Rais Kikwete, mbegu uliyoipanda italitafuna taifa letu...

Kabisa mkuu. mi naona hawa jamaa waisilamu wanadhani wakristu kukaa kimya ni wajinga, nafikiri sasa na sisi tuanze kupigania imani yetu kwa gharama yoyote ile; Mijitu haiendi shule imeng'ang'ania wanakandamizwa na mfumo kristo! pumbaf!

ukweli unauma.jinsi mnavopandikiza chuki ndo mnavozidi kukwama,waislam ni watu wazuri sema mnawachokoza.yani we ukojolee kitabu kitakatifu halafu uchekewe tu,kwani we nani.mkuki kwa nguruwe ee?
 
Comment za wana cdm kwa waislam ni negative siku zote ndio mana waislam wanawastukia
 
Whoever prepared that "waraka" is sick in the head! Maskini na jinsi watu wanavyomezeshwa habari na kuziamini bila kufikiria mara mbili, nakubali kuwa hatuko salama hata kidogo!
 
Nashukuru sana ila tujihadhari sana na mbegu hizi tunazozipanda humu. Leo hii kuna mada zaidi ya nne zinazozungumzia Ubaya wa Uislaam na mazuri ya Maaskofu ktk ukumbi wa SIASA mnategemea kuvuna nini? Na hasa wana Chadema wamekuwa mstari wa mbele sana kukashifu Uislaam bila hata kufiiri halafu wanajiita wasomi sielewi hizi shule tunazosoma ndizo zinatufunza haya?. Binafsi yangu naiona CUF ya mwaka 2008 na 2009 ikimwelemea Chadema, ni swala la muda tu..

Chadema imeingiliwa na kwa bahati mbaya sana inajiweka ktk wakati mgumu kupita maelezo. Kwanza ilikuwa ni mbinu za CCM kuwasha gari hili la Udini lakini sasa gari linajiendesha lenyewe, halafu kama unapingana na Ponda kwa nini isiwe Ponda?. Hivi mimi nikiwa napingana na Mtikila nina sababu gani ya kusema Ukristu uko hivi ama vile?.

Mkuu wangu sioni ajabu kusoma matusi na kashfa hizi kwasababu vijana na watoto wetu siyo wamoja,hawana kitu chochote kinachowaunganisha tena! Watawala wameua vitu vyote vilivyokua vinawaunganisha vijana wetu. Ndugu yangu Mkandara,dhambi ya ubaguzi itatuhathiri wote bila kuangalia dini,rangi,kabila na itikadi ya kisiasa. Hata CCM hawatapona kwa dhambi hii.
 
Mbinu zenu chafu dhidi ya Uislaam zitazidi kukiweka chama cha Chadema mahala pabaya zaid kuendea uchaguzi wa mwaka 2015..
Oh my God. Mkandara na wewe unaamini huo waraka umeandikwa makusudi kuupaka matope uislamu? Au unaamini una ukweli? Je, ile mihadhara inayogeuzwa kukashifu CDM na kumlinda JK kwamba watu wanamkataa kwa kuwa ni muislamu na zenyewe zinahutubiws na wakristo kuuchafua uislamu?
Ni kweli huo waraka hauna jina wala muhuri kwa sabu wslouandika wanajificha lakini una malengo yake.
Una uhakika gani kwamba imeandikwa na wakristo? Je, hizi sizo issue zinazotawsla kwenye redio na tv za waislamu. Kama wanazihubiri hadharani washindwe vipi kuziandika?
Mkuu najua wewe ni mtu makini unayejitahidi kuwa neutra. Ni watu kama wewe wanaoweza kuwang'oa ndugu zenu wanaozamishwa kwenye tope la machafuko. Tanzania inahitaji watu kama wewe hivo ni vizuri ukabaki hivo ni vizuri ukawa msaada kwa ndugu zako badala ya kuungana nao katika maangamizi yao na taifa kwa ujumla.
 
