Rais Kikwete kuzungumza na wazee wa CCM Dar leo jioni!

Status
Not open for further replies.
..JK mambo yameanza kumfika shingoni kesho atatafuta huruma za wazee kwa kuongea nao jijini DSM saa kumi jioni.Bila shaka hawa watakuwa wazee wa CCM tu.Tutakumbuka kuwa JK alifanya hivi wakati mgomo wa walimu chini ya TUCTA ulipotangazwa..na hapa ndipo ile kauli ya akili ya mbayuwayu changanya na ya kwako ndipo alipoitoa.Mgoja tuone..tutegemee hotuba yenye kujaa hoja zenye kutaka huruma za wazee dhidi ya matatizo mengi yanayoisumbua hii nchi kwasasa.



SOURCE:CHANNEL TEN

Tumechoka, badala ya kufanya maamuzi, wanazidi kutumi pesa za serikali kukodi ukumbi badala ya kutatua matatizo ya Madaktari.
 
Poa bro,umwambie na huyo mwanaharamu ajirekebishe kama ulivonambia mimi kistaarabu.ubarikiwe sana.


Unaongoza kwa matusi kwenye jukwaa hili kwa sasa. Hii inakupunguzia heshima sana. Threads zako zinaonyesha jinsi Jk alivyozungukwa na watu wasio na akili


wewe ni mtetezi mkuu wa Jk lakini huna point hata siku moja za kushawishi wanaopingana na Jk kumpenda una matusi balaa
 
Tatizo watu waliingia na gia za ujana, kasi mpya, ari mpya, sasa uzee wa nini? Pili, walau kwa mikutano ya nyuma wazee ni kiduchu sana, wengi ni vijana (wazee?), Tatu, mikutano ya wazee imekuwa mipasho na madharau na hili sio jambo jema kwa jamii yetu! Nne,ukizozana na mfanyakazi wako ofisini huendi kuongelea na jirani, mtu mzima unakaa chini na kuyamaliza hasa pale inapotekea wewe ndio mshika mpini! Na mwisho, wazee wa iliyokuwa jumuiya ya Afrika Mashariki nao wataalikwa au hawana nauli?
Mkuu FJM
Rais haendi kujadiliana na mtu pale jamani linaugumu gani kuelewa hili? anakwenda kuhutubia
Issue hapa ni kuwa mjadala kati ya DRs na serikali umefikia ukomo wake watu wanategemea sasa serikali itoe msimamo na Rais kaamua kutoa msimamo wa serikali yake na si kwenda kwa wazee kama "kuongelea kwa jirani"
Narudia tena alianza Nyerere na hadi sasa JK wote wanatumiaga wazee wa dsm ku address issues za kitaifa na si vinginevyo
Habari ya nauli, ari mpya, wazee kiduchu hazina mashiko sana, habari ya mipasho hiyo ni hulka ya JK hata kama haongei na wazee wa DSM,
issue ni rais anaongea na taifa kupitia wazee wa dsm, anataka kuliambia taifa tulichokuwa tunalalamika rais yuko kimya anasafiri tu, sasa kaamua kuongea sasa imekuwa nongwa hata kwa anaoongea nao kupitia kwao, sijui tatizo ni nini hasa hapa,,,,,

 
Hatuna Viongozi kwenye hii Nchi. Wote Wasanii.
Mkuu FJM
Rais haendi kujadiliana na mtu pale jamani linaugumu gani kuelewa hili? anakwenda kuhutubia
Issue hapa ni kuwa mjadala kati ya DRs na serikali umefikia ukomo wake watu wanategemea sasa serikali itoe msimamo na Rais kaamua kutoa msimamo wa serikali yake na si kwenda kwa wazee kama "kuongelea kwa jirani"
Narudia tena alianza Nyerere na hadi sasa JK wote wanatumiaga wazee wa dsm ku address issues za kitaifa na si vinginevyo
Habari ya nauli, ari mpya, wazee kiduchu hazina mashiko sana, habari ya mipasho hiyo ni hulka ya JK hata kama haongei na wazee wa DSM,
issue ni rais anaongea na taifa kupitia wazee wa dsm, anataka kuliambia taifa tulichokuwa tunalalamika rais yuko kimya anasafiri tu, sasa kaamua kuongea sasa imekuwa nongwa hata kwa anaoongea nao kupitia kwao, sijui tatizo ni nini hasa hapa,,,,,

 
Inanikera sana kuona watu wana mtusi Mh Raisi. Tafadhali jamani tutumie lugha nzuri na ya heshima katika kutoa na kuchangia hoja.
 
