Rais Kikwete safarini Ethiopia

Mama Porojo Wacha POROJO zako wewe. Unataka kuwapangia watu namna ya kufikiri?? Huo nao ni utumwa, na ukoloni mamboleo. hata kama huo mkutano ni muhimu, Mkutano wa Uchumi kulikuwa na umuhimu gani kwa jk kwenda? Tena na waziri wa Maji??? waziri wa uchumi yuko wapi? Biashara je? porojo tu kila mahali ama ni kwa sababu ya jina lako? Nakushauri ubadili hilo jina liwe PORIJI
 
Back
Top Bottom