Rais Kikwete, mbegu uliyoipanda italitafuna taifa letu...

Kwa kweli nimeshindwa kuendelea kusoma baada yakuona utumbo mtupu...


na ni mambo kama haya huwa wanasomeana misikitini kila ijumaa..upuuzi wa hali ya juu kabisa...tukio la jana mkuu wa nchi alitoa kauli nyepesi sana iliyoashiria yeye ni muumini mzuri wa ghasia zinazoendelea
 
na ni mambo kama haya huwa wanasomeana misikitini kila ijumaa..upuuzi wa hali ya juu kabisa...tukio la jana mkuu wa nchi alitoa kauli nyepesi sana iliyoashiria yeye ni muumini mzuri wa ghasia zinazoendelea
Kati ya mafanikio makubwa aliyofanikiwa kikwete ni kutugawa watanzania kidini naona la ukabila alichemka lakini la dini ameanza kupata mafanikio jana nilikuwa kwenye basi moja ilifikia jamaa moja akaanza kutukana dini furani kwenye basi na akasema kama wapo washuke chini wakapigane kwani wanaonekana wanahamu sana ya kupigana hivyo yeye kama yeye yuko tayari kupigana nao bila kujari idadi yao na kumtaka derva wataremshe wapigane, hii ilikuja muda mfupi baada ya mjadala wa kuchomwa makanisa...
 
Jk ni janga tusikubali tena kutawaliwa na raisi mwenye hihi dini yashetani

Si dhani kama tatizo lake ni dini ni udhaifu wake kipindi cha mwinyi waislam walianza chocho kule mwanza nakumbuka walichoma mabucha ya nguruwe lakini alilisimamia kulikomesha huyu anachekacheka tu na kutoa hoja nyepisi kwenye maswala yanayo husu msitakabali wa taifa...mara nyingi hupenda kusema huyu alipaswa kuwa afisa michezo kata ya gamboshi huko bariadi ambako inasemakana ndiko kwenye wachawi wengi zaidi...
 
Muda si mrefu tutachuma matunda ya udini

Marangapi, karatu mchuganji alichingwa na singida napo kuna mchungaji alichinjwa kisa kuna mwisilam aliokoka sasa yule mchungaji akawa anatangaza..makanisa kila kukicha yana chomwa moto..unataka matunda gani tena mkuu wangu......
 
Haya ni mawazo duni na ya kipumbavu kuliko aina zote za upumbavu nilizowahi kusoma. Hata mwananngu wa darasa la pili hawezi kutoa analysis ya namna hii. Watu wa namna hii ndio wanaostahili kukojolewa.
 
hakuna cha nyoka wala uchizi badala yake wao ndiyo walikuwa vichaa wakaanza kuvunja vioo vya magari ya watu....

kule zanziba sasa hivi wanaongea hadharani kabisa kuhusu udini na muungano..wana ka msemo kao wanasema..''sisi tunapika biriani kabisa safari hii hatutaki masihara''..
 
... siku zote mbegu ya 'chuki' ikipandwa kwenye ardhi yenye rutuba na hata kumpata mpalizi mwenye moyo na silka katika kazi yake hiyo ya kujitolea, chuki hupanda kilo kona ya nchi na kuzaa maafa na visasi visivyokwisha katika jamii husika.

Wenzetu mliokataa kata kata kwamba Tanzania yetu kamwe hatuna changamoto za UDINI WA KUCHONGA, hakika mtoto huyu UDINI ndio kama hivo kajifanyia sherehe za miaka 7 tangu kuzaliwa Tanzania Bara huku majengo yote ya ibada yakionekana kushangilia kwa fukuto la 'MOSHI MWEUSI' mawinguni, vigelegele na nderemo zikishika kasi kila mahali eneo lote la Mbagala jijini Dar es Salaam.

Wengine huku tukaseme nini tena cha zaidi ya kutamka tu kwa sauti ya unyonge; 'Mungu baba, tunaomba ulinzi wako imara sasa na pia
kuwatangulia mbele safarini salama watoto wako hawa wanaotazamia kuzuru huko MUSKAT - UARABUNI???????'
 
yaani kuwa na raia wenye uelewa kama huyu aliyeandika huu waraka, ni mzigo mkubwa sana kwa taifa na jamii. bora hata kubeba gunia la urojo wa m.a.v.i kuliko kuwa na watu wenye akili finyu kama hawa.
 
Laiti kama Mwalimu Nyerere angeaka leo hii, hakuna hata mtu mmoja mwenye silka na hulka za UBAGUZI WA KI-DINI NA UFISADI WA KUPINDUKIA angeweza kujitokeza mbele za Umma wa Tanzania kuomba kitu chochote UONGOZI katika nchi hii.

Lakini leo hii MAFISADI wenye fedha Uswisi ni watu mashuhuri sana na karibia wengine tutaanza hata 'kuwaabudu' kwa mtaji wa fedha zao n huku wengine wapandikizi mashuhuri wa mbegu za udini tukiwapongeza hadharani kwenye mi-jukwaa ya siasa eti ni 'Makamanda wa Uhakika' katika ardhi hii hii ya Mwalimu Nyerere.
 
Duh, hivi binadamu anaweza kuwa na kiwango kikubwa cha ujinga kama hiki kilichoonekana kwenye huu waraka?
 
kama inavyotumiwa CDM na kanisa kama udini alianza kuupanda nyerere mkapa akaupalilia ila kwa upande wenu inawauma

Nimependa title ya hii thread. Ama kweli haya ni matokeo ya mbegu aliyopanda Kiwete hasa 2010. Sasa propaganda hizi zimeota mizizi la "Wajinga Ndiyo Waliwao". Wakati CDM wakishambuliwa na kupakaziwa, wao wanazidi kuchanja mbuga na M4C. Wakati wakristo wakichokozwa makusudi na kushambuliwa kwa maneno, wao wako "busy" wanajenga shule na hospitali. Mkimaliza propaganda zenu mwende mkasome na kutibiwa.
 
Back
Top Bottom