Kabisa mkuu. mi naona hawa jamaa waisilamu wanadhani wakristu kukaa kimya ni wajinga, nafikiri sasa na sisi tuanze kupigania imani yetu kwa gharama yoyote ile; Mijitu haiendi shule imeng'ang'ania wanakandamizwa na mfumo kristo! pumbaf!

unatumia kichwa kufugia tu nywele badala ya kufikiri.poor you
 
Mkuu wangu kwanza niseme tu ya kwamba huo waraka unaouweka hapa haukuandikwa na Muislaam kama unavyodai kwa sababu kuna makosa mengi sana ya kimaandishi hasa ktk nukuu ya maneno ya Utangulizi ambayo muislaam hawezi kuyafanya. Halafu ukiusoma kwa makini utajua fika kwamba huyu mtu aloandika hii kitu ameandika sio official hakuna address, jina wala Jumuiya gani isipokuwa tu katumia maneno anayojua yeye kwa kuficha ID yake.

Halafu jamani kuweni wakweli, hizi propaganda zenu za kuupiga vita Uislaam mtaacha lini? Hivi kweli kwa kuweka huu waraka unataka mimi niamini kwamba humchukii JK kwa sababu ni Muislaam au ndio unanipa mashaka zaidi na dhumuni lako..Sasa nakuomba wewe fikiria kwamba waraka huu haukuandikwa na Sheikh wala kiongozi wa kiislaam, jiulize kama sio kaandika nani na huyu mtu alikuwa na lengo gani?.. Kisha nikuulize wewe mbona hukuuweka waraka huu wa kanisa na wala hujamuona Muislaam akiuweka hapa.
Inanibidi niuweke Bofya usoma, kisha jiulize unawahusu nini wananchi wapiga kura kama sio agizo la kanisa kwa wakristu wanadai nchi yetu haina dini.

Mkuu,
Kwa kusoma tu hii post yako na hicho ki-bofya chako(ufafanuzi ulishawahi kutolewa mara elfu zaidi, juu ya dhima ya nyaraka kama hizo. Hata sasa wakatoliki wanaelimishwa juu ya namna ya kuchangia katika mchakato wa Katika), najifunza kwamba nawe uko nyuma ya uandishi wa waraka huu.

Umetoa hoja nyepesi na dhaifu sana. Wewe ni mdini na unapenda udini. Kuendelea kuwahusisha CHADEMA na mbegu ya udini mliyopanda nyie CCM, kutakuja kuwageuka siku si nyingi.

Tusubiri. Tuone. Wakati ndiyo unaamua.

Mlimtumia Kilaini, sasa naona mmemchoka na kuanza kumhujumu na kumsema kuwa anaugandamiza uislamu. Si Kilaini huyu huyu aliyesena 'KIKWETE NI CHAGUO LA MUNGU'?
 
Waraka wenyewe huu hapo chini upitieni muone kilichomo...tunakoelekea si kuzuri sana.....

Waraka hauna lolote hawa waisilamu hawana shukrani hata kidogo wanaposema mfumo Kristo toka uhuru wanasahau kuwa Mwalimu Nyerere alisimamisha maendeleo ya wakristo kwa kutaifisha mashule yawe ya serikali ili nao waislamu wasome? Pia kutaifisha mahosptali ya wakristo yakawa ya serikali? kwa kufanya hivyo wakristo waliporwa mali na haki zao na wala hawakulalamika.

Maana wamishenari wa kizungu kila walipojenga kanisa walijenga shule na hospitali pia wakati waarabu kila walipojenga msikiti walipinga mimba dada zetu na kuacha watoto chotara huku waislamu wakiwa hawana shule wala mahospitali isipokuwa kuruani na vibanda vya kuuza kahawa na kashata pia sehemu za kujeza karata na bao huku wakiteta majungu.

