jk mjanja kweli kweli katanguliza harambee kumbe yy mwenyewe anafuata nyuma , hahahaha
Rais kutembelea eneo la nchi yake imekua nongwa! JF bana...
kampeni wanafanya chadema sio kikwete, kwanza waambieni wabunge wenu wanao zunguka nchi nzima kufanya mikutano isio na maana..Badala ya kutatua matatizo mbali mbali yanayowakabili Watanzania kutokana na kupanda sana kwa gharama za maisha bado anafanya kampeni tu na wakati uchaguzi umemalizika miezi saba tu iliyopita! Huu ni usanii wa hali ya juu!
Nilishangaa JK kuchangia harambee ile kwa kasi isivyo kawaida ya wanaccm kuchangamkia, kumbe alikuwa na ajenga ya siri
kampeni wanafanya chadema sio kikwete, kwanza waambieni wabunge wenu wanao zunguka nchi nzima kufanya mikutano isio na maana..
Safari ya Rais Kikwete Mkoani Mwanza ni dalili za kupima upepo wa kisiasa kutokana na wimbi la Chama pinzani cha Chadema kuteka Kanda ya Nyanza hivi karibuni.
- Je atafikiwa kiwango wananchi waliohudhuria Chadema?
- Je atasambaratisha ngome ya Chadema Mkoani Mwanza?
- Kuchangia mfuko wa maendeleo jimboni kwa Wenje ni njia ya kujaribu kuwateka wananchi wa Mwanza?
Fikra za watu wa Mwanza zimebadilika sana na upeo wa ufahamu mabo umekuwa mkubwa mno wanahitaji kazi ya ziada kuwabadilisha watu na kuwarudisha mawazo ya zidumu fikra za CCM,Mwezi uliopita nimetembela maneo mbalimbali ya mko wa Mwanza ukiongea na watu wa wengi wa kawaida kabisa wanakwambia maisha yamekuwa magumu kwa sababu ya uongozi wa JK na CCM yake wamefanya mafuta kuwa bei ghali, umeme hakuna na bei za vitu hasa vyakula vimepanda sana
jk mjanja kweli kweli katanguliza harambee kumbe yy mwenyewe anafuata nyuma , hahahaha