Rais Kikwete safarini Ethiopia

Ingekuwa JK hajaalikwa kwenye huu mkutano kauli zingekuwa zingine.....kazi yake kukaa jikoni.......hakualikwa manake hana jipya......Rais gani asiyetoka kuongea na wenzake, mbona Kagame na Mu7 wamealikwa....bla bla bla bal.

Akitoka shida, akibaki au kumtuma msaidizi pia shida.

Any way, ndo comments za Great Thinkers wetu ktk JF.
 
Kuna mkutano wa World Economic Forum (WEF) ambao mwaka jana ulifanyika Mlimani city Dar es salaam.

Badala ya kuijadili safari tujadili faida za mkutano huo kisha tutajua umuhimu wa Rais kwenda.

Kama kuna mtu anajua faida na hasara za mkutano huo tunaomba msaada tuweze kupima umuhimu wa Rais kuwepo.
Mambo ya uwekezaji wala hayahitaji kuwafuata wazungu kwao. Wekeni mazingira mazuri ya uwekezaji, kuzeni uchumi wenu then wawekezaji wazungu anaofagilia JK watakuja wenyewe. Mbona Namibia, Botswana na hata kwa wachovu wenzetu Rwanda wawekezaji ni kibao tu bila hata mapresidaa wao kuwa KIGULU NA NJIA... Huyu jamaa JK huwa hata hayuko mkutanoni kiakili, huwa anawaza kutoa speech fasta ili awahi kula bata akijua kuwa Per Diem imeishaingia. Kamwe msitegemee nchi itanufaika na uombaomba wake
 
safari za mweshimiwa zimezidi ndio maana kila kukicha baraza la mawaziri linavunjwa coz hakuna wa kuwasimamia kama jamaa anakwea pipa kila siku
 
tumewachoka bwana.... kila siku kumjadili huyu msela. mwacheni ale nchi, kama hatumtaki tuingie mtaani tu tupindie nchi. hii kujadili tu tunaonekana tuna majungu kama wanawake. am tired ni thread za kikwete. why can't we discuss issues like;
1. kilimo vs development
2. the fate of our democracy
3. our education system vs development
4. etc
lets change guys!!!
 
Kuna mkutano wa World Economic Forum (WEF) ambao mwaka jana ulifanyika Mlimani city Dar es salaam.

Badala ya kuijadili safari tujadili faida za mkutano huo kisha tutajua umuhimu wa Rais kwenda.

Kama kuna mtu anajua faida na hasara za mkutano huo tunaomba msaada tuweze kupima umuhimu wa Rais kuwepo.

Tuanzie kwanza na huo ulio fanyika Mlimani City mwaka jana hakuna faida tuliyo pata dhaidi ya hasara kuwalisha wageni na kuwakarimu walivyo kuja na usumbufu kwa wakazi wa Mwenye na vitongoji vyake foleni mara barabara zifungwe n.k
 
Si mmesema kuna mkutano wa dharura dodoma huku mmeanzisha uzi mwingine wa kwenda ethiopia anajigawa vip
 
Kuna mkutano wa World Economic Forum (WEF) ambao mwaka jana ulifanyika Mlimani city Dar es salaam. Badala ya kuijadili safari tujadili faida za mkutano huo kisha tutajua umuhimu wa Rais kwenda. Kama kuna mtu anajua faida na hasara za mkutano huo tunaomba msaada tuweze kupima umuhimu wa Rais kuwepo.

Faida hujaiona ile miti ya PALMS iliyopandwa kwenye barabara ya Mandela kuanzia eneo la Mlimani City hadi TCRA, kila mmoja ulinunuliwa zaidi ya Tshs kadhaa, halafu kuumwagilia maji ya Tshs kadhaa kila mti kila siku kwa wiki moja, na baada ya mkutano waandaaji wakasepa wakarushiwa zigo TANROADS nao wakataa wakasema Halmashauri ya Kinondoni, baada ya hapo palms zikakosa mwenyewe na asilimia hamsini zimekufa!!! Hasara kwa nani, kwako na mimi. Tumethubutu, Tumeweza, na Tunazidi kusonga mbele!!
 
Hivi Pinda, Billal na Membe wao ni wa hapa hapa jamani. Kuna nini huko nje au anaenda kuangalia na miradi yake nini

Ndugu zangu huyu mzee ni Kilema, tena ni mlemavu wa safari za nje kuliko za ndani. Kama kunamtu anaweaza kumzuia asisafiri, basi kiguu nanjia atajiuzuru urais, mungu mmoja nawaambia.
Hoping ndio Rais wa kwanza Duniani kwa kupiga trip za nje.

JK tuonee huruma wa-TZ, na hizo trip zako, tumekoma hatutarudia tena kuichagua ccm. Tuhurumie JK, hizo pesa zinatuuma mzee. Loh siungechimba hata visima Kipatimu kwa bibi yangu ambae anakunya maji pamoja na mbuzi.
 
Faida hujaiona ile miti ya PALMS iliyopandwa kwenye barabara ya Mandela kuanzia eneo la Mlimani City hadi TCRA, kila mmoja ulinunuliwa zaidi ya Tshs kadhaa, halafu kuumwagilia maji ya Tshs kadhaa kila mti kila siku kwa wiki moja, na baada ya mkutano waandaaji wakasepa wakarushiwa zigo TANROADS nao wakataa wakasema Halmashauri ya Kinondoni, baada ya hapo palms zikakosa mwenyewe na asilimia hamsini zimekufa!!! Hasara kwa nani, kwako na mimi. Tumethubutu, Tumeweza, na Tunazidi kusonga mbele!!

Mama Mdogo asante sana kwa uzi huu
Kweli na kwa kurushiana majukumu watanzania hatujambo
Ndo kitu pekee tulichoachiwa na tunafurahi inavyoendelea kufa
Tunaomba waje tena tupate mingine
 
Vasco dagama naskia yupo Ethiopia TBC One inaripoti mda huu

mbona nimesikia JK anakutana na viongozi wa CCM...jamani huyu mtu mchapa kazi...ashakutana na viongozi na tayari safarini...pale airport wangemuekea kituo chake pekee cha mafuta ya ndege maana hizi safari asije akawa anawamalizia mafuta akina precision na KLM
 
Mama Mdogo asante sana kwa uzi huu
Kweli na kwa kurushiana majukumu watanzania hatujambo
Ndo kitu pekee tulichoachiwa na tunafurahi inavyoendelea kufa
Tunaomba waje tena tupate mingine

Asante, nakushauri na ufuatilie na uzi wa MACHINGA complex hapa JF uone jinsi Halmashauri ya Jiji ilivyoingia kwenye mradi wa machnga complex kupitia mkopo wa NSSF, lakini katika kulipa deni zigo katupia Manispaa ya Ilala ati kwa kuwa hiyo plot iko wilayani kwao, makubwa!!! Tumethubutu, Tumeweza, na Tunazidi kusonga mbele!!
 
Kwa faida ya kumanufacture....watu

Back
Top Bottom