Waisilamu semeni wapi na kipi kilichukuliwa na serikali ya Mwalimu Nyerere mikononi mwenu kikawa cha serikali ukiacha Aghakan Sekondari iliyokuwa ya waislamu wahindi ilichukuliwa na kuitwa Tambaza ambapo muislamu mweusi aliionea kwa mbali? Waislamu acheni uongo wenu na vurugu zenu mshukuruni sana Nyerere kusimamaisha maendeleo ya wakristo ili nanyi mpigwe jeki.

Mfano mwaka 1961 Tanzania ilikuwa na watanzania weusi 9 tu wenye shahada katika hao muislamu hata mmoja hakuwepo kama mnabisha mtajeni alikuwa nani maana Fundikira alikuwa na diploma toka Makerere acheni ubabaishaji Nyerere aliwabeba na katika yote huwa namlaumu sana kubinafsisha mashule ya wakristo maana alifanya kwa ajili ya majitu yasiyo na shukrani yenye mawazo ya kishetani muda wote
 
yaani mie nimechoka kabisa huwa napata shida juu ya uelewa wa baadhi ya watu kibaya zaidi humo ndani kuna watu wasomi nao huwa wanalishwa aina hiyo ya *u*p*u*p*u nao bila kutumia vitabu vyao wanaanza kuwashwa yatosha niitimishe kusema kikwete kachaguliwa na watanzania sio waislam pekee kura pekee za waislam zisingetosha kumuweka pale hawa tunawawajibisha kwa uozo wao madarakani kamwe si dini yao ndugu zangu waislam kwani wakati cdm wanakatazwa iringa kwa nini ccm wakubaliwe nzanzibar shekh? shek mmeandamana bila kibali wala kutii sheria bila shuruti shek kuna mtu kawanyoshea kidole shekh usihusishe adhabu wanazopata vilaza wako na chadema chadema ndiye iliruhusu wizi wa epaaa? shekh nijibu ulimboka umesema vijana wa chadema na epaa je? wizi wa rada nao ni chadema? shekh kuibwa twiga? nayo ni chadema ni waislam wachache sana wenye kukosa hekima watakubaliana na huo upuuzi unaouita walaka waislam msiyumbishwe na mashekh ubwabwa hii nchi ya kwetu tunamsema kikwete kwa kuboronga na si kwa uislam wake full stop
 
Waraka wenyewe huu hapo chini upitieni muone kilichomo...tunakoelekea si kuzuri sana.....
Ukisoma nyaraka zote utagundua jambo moja tu. Siasa chafu za majitaka!!
Hawa ni wale TISS wala siyo waislamu nimejibishana na baadhi humu JF. Baada kuchomwa makanisa ya ZNZ tulishauriana kuwa wabaya wetu siyo waislamu/wakristo nina amini kwa dhati hao ni TISS katika juhudi za kulinda wezi wa MABWEPANDE wasipigwe chini 2015.
Kwa sababu hata waislamu ukiwauliza waandishi wa nyaraka hizi hutampata yeyote. TISS limegeuka uhasama wa taifa!!
Bado yatajitokeza mengi kabla ya 2015!!
Miaka ya nyuma wakati TISS ikiwa usalama wa taifa. Nyaraka kama hizi zingefuatiliwa haraka na mwandishi angetiwa nghuvuni. Hata chanzo cha mifarakano na vurugu kingejulikana. Lakini kwa vile ni TISS wenyewe ushahidi utafichwa na chokochoko zitaendelea. TISS ni adui mkuu wa WATANZANIA.
 
na kamwe tusipo shindwa kuitoa hi sumu ni waazi kwamba nchi imeshafikia pabaya. ukabila umeibuka na sasa udini

ukabila ni propaganda za kimagamba zilizoshindwa na kulegea.

udini ni dhahir shahir na muasisi wake ni Jakaya.

keep spinning, but that's the reality.
 
ukweli unauma.jinsi mnavopandikiza chuki ndo mnavozidi kukwama,waislam ni watu wazuri sema mnawachokoza.yani we ukojolee kitabu kitakatifu halafu uchekewe tu,kwani we nani.mkuki kwa nguruwe ee?

nani alikwambia unaweza kupigana badala ya mungu? nakupa challenge kama mungu angelimwadhibu kila anayemkosea hata weye usingekuwepo....mungu ni nwingi wa rehema ndo maana wema na wabaya huwapa mema sembuse ninyi binadamu waovu? kama mungu huvumilia waovu iweje atake katika maandishi yake watu wafanye fujo? put logic on that utajua koran na mungu inayemtangaza kwamba mwenye rehema ni vitu viwili tofauti. mkijua mungu ni mvumilivu na anayependa amani na asiyelipa visasi baaaasi ukristo unatangaza vema sifa za mungu kuliko uislam
 
hivi sasa tunavyojadili hapa jf kuna kambi ya mhadhara kwenye msikiti wa karibu na duce pale uwanja wa taifa. Kwa kweli ni chuki tupu ndiyo inayopandwa kwa jamii na ubaguzi.

Nchi hii kuna dini nyingi sana na wanafanya ibada zao na kuomba mungu wao kwa amani.

Lakini hii dini ya uislamu ambayo wanadamu wanajitahidi kwa nguvu zao zote kumsaidia na kumtetea mungu wao inaacha maswali mengi sana.
 
Oh my God. Mkandara na wewe unaamini huo waraka umeandikwa makusudi kuupaka matope uislamu? Au unaamini una ukweli? Je, ile mihadhara inayogeuzwa kukashifu CDM na kumlinda JK kwamba watu wanamkataa kwa kuwa ni muislamu na zenyewe zinahutubiws na wakristo kuuchafua uislamu?
Ni kweli huo waraka hauna jina wala muhuri kwa sabu wslouandika wanajificha lakini una malengo yake.
Una uhakika gani kwamba imeandikwa na wakristo? Je, hizi sizo issue zinazotawsla kwenye redio na tv za waislamu. Kama wanazihubiri hadharani washindwe vipi kuziandika?
Mkuu najua wewe ni mtu makini unayejitahidi kuwa neutra. Ni watu kama wewe wanaoweza kuwang'oa ndugu zenu wanaozamishwa kwenye tope la machafuko. Tanzania inahitaji watu kama wewe hivo ni vizuri ukabaki hivo ni vizuri ukawa msaada kwa ndugu zako badala ya kuungana nao katika maangamizi yao na taifa kwa ujumla.
Achana na Mkandara a guy who pretends to be wise but concealing his evil plans!!be ware
 
Hivi huyo kiongozi anayewahamasisha wafuasi wake kufanya haya mbona yeye haendi kufanya? Anawatajia maeneno halafu anataka wafuasi wake ndo wakatende! Ukiambiwa kitu changanya na za kwako. Ni uchochezi wa aina gani ambao mamlaka zetu zinashughulika nao zaidi ya huu?

h+V+cNil60NygAAAABJRU5ErkJggg==
 
Mbinu zenu chafu dhidi ya Uislaam zitazidi kukiweka chama cha Chadema mahala pabaya zaid kuendea uchaguzi wa mwaka 2015..

huo ni upofu wako mkandara! Tatizo waislamu mnapendwa sana kubembelezwa hadi kwenye uchaguzi, complex inferiority itawamaliza sana, hujui mpaka sasa hii jamii ya kiislamu imeshatengwa na jamii ya kikristo kwani imeonekana ni haramu kwa matendo yake,
CHADEMA ya nini jomba hapa? Basi si urudi huko CUF KWENU na sio kutufanya wapumbavu daily mbembelezwe na mzidi kuchoma makanisa, kama waislamu mnajinasibu mpo wengi basi mjue hapo mmenoa kwani ukweli ni kwamba nyie ni kuduchu sana.
 
Back
Top Bottom