Nkobe
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 2,162
- 3,162
Najaribu kufikiria, Waziri mkuu Kassim Majaliwa anatarajia kuhamia Dodoma mwanzoni mwa mwezi septemba mwaka huu.
Wakati huo Rais atakuwa bado yuko Dar es salaam, mimi nadhani Rais na waziri mkuu ukutana mara kwa mara ili kujadili mambo mbalimbali, ikiwemo mikutano na baraza la mawaziri.
Swali langu, je watakuwa wanafanya vikao kwa Skype?, Au kuna nchi yoyote duniani ambapo waziri mkuu na Rais wanakuwa miji tofauti ama Tanzania itakuwa ya kwanza?