Kuna mkutano wa World Economic Forum (WEF) ambao mwaka jana ulifanyika Mlimani city Dar es salaam
baada ya huo mkutano wa Mlimani City tumefaidika nini
Au ni uwekezaji gani mpya tumeupata
Au baada ya pale tuliachiwa gharama za mkutano bila faida na watu wakafanya utalii na kuondoka
Au maazimio yake yalibaki pale pale Mlimani City
Na ya mwaka huu yanaongezeka tena
May be ndicho tulichoachiwaKabla hajaenda basi angemkumbusha Lukuvi au meya wa Kinondoni Yusuf Mwenda kutoa ile mipalm waliyoagiza syshelles kuja kupandwa usiku kabla ya mkutano manake imekauka yote na kuwa uchafu labda ndio kitu ambacho tuliambulia,kuachiwa vingingi vya mipalm na mshimo ha ha JK bwana humuwezi nan anaendesha sasa CC huko Dodoma anaogopa kivuli chake anastrategy kweli ya kucalm mind yake
Mama Polojo mmeenda jumla ya wajumbe wangapi
Kuna mkutano wa World Economic Forum (WEF) ambao mwaka jana ulifanyika Mlimani city Dar es salaam.
Badala ya kuijadili safari tujadili faida za mkutano huo kisha tutajua umuhimu wa Rais kwenda.
Kama kuna mtu anajua faida na hasara za mkutano huo tunaomba msaada tuweze kupima umuhimu wa Rais kuwepo.
Tutumie njia ya kutoa sababu ya kuzuia safari za Rais badala ya kusema bila mpangilio mwisho hatupati kile tunachohitaji
Tutumie njia ya kutoa sababu ya kuzuia safari za Rais badala ya kusema bila mpangilio mwisho hatupati kile tunachohitaji
Ameondoka na ujumbe wa watu wangapi?
cc huko dodoma ataiendesha yeye,atakuwepo ila baada ya hapo pia atasafiri maana kuna shughuli ameahirisha ambayo ilikuwa ifanyike tr 18/05 ila ngoja niangalie hapa kwenye ratiba vizuri nione kama kuna marekebisho ila sasa tuangalie manufaa ya yeye na hizo safari kwa uchumi unaokufa wa tz!!!!Kabla hajaenda basi angemkumbusha Lukuvi au meya wa Kinondoni Yusuf Mwenda kutoa ile mipalm waliyoagiza syshelles kuja kupandwa usiku kabla ya mkutano manake imekauka yote na kuwa uchafu labda ndio kitu ambacho tuliambulia,kuachiwa vingingi vya mipalm na mshimo ha ha JK bwana humuwezi nan anaendesha sasa CC huko Dodoma anaogopa kivuli chake anastrategy kweli ya kucalm mind yake