The Eagle2012
Senior Member
- Apr 3, 2012
- 117
- 28
By default, JK huwa yupo safarini so kuanzishia thread inakuwa haina maana. Tunataka thread zianzishwe kuhusu kuwepo kwa JK nchini.
Ha ha ha ha ha,Mtazipasua mbavu zangu Mm mtoto wa Masikini!!
By default, JK huwa yupo safarini so kuanzishia thread inakuwa haina maana. Tunataka thread zianzishwe kuhusu kuwepo kwa JK nchini.
By default, JK huwa yupo safarini so kuanzishia thread inakuwa haina maana. Tunataka thread zianzishwe kuhusu kuwepo kwa JK nchini.
Uzuri wake huyu Bwana Mkubwa kila trip ina sababu na naamini ukiongea nae tu atakupa sababu kwa nini hapendelei kuwatumatuma hawa kina Membe Etal. Mimi naona hataki kuwasumbuasumbua ilhali anaweza kushughulikia mwnyw vitrip vidogovidogo Kama hivi. Bwana mkubwa yuko makini huyu.Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa USAID Dkt Rajiv Shah katika hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa leo April 9, 2012 ambako kwa pamoja wanahudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa Afrika linaloshirikisha zaidi ya viongozi 700 wa nchi, biashara na uchumi kutoka sehemu mbalimbali duniani.
"Karibu Mheshimiwa...." Anaonekana kusema Mkurugenzi wa World Economic Forum kwa Afrika Bi Elsie Kanza wakati wa kumpokea Rais Jakaya Kikwete alipowasili hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa usiku wa kuamkia leo April 9, 2012 tayari kuhudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa Afrika linaloshirikisha zaidi ya viongozi 700 wa nchi, biashara na uchumi kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana viongozi na maafisa mbalimbali alipowasili hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa usiku wa kuamkia leo April 9, 2012 tayari kuhudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa Afrika linaloshirikisha zaidi ya viongozi 700 wa nchi, biashara na uchumi kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Rais Jakaya Kikwete katika maungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa USAID Dkt Rajiv Shah katika hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa leo April 9, 2012 ambako kwa pamoja wanahudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa Afrika linaloshirikisha zaidi ya viongozi 700 wa nchi, biashara na uchumi kutoka sehemu mbalimbali duniani
Picha na IKULU
Vasco dagama naskia yupo Ethiopia TBC One inaripoti mda huu
Kuna mkutano wa World Economic Forum (WEF) ambao mwaka jana ulifanyika Mlimani city Dar es salaam.
Badala ya kuijadili safari tujadili faida za mkutano huo kisha tutajua umuhimu wa Rais kwenda.
Kama kuna mtu anajua faida na hasara za mkutano huo tunaomba msaada tuweze kupima umuhimu wa Rais kuwepo.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa USAID Dkt Rajiv Shah katika hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa leo April 9, 2012 ambako kwa pamoja wanahudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa Afrika linaloshirikisha zaidi ya viongozi 700 wa nchi, biashara na uchumi kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Rais Jakaya Kikwete katika maungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa USAID Dkt Rajiv Shah katika hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa leo April 9, 2012 ambako kwa pamoja wanahudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa Afrika linaloshirikisha zaidi ya viongozi 700 wa nchi, biashara na uchumi kutoka sehemu mbalimbali duniani
Picha na IKULU
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa USAID Dkt Rajiv Shah katika hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa leo April 9, 2012 ambako kwa pamoja wanahudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa Afrika linaloshirikisha zaidi ya viongozi 700 wa nchi, biashara na uchumi kutoka sehemu mbalimbali duniani.
"Karibu Mheshimiwa...." Anaonekana kusema Mkurugenzi wa World Economic Forum kwa Afrika Bi Elsie Kanza wakati wa kumpokea Rais Jakaya Kikwete alipowasili hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa usiku wa kuamkia leo April 9, 2012 tayari kuhudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa Afrika linaloshirikisha zaidi ya viongozi 700 wa nchi, biashara na uchumi kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana viongozi na maafisa mbalimbali alipowasili hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa usiku wa kuamkia leo April 9, 2012 tayari kuhudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa Afrika linaloshirikisha zaidi ya viongozi 700 wa nchi, biashara na uchumi kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Rais Jakaya Kikwete katika maungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa USAID Dkt Rajiv Shah katika hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa leo April 9, 2012 ambako kwa pamoja wanahudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa Afrika linaloshirikisha zaidi ya viongozi 700 wa nchi, biashara na uchumi kutoka sehemu mbalimbali duniani
Picha na IKULU
Hivi lini makamu wa Rais atamwakilisha?
[/QUOTE]Hiyo tarehe vipi wanajamvi? Leo April 9, 2012!
Hiyo sio file photo?
[PQUOTE=Kiganyi;3880120]Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa USAID Dkt Rajiv Shah katika hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa leo April 9, 2012 ambako kwa pamoja wanahudhuria Kongamano la Uchumi la Kimataifa kwa Afrika linaloshirikisha zaidi ya viongozi 700 wa nchi, biashara na uchumi kutoka sehemu mbalimbali duniani.