikiwemo mikutano na baraza la mawaziri.
Swali langu, je watakuwa wanafanya vikao kwa Skype?, Au kuna nchi yoyote duniani ambapo waziri mkuu na Rais wanakuwa miji tofauti ama Tanzania itakuwa ya kwanza?
Kwahiyo nini logic ya kuhama?Waziri mkuu ana uwezo wa kupanda ndege mara kwa mara kuja dar kwenye vikao na kurudi dom.
kwa pesa za mtanzania wakati wanachuo hawana pesa za kujikimu.
wewe huna Elimu ya juu.
swissme
Kwani bara hawana bajeti?Zanzibar ni serikali nyingine kabisa, wana bajeti zao na mifumo yao