Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 1,898
- 943
Wana-Ruangwa Wamshukuru Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb)
"Kwa muungwana ukweli kwake ni ibada. Ni ukweli Usiopingika kwamba, kwetu Wana Ruangwa hatukudai. Karibu matatizo yote umeyamaliza, tulizobakiwanazo ni changamoto" - Wananchi Ruangwa
"Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa Umetuheshimisha, umetupa thamani kubwa, umeongeza ubora wetu, umetufanya tuwe wa mfano" - Wananchi Ruangwa
"Wajibu wetu 2025 ni kukutunzia heshima yako na kukutambulisha ya kwamba Wana Rungwa ni waungwana, wanatambua mchango wako katika maisha yao." - Wananchi Ruangwa