Rais Samia Ampa Pole Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwa Kufiwa na Kaka Yake

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa alimpotembelea nyumbani kwake kumpa pole ya kufiwa na kaka yake Issa Juma Nangalapa aliyefariki alfajiri ya leo Jijini Dar es Salaam tarehe 5 Novemba, 2023
 
Attachments

  • IMG_9659.jpeg
    IMG_9659.jpeg
    127.9 KB · Views: 9
  • IMG_9658.jpeg
    IMG_9658.jpeg
    156.4 KB · Views: 7
  • IMG_9657.jpeg
    IMG_9657.jpeg
    125.3 KB · Views: 7
Poor comment,ina maana PM na kaka yake walijua watakuwa kwenye system kabla hawajazaliwa
Nina uncle wangu yupo ndani ya mfumo, ana watoto watano wote kila mtu ana jina lake la ubini. Hata yeye jina lake na ndugu zake akiwemo mama hayaendani japo ni watoto wa baba na mama mmoja. Yeye alianza akiwa na jina lake ila akabadili. Ni miongon mwa sababu pia kuna sababu nyingine.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa alimpotembelea nyumbani kwake kumpa pole ya kufiwa na kaka yake Issa Juma Nangalapa aliyefariki alfajiri ya leo Jijini Dar es Salaam tarehe 5 Novemba, 2023

R.I.P
 
Back
Top Bottom