MKUU nakubaliana na hoja yako mia kwa mia,hii mijitu akili zao zinawaza juice tu, watu wanawaza kutafuta tiba za magonjwa kama EBOLA,KANSA ,KISUKARI AU kugundua vitu muhimu vya kisayansi yenyewe ianaumizwa na juice tu.ambayo by the way ni kodi zetu ndio zinazonunua vitu vyote vya IKULU hadi hiyo kinywaji inayowakosesha raha wajingawajinga hawa.Lakini mawazo kama haya nddio yanayosababisha Watanzania waonekane kuwa ni watu wenye IQ ndogo sana ukilinganisha na mataifa mengine.Ajabu ya karne! Mimi sielewi hiyo Juice ya Ikulu ina nini hadi inapigiwa promo? Watoa huduma hawahawa wanatumia matunda hayahaya sawa tu na juice za hoteli za 3-5 star, sasa cha ajabu ni nini!? Kwani glass moja ya hiyo juice hata kama ni laki1 watu wanashindwa kulipia? Tuache ulimbukeni, tujadili mambo ya msingi. Hoja hapa ni mh. Rais kukutana na kundi la UKAWA kujadili mambo ya kutuunganisha hayo mengine hata kama wakipewa maji ya nusu lita ya Kilimanjaro yale ya mtaani tsh600 au supermarket tsh500 watakunywa na kujadili hoja zitakazowekwa mezani
Kikwete anawaonea huruma mnaanza nyodo siyo
Rais Kikwete ana dhamira ya dhati kwa nchi yake, UKAWA rais kawapa nafasi mkamueleze malalamiko yenu rais Kikwete ni msikivu.
Kwa maana hiyo wewe hautaki rais akutane na UKAWA?Shilingi ngapi zimepotea mpaka sasa hivi kwa sababu ya uvivu na UOGA wa kufanya maamuzi,Rais anatishwa na SURBORDNATE wake!
Juisi ya ikulu tamu sana aisee.. UKAWA wataenjoy sana..
Rais Kikwete ana dhamira ya dhati kwa nchi yake, UKAWA rais kawapa nafasi mkamueleze malalamiko yenu rais Kikwete ni msikivu.
Mtakuwa mnachekea kwenye magego baada ya kusikia hivyo, msifikiri JK anakwenda kuwakubalia serikali 3, msipoangalia mtakunywa juice na kurudi mitaani kuranda randa
shilingi ngapi zimepotea mpaka sasa hivi kwa sababu ya uvivu na uoga wa kufanya maamuzi,rais anatishwa na surbordnate wake!
Mkuu inaonekana umeumia sana kusikia rais kasema yupo tayari kukutana na UKAWA.Hii hoja ya katiba ilitokea upinzani, ccm hawakujiandaa na hili ndo maana wanashindwa kuendelea nayo. Masikini mweshimiwa anakula matapishi ya akina wasira na genge lake
MKUU nakubaliana na hoja yako mia kwa mia,hii mijitu akili zao zinawaza juice tu, watu wanawaza kutafuta tiba za magonjwa kama EBOLA,KANSA ,KISUKARI AU kugundua vitu muhimu vya kisayansi yenyewe ianaumizwa na juice tu.ambayo by the way ni kodi zetu ndio zinazonunua vitu vyote vya IKULU hadi hiyo kinywaji inayowakosesha raha wajingawajinga hawa.Lakini mawazo kama haya nddio yanayosababisha Watanzania waonekane kuwa ni watu wenye IQ ndogo sana ukilinganisha na mataifa mengine.