Rais Kikwete: Nipo tayari kukutana na UKAWA

Ni political game tu hii...

Kazungumza hayo yote kwa makusudi kabisa akitambua ya kwamba UKAWA hawatakubali...

Mwisho wa siku itaonekana kama UKAWA ni wabishi ambao hata kukutana na Rais hawataki...
 
Rais Kikwete ana dhamira ya dhati kwa nchi yake, UKAWA rais kawapa nafasi mkamueleze malalamiko yenu rais Kikwete ni msikivu.
 
Ajabu ya karne! Mimi sielewi hiyo Juice ya Ikulu ina nini hadi inapigiwa promo? Watoa huduma hawahawa wanatumia matunda hayahaya sawa tu na juice za hoteli za 3-5 star, sasa cha ajabu ni nini!? Kwani glass moja ya hiyo juice hata kama ni laki1 watu wanashindwa kulipia? Tuache ulimbukeni, tujadili mambo ya msingi. Hoja hapa ni mh. Rais kukutana na kundi la UKAWA kujadili mambo ya kutuunganisha hayo mengine hata kama wakipewa maji ya nusu lita ya Kilimanjaro yale ya mtaani tsh600 au supermarket tsh500 watakunywa na kujadili hoja zitakazowekwa mezani
MKUU nakubaliana na hoja yako mia kwa mia,hii mijitu akili zao zinawaza juice tu, watu wanawaza kutafuta tiba za magonjwa kama EBOLA,KANSA ,KISUKARI AU kugundua vitu muhimu vya kisayansi yenyewe ianaumizwa na juice tu.ambayo by the way ni kodi zetu ndio zinazonunua vitu vyote vya IKULU hadi hiyo kinywaji inayowakosesha raha wajingawajinga hawa.Lakini mawazo kama haya nddio yanayosababisha Watanzania waonekane kuwa ni watu wenye IQ ndogo sana ukilinganisha na mataifa mengine.
 
Rais Kikwete ana dhamira ya dhati kwa nchi yake, UKAWA rais kawapa nafasi mkamueleze malalamiko yenu rais Kikwete ni msikivu.

Shilingi ngapi zimepotea mpaka sasa hivi kwa sababu ya uvivu na UOGA wa kufanya maamuzi,Rais anatishwa na SURBORDNATE wake!
 
Kwa msimamo huu wa ukawa kazi tunayo mwaka huu. Rais wangu umechelewa sana jambo hili lilitakiwa mapema.
 
Ni vyema rais Kikwete kukaa meza moja na UKAWA kumaliza tofauti zilizojitokeza ili katika katiba mpya ipatikane, najua kuna watu wengine hawaitakii mema nchi yetu watachukizwa na hii kauli ya JK.
 
Juisi ya ikulu tamu sana aisee.. UKAWA wataenjoy sana..

WATANZANIA WANATAKA MABADIRIKO, WAKISHINDWA KUYAPATA NDANI YA CCM WATAYATAFUTA NJE YA CCM By J.K Nyerere, CCM Imepoteza Dira Na Mwelekeo, By Horace Korimba And Imran Kombe All Assassinated By CCM After Their Speechs Demanded Change.
 
Rais Kikwete ana dhamira ya dhati kwa nchi yake, UKAWA rais kawapa nafasi mkamueleze malalamiko yenu rais Kikwete ni msikivu.

Hii hoja ya katiba ilitokea upinzani, ccm hawakujiandaa na hili ndo maana wanashindwa kuendelea nayo. Masikini mweshimiwa anakula matapishi ya akina wasira na genge lake
 
Mtakuwa mnachekea kwenye magego baada ya kusikia hivyo, msifikiri JK anakwenda kuwakubalia serikali 3, msipoangalia mtakunywa juice na kurudi mitaani kuranda randa

Wakati mwingine mkuu wa nchi anapotamka mambo mazuri ili kukwamua huu mgogoro wa kikatiba tulio nao nchini, nivema tungetumia busara ili ukawa wasijewakakaza kamba ikawa baraaaaaa!!
 
Hii hoja ya katiba ilitokea upinzani, ccm hawakujiandaa na hili ndo maana wanashindwa kuendelea nayo. Masikini mweshimiwa anakula matapishi ya akina wasira na genge lake
Mkuu inaonekana umeumia sana kusikia rais kasema yupo tayari kukutana na UKAWA.
 
MKUU nakubaliana na hoja yako mia kwa mia,hii mijitu akili zao zinawaza juice tu, watu wanawaza kutafuta tiba za magonjwa kama EBOLA,KANSA ,KISUKARI AU kugundua vitu muhimu vya kisayansi yenyewe ianaumizwa na juice tu.ambayo by the way ni kodi zetu ndio zinazonunua vitu vyote vya IKULU hadi hiyo kinywaji inayowakosesha raha wajingawajinga hawa.Lakini mawazo kama haya nddio yanayosababisha Watanzania waonekane kuwa ni watu wenye IQ ndogo sana ukilinganisha na mataifa mengine.

iq ndogo sana kuliko mataifa mengine....aaaa bana mbona tuna madictor kibao acha utani changia maada
 
CCM NI GENGE LA WAHUNI, SAM SIX UTAPATA MIMBA MWAKA HUU KUDADADADEKI Magamba Hayooo, Choma Choma Chomaaaaa, Choma CCM Na Magamba Yake.
 
Back
Top Bottom