Rais Kikwete ateua makatibu wa Wizara!

Peter Ilomo kabila moja na Luhanjo his also a king maker I hate Jakