Rais Magufuli aagiza Madaktari waliohama Hospitali ya Rufaa mkoani Tabora kwenda Hospitali binafsi kwa kisingizio cha maslahi wafuatiliwe

Mitano tena!

Masikini sipati picha huyo doctor huko aliko ana hali gani muda huu... Pengine hii taarifa wameipata familia yake kabla yeye hajaipata
usiwe na wasiwasi, huenda aliondoka kwa figisu na ndo maana bado wanamtaja/mshitaki, huenda anautetezi utakaookoa makumi ya wanyonge kama yeye
 
Huu ni upumbavu, Rais lazima asaidiwe na wasaidizi wake.....kauli zake za siku hizi hata chekechea anashangaa. Kuwekeana masharti mtu anatafuta maisha yake ni ujinga, ajirini wengine wapo mtaani kibao tu...........what if alijisomesha mwenyewe hakutumia huu mkopo ambao umeturudisha kwenye Ukoloni aliopambana nao Nyerere.
Hapa inabidi kuangalia kipi ni kipi. Uzalendo ni kitu kizuri, lakini uzalendo ni kwa kila mtu, na si kwa watu wachache tu. Sis binadamu siku zote tunataka zaidi na bora, kwa hiyi daktari kuhama kwa ajili ya maslahi siyo kukosa uzalendo. Huyu daktari kahamia hospitali binafsi lakini anatibu Watanzania.

Katika hili la uzalendo pia inabidi tuangalie. Kama hakuna sheria inayowalazimisha waliyopata mikopo kuitumikia serkali, basi huyu daktari asilazimishwe, maana hata huo mkopo anaulipa. Sasa kama anaulipa kwa ni alazimishwe kutumikia hospitali ya serkali wakati huo mkataba haukuwepo?

Miaka ya nyumba 60s/70s kulikuwa na sheria ambayo mwanafunzi akisomeshwa anatakiwa aifanyie serkali miaka mitano. Kama serkali inataka hivyo, inatakiwa iiweke hii kama mojawapo ya masharti ya mkopo. Bila hii kuwepo, huwezi kumlazimisha mtu kuitumikia serkali. Tuepuke kutunga sheria kwa midomo yetu. Tuweke hivi vitu wazi na siyo kila kukicha matamko yanatoka ambayo ni sawa na sheria.
 
Hii mikataba ya ajira inabidi iangaliwe upya n wizara ya afya, watu awawezi kuichukulia serikali poa ivyo.

.

Nina imani utashauri pia sheria za kazi zilizopo zifuatwe. Mtu amejitoa kwenda kufanya specialization, anarudi kazini anakaa miaka 10 bila kubadilishiwa daraja wala mshahara. Anafanya kazi za kibingwa bila kupata maslahi ya kibingwa!

Hata kama mkataba ungetaka afanye kazi serikalini maisha yake yote, kwa kitendo cha kutoutambua ubobevu wake unakua umevunja huo mkataba.
 
******** ni mshenzi mmoja taahira asiye na akili , hayawani .
Jitu Lina sura mbaya na roho mbaya shetani akasome , Ibilisi mwenye mwili WA binadamu .
Yaani hili li pimbi ipo siku litasimamisha hata mishahara kabisa
 
Nina imani utashauri pia sheria za kazi zilizopo zifuatwe. Mtu amejitoa kwenda kufanya specialization, anarudi kazini anakaa miaka 10 bila kubadilishiwa daraja wala mshahara. Anafanya kazi za kibingwa bila kupata maslahi ya kibingwa!

Hata kama mkataba ungetaka afanye kazi serikalini maisha yake yote, kwa kitendo cha kutoutambua ubobevu wake unakua umevunja huo mkataba.
So long as the government is paying for the cost of their enhacement studies ni waajiriwa, besides they need to practice even after gaining further qualification kabla ujaitwa daktari bingwa experience which again is provided by government institutes or their partners.

Isitoshe wakati huyo mtu anasomeshwa na mshahara juu anapokea.

Halafu hakuna anaekataa consultants in Tanzania are underpaid but the government has invested a lot on them kwa sababu ya kusaidia jamii inayowazunguka na aifanyi ivyo kwa makusudi ni limitations tu mapato yao.

Kwa ivyo kinachohitajika zaidi ni uzalendo and loyalty.
 
Nikwakwambia value of replacing an experienced teacher is not on equal per of replacing an experienced Dr.

The government places value on its asset, they can afford to loose teachers but not their experienced Drs.

Ndio maana nikakuuliza kwanini private wasiajiri inexperienced Drs na wakati wapo?

experienced doctors they were once inexperenced!

Ichukue hao hao inexperienced,watapunguza hao madaktari ambao hawana ajira mtaani.

Na kama hutaki kuchukua inexperienced doctors, then improve maslahi ya hao experienced doctors! wasifikirie kwenda kwingine.

Huu ni uonevu.
 
