Rais Magufuli Anaishi Maisha Halisi ya Mtanzania

Huyu jamaa alileta uzi huu akidhani wote ni Kidumu cha mapinduzi, kidumuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! Some people can digest issues before making an applause! Mimi sijawahi kumshangilia mkuu wa lolote maana naona mapungufu mengi kwa kila anachokifanya!

Ata kama upo upinzani mkuu lakin yy ndo mwenye panga, Kumbuka kelele za chura hazimzuii cow kunywa maji
 
Asilimia kubwa ya watanzania tunaishi kijijin mkuu na maisha yetu kutoka Tarime to Ruangwa sidhani kama yanatofauti sana, mana kero ni zile zile

Kama uku kwetu nazoa taka kwa mkono na sini kama ni uchafu kivile na mhe Rais anafanya the same kwa nn nisijifananishe nae kwan dhambi
Ndio maana tunaambiwa 71% ha watanzania huwa wana mind vitu vidogo vidogo, how kuzoa taka kwa rais kutakupa mkate wako leo, kesho, keshokutwa...
 
Ha ha ha! Eti Rais anaishi maisha ya kijijini kwenu! Mbona hueleweki wewe? Yaani yale mabanda ya tembe pale kijijini kwenu ndio unayafananisha na ule mjengo mweupe - Ikulu? Yaani wale maksai au punda pale kijijini kwenu ndio equivalent na yale ma-bullet proof meusi? Acha ujinga Mkuu usitake kutibua watu bure.
Punguza hasira mkuu, ndio rais anaishi ikulu, lakini anaishi kwenye mioyo ya watanzania!
Mleta mada ameandika kifasihi zaidi. Usipomwelewa kwa mkitadha huo you are likely to argue negatively.
 
Punguza hasira mkuu, ndio rais anaishi ikulu, lakini anaishi kwenye mioyo ya watanzania!
Mleta mada ameandika kifasihi zaidi. Usipomwelewa kwa mkitadha huo you are likely to argue negatively.

Asante mkuu watu wavivu wa kufikiri
 
Kweli watu ni wagumu kuelewa hebu ona michango ya wachangiaji hapa
 
Habar wana JF

Tulikua tumezoea kuona viongozi wa Tanzania wakiishi maisha flani ivi ambayo hayaendani kabisa na Watanzania ambao wamemchagua na kumpa wadhifa flani

Lakini kwa Rais Magufuli ni mtu wa tofauti sana anayajua maisha halisi ya mtanzania nje ndani ndo mana na yeye anaishi maisha yale yale tunaiyoishi huku kijijini kwetu.

Kuna matukio mengi ambayo Mh. Rais ameshayafanya au kushiriki kama mtanzania wa kawaida, Kwa hilo kwa kweli binafsi nampongezaa

Nawasilisha





DSCN1517.JPG
 
Jamaa ana private jet ana gari convoy hajui foleni unasema anaishi kama ww ! Duuh jamaa ni mbunge ni waziri long time!
 
Jamaa ana private jet ana gari convoy hajui foleni unasema anaishi kama ww ! Duuh jamaa ni mbunge ni waziri long time!

Sio hivyo mkuu, hiyo ni kwa sababu tu sharia inambana but anaweza chapa lapa, kipind waziri alilala nje kwenye ujenzi wa daraja kwani alishindwa kwenda kulala hotelin
 
Back
Top Bottom