Mkuu, lazima kuongea na waliofanana na wewe!JK mtu wa ajabu, badala ya kukaa na kuzungumza na Drs yeye ameamua kwenda kusema na Wazee wa DSM kesho jioni.
Chanzo: NEWS Channel Ten
Yaani magamba wazee katika chama chake! Asichanganye wazee wote hapa Dar kuwa na mawazo kamo hao wazee wanaopioga makofi katika kila kitu -- na ndo maana wamelifikisha taifa lilipofika.
Jk akikaa kimya tunalalamika, akitaka kuongea tunalalamika, sijaona tatizo la kuzungumza na wazee kwa masuala nyeti ya taifa ni vema tuwe na subira atakapozungumza ndipo tujadili hotuba yake.
tutakuja na rozali na kitimoto
Mkuu wanaweza wakawa wajinga kweli sikataiwote hao kwenye red ni wajinga sana ndio wanaoleta maendeleo nyuma kama kweli madaktari ni waongo angeenda kuhutubia pale cpl aone moto wake
..JK mambo yameanza kumfika shingoni kesho atatafuta huruma za wazee kwa kuongea nao jijini DSM saa kumi jioni.Bila shaka hawa watakuwa wazee wa CCM tu.Tutakumbuka kuwa JK alifanya hivi wakati mgomo wa walimu chini ya TUCTA ulipotangazwa..na hapa ndipo ile kauli ya akili ya mbayuwayu changanya na ya kwako ndipo alipoitoa.Mgoja tuone..tutegemee hotuba yenye kujaa hoja zenye kutaka huruma za wazee dhidi ya matatizo mengi yanayoisumbua hii nchi kwasasa.
SOURCE:CHANNEL TEN
Mkuu Kiby Wazee wa Dsm si kamati yoyote isipokuwa inatakiwa ujue historia kidogo.
Nchi hii ilipopata uhuru wazee wengi waliofanikisha hilo zoezi walikuwa wakaazi wa hapa DSM na hata katika kuunda Serikali wengi walikosa sifa za kuongoza kwa elimu zao kuwa ndogo au kutokuwa nazo kabisa.
Nyerere kwa kutambua hilo akawa ana waenzi kwa kuwaita sehemu na ku address isuues mbali mbali za kitaifa kupitia kwao,
Utaratibu huu ukaendelea na kujenga mazoea na Mwinyi akaendelea nao kisha akaja Ben na sasa JK anaendelea nao
Cha umuhimu hapa ni kwamba Rais haongei na wazee wa DSM ili kupata huruma yao au anaongea nao eti kwakuwa upeo wao ni mdogo kuliko atakayoongea kama unavyodhani wewe, hivyo hata pata upinzani
Pale haendi kujadiliana na mtu, pale atasimama na kuongea yaliyomo moyoni mwake kama Rais akimaliza anasepa.
Madai kwamba wale wazee ni wa magamba yanaweza kuwa na ukweli kwasababu hapa DSM wazee wazawa karibu wote ni CCM damu,
wazee wakuja ni mara chache sana kwenda kwenye mambo kama haya na hawa wengi ni wastaafu waliochoshwa na CCM
Ki msingi hapa ni rais anataka kuongea na taifa kupitia wazee wa dsm na si anaongea na wazee wa dsm kwasababu hao wazee ndio watakao amua jambo fulani, NOPE.............
Sio wana JF Wote wanapenda haya matusi, chonde bro, ukichukizwa basi jibu kwa kauli nzuri. mmeniharibia siku yangu leo.
Kwakweli binafsi kuna kitu kikubwa sana kinanisumbua kuhusu huu u great thinker wetu humu JF, Haiwezekani watu wakawa wana comment vitu utadhani wamezaliwa jana. sredi nzima imejaa tuhuma dhidi ya wa zee..................
Sina tatizo na kudhani atakacho ongelea kesho, natatizwa na watu kutatizika kwa JK kuongea na wazee wa mkoa wa Dar es salaam.
Kanzia Nyerere hadi Ben wote walifanya hivyo, iweje iwe kituko kwa JK? kuongea na wazee ni namna tu ya kuongea na taifa kupitia wazee vinginevyo angejifungia nao sehemu.
Tusi watusi wazee wetu iwe ni wa CCM au la, hawana kosa lolote, kupitia kwao taifa litapata msimamo wa Rais that is all..........
Tumseme JK kama JK na Serikali yake na si kuwasema vibaya wazee wa watu as if wamefanya nini sijui
Ni wajinga pekee watakaomwamini na utumbo wake anaotaka kutoa badala ya kutafuta namna ya kutatua tatizo anaenda kuhutubia magamba wenzake waliochoka. Hao wazee hawawezi malori lakini, mtawaangusha, shauri yeni! Maana ccm haiwezi kushawishi watu kuhudhiroa mikutano yake ka,a haikawaleta na malori na kuwapa pilauKesho jioni JK anategemewa kuongea na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam..
source: Channel Ten
Nyerere alifanya kama wanavyofanya akina JK, anasimama anongelea mambo ya kitaifa akimaliza anasepa. full stop, ni hotuba tu........Kumbe ni kuaddress na si kuongea!
Je huyo muasisi wa huo utaratibu alikuwa anatumia huo utaratibu kwenye nyakati za wanataaluma kudai maslahi yao kama ilivyo sasa,au ilikuwaje...
wanaomkejeli kikwete ni wale loosers ambao wana gubu mioyoni mwao,kwao hakuna jema hata moja
Tutegemee uchafuzi zaidi wa hali ya hewa. Rais akae chini atafute ufumbuz wa matatizo yanayoikabili nchi na sio kutafuta huruma ya wazee. Anawaachia akina Pinda kufanya maamuzi mengi wkt nao uwezo wao wa kutatua matatizo ni mdogo cjui anategemea nini. Nionavyo mimi akina Pinda na wengineo ni kama wameamua kusabotage uongozi wa JK cjui kwanini JK hajiongezi na kungundua hili!!!..JK mambo yameanza kumfika shingoni kesho atatafuta huruma za wazee kwa kuongea nao jijini DSM saa kumi jioni.Bila shaka hawa watakuwa wazee wa CCM tu.Tutakumbuka kuwa JK alifanya hivi wakati mgomo wa walimu chini ya TUCTA ulipotangazwa..na hapa ndipo ile kauli ya akili ya mbayuwayu changanya na ya kwako ndipo alipoitoa.Mgoja tuone..tutegemee hotuba yenye kujaa hoja zenye kutaka huruma za wazee dhidi ya matatizo mengi yanayoisumbua hii nchi kwasasa.
SOURCE:CHANNEL TEN
hizi choko choko na chuki zitaifikisha nchi pabaya,sasa libya imegawanyika na kenya wako the hegue.endeleeni na mjue dhambi hii itawatafuna mpaka makaburini