Nina imani utashauri pia sheria za kazi zilizopo zifuatwe. Mtu amejitoa kwenda kufanya specialization, anarudi kazini anakaa miaka 10 bila kubadilishiwa daraja wala mshahara. Anafanya kazi za kibingwa bila kupata maslahi ya kibingwa!

Hata kama mkataba ungetaka afanye kazi serikalini maisha yake yote, kwa kitendo cha kutoutambua ubobevu wake unakua umevunja huo mkataba.
Hivi jaman mshahara na marupurupu kwa mwezi ya mbunge Kama msukuma ni shilling ngapi ukilinganisha na yale ya daktari MD mbobezi?

Dah! Yan jaman hii nchi hii ya ccm hii!!! Yan wataalamu bingwa wanageuzwa kuwa vichambia mavi wa std seven wanaojiita wabunge wasiotetea chochote Cha mwananchi?!!!! Dah aisee inauma Sana. Yan Sasa naelewa Ndo maana watu wanavaaga mabomu ya kujilipua daaadake kabisa
 
experienced doctors they were once inexperenced!

Ichukue hao hao inexperienced,watapunguza hao madaktari ambao hawana ajira mtaani.

Na kama hutaki kuchukua inexperienced doctors, then improve maslahi ya hao experienced doctors! wasifikirie kwenda kwingine.

Huu ni uonevu.
Kuna costs incurred when you hire inexperienced Drs, achilia mbali financial costs but medical too they produce high mistakes which leads to loss of lives or deterioration of medical conditions; sio Tanzania tu kote duniani.

No one in the world will trade experience for nonexperience in medical practice.

Wanachi watanzania wenye kipato cha kawaida wanahaki ya kupewa huduma iliyo bora na watu wenye experience.
 
Hii ni thinking ya ajabu sana! Yaani kwa sababu mmempa mkopo 100% ndio haruhusiwi kutafuta kazi yenye maslahi zaidi? Kwani huo mkopo si analipa? Au mikopo wanalipa waliojiriwa serikalini tu?
Mamb ya ajabu sana
 
Muulize kwanza mama yako babako ni nani!? Na kwanini alikusingizia baba mwingine halafu urudi na jina lingine hapa

Mfyuuuuu
Shut up ! K*MA wewe , hamna wateja hapa ,unaropoka ropoka kama kahaba wa uwanja WA fisi kaona MB*LO , filthy whore
 
Kuna watu watamlaumu huyu mtu wa Mungu, mimi nailaumu SYSTEM! Huyu Mkuu hajawahi kubadilika wala kuficha 'recklessness' yake ktk maamuzi na matamshi.

Dear System, how the fvck did you see him fit for the highest, most powerful office in the land? So you were not keeping tabs on him when he was an MP and minister for 20yrs?

Lakin pia what the fvck happened in October 2020? Was it a must to make it 84% for presidential votes and 99% MPs? If you have to steal, at least do it INTELLIGENTLY, we deserve that at the very least.

All these blunders point to you!
 
Gwala tena !!!

Ndio Kwanzaa hata Januari haijaisha vyuma vimekaza mpaka vinaanza kukatika kudadeki bado tuna kama miaka mi'4 na miezi kadhaa

CCM OYEEEEE!!! Mbona huko nyuma sisikii sauti nasema tena CCM OYEEEEEE!!!

Mh!!! Mbona sisikii sauti jamani CCM OYEEEEEE!!!



Mmesusa au jamani HAPA KAZI TU hebu itikieni basi ...
Mnaongozwa na mwendawazimu mganga wa kienyeji mmoja
IMG_20210123_090235.jpg
 
View attachment 1689777
Rais Magufuli ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la magonjwa ya dharura Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora, akiwa katika eneo hilo ameagiza Madaktari waliohama Hospitali hiyo ya Serikali na kuhamia Hospitali binafsi kwa kigezo cha maslahi wafuatiliwe.

Rais Magufuli amenukuliwa akisema
“Madaktari wanapata mkopo 100% wakiwa Chuoni, halafu tunawapa ajira Serikalini wanakimbia kisa maslahi, si ungekimbia wakati unasoma? Hela yetu umekula halafu unakimbia kwenda Hospitali binafsi kwa kisingizio cha maslahi, ni kukosa uzalendo”

“Mtafuteni huyo Daktari aliyekimbia Hospitali ya Serikali na hiyo Hospitali binafsi aliyokimbilia, ikiwezekana tunamfungia Daktari, tunaifungia na Hospitali aliyoenda, wakati wa kusomesha hawatuchangii, tukishawasomesha wanakwenda kuwaiba, sio sawa”
View attachment 1689964View attachment 1689965
Iyo private hospital inahudumia watanzania pia, ndio maana serikali inaingia nao ubia kwenye kutoa huduma za msingi bila kuwatoza pesa wananchi, kama huduma za mama na mtoto chini ya miaka mitano
 
Back
Top Bottom