Jk ameshindwa kabisa kuongoza nchi, mi simuelewi kabisa huyu Jk sijui anatupeleka wapi? Kuna haja gani ya kuwahutubia hao wazee? Kwanini asiwaite ma dr. ili aongee nao? Kweli ikulu hamna mtu, ipo wazi.
 
Wote wanaopinga walitaka awaite wale wazee wa moshi kish-mundu??

Tatizo wako kwenye mbege sasa..

Dar ndio mambo yote
 


Taarifa zisizo rasmi zimenifikia kuwa idara ya Usalama wa Taifa impendekeza kwa rais hatua kali zichukuliwe dhidi ya madokta wote waliogoma zikiwemo zifuatazo;

1.0 Kuwafukuza madokta wote kazi ambao watakaidi amri ya kurejea kazini mara baada ya rais kutoa amri ya kuwataka kusitisha na kurejea kazini.

2.0 Kuwashitaki madokta wote ambao watakaidi amri hiyo juu.

3.0 Kutokana na kufukuzwa ina maana madokta hao watakuwa wamepoteza haki zao zote za msingi toka kwa mwajiri wao ambaye ni serikali.

4.0 Kuweka masharti magumu ya kurejea kazini kwa ambao hawatarejea kazini na kuajiriwa upya.

5.0 Rais hatawafukuza Dr. Mponda na mwenzake Lucy Nkya kwa shinikizo la madokta labda ikitokea siku za usoni akifanya reshufle ya baraza la mawaziri.

6.0 Serikali kutumia hospitali binafsi kwa kipindi cha dharua huku ikifanya mchakato wa kuwapata madokta wengine wakimemo ambao hao waliogoma na kukaidi amri halali hiyo kesho. Madokta toka majeshini watatumika katika hospitali za serikali.

Wakuu naomba kuwasilisha tetesi hizi kama zikiwa jinsi zilivyo je serikali itakuwa imechemka au ipo sahihi?

Pia ikiwa ni hivyo madokta wataweza kuhimili kishondo hicho ambacho kitatoka kwa mkuu wa kaya?

Nafungua mjadala wakuu.
 
Kwakweli binafsi kuna kitu kikubwa sana kinanisumbua kuhusu huu u great thinker wetu humu JF, Haiwezekani watu wakawa wana comment vitu utadhani wamezaliwa jana. sredi nzima imejaa tuhuma dhidi ya wa zee..................
Sina tatizo na kudhani atakacho ongelea kesho, natatizwa na watu kutatizika kwa JK kuongea na wazee wa mkoa wa Dar es salaam.
Kanzia Nyerere hadi Ben wote walifanya hivyo, iweje iwe kituko kwa JK? kuongea na wazee ni namna tu ya kuongea na taifa kupitia wazee vinginevyo angejifungia nao sehemu.
Tusi watusi wazee wetu iwe ni wa CCM au la, hawana kosa lolote, kupitia kwao taifa litapata msimamo wa Rais that is all..........
Tumseme JK kama JK na Serikali yake na si kuwasema vibaya wazee wa watu as if wamefanya nini sijui
nina wasiwasi na thinking yako as well

Jf ingekuwwpo enzi za mwalimu, hali ingekua hivihivi.

Hakuna mantiki ya kiongea na wazee ambao wako one sided
 
Sijui ana fikiria nini,ila nadhani ata watisha sana na yes,tu assume wakarudi kazini.
Daktari sio mkulima kwamba akirudi kazini utaona leo kalima helaki ngapi,kesho kalima ngapi.

Daktari ana husika na uhai wako,kurudi kazini haimaanishi kwamba ana kwenda
kuhudumia mgonjwa,anaweza kwenda kuandika dozi ya panadol kwa kila mtu afu
vifo vikaongezeka.

JK hajajifunza toka kwa walimu,wali watishia sana na wakarudi makazini,lakini
kurudi kwao makazini sio kufundisha na leo hii watoto wana feli kama vile
kila mtoto anae zaliwa ni taahira.....TUTAFIKA.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom