Labda nikuulize hili - CHAMA ni nni? chama kinajengwa na kina nani kama sio watu? Hivi unafikiri CUF ilitokea tu kuwa chama cha Waislaam na Wazanzibar pasipo wanachama wake kuumeza mtalimbo wa CCM kueneza hisia za Udini.. Leo hii wako wapi? hata Huyo Lipumba anashndwa kujitetea maana tayari wanachama wake wamesha aminishwa kuwa CUF inatetea maslahi ya Waislaam, hivyo QUALITY anapotetea maslahi ya Wakristu na mwingine akayakubaliyakafikia kukubaliwa na wanachama walio wengi unafikiri chama hicho kitaelekea wapi?..Actually, nimekataa jambo la mwanachma wa cdm kuongelea au kupalilia udini. nasema mtu siyo mwanachma. Kama Quality ni mwanachama wa CDM akaongelea udini, isichululiwe kuwa qulity ameongelea kwa vile ni mwanachma bali kwa vile ni quality as an individual. sababu ukimchukua kama mwanachma wa cdm unakosea maana anaweza kuwa pia mwanachama katika vikundi vingi eg mwanachma wa chama cha madaktari; mwanachma wa chama cha kuweka na kukopa n.k
I advise you to deal with issues not CDM or its members as they are members of various religiond.
Mkuu wangu mwanachama wa Madaktari au mikopo hawezi kuzungumzia SIASA pasipo kuwa mtazamo wake na tutampima tu kama ni mwanachama wa chama gani na sio profession yake. You can't advise me in defence of your engagement in religious matters. Mwanaume anapozungumzia swala ya jinsia na kuusifia Mfumo dume haijalishi yeye ni Daktari au mwanasesele isipokuwa hatari ya maneno yake inaweza vipi kuwaathiri wanaume wote hasa pale anapoungwa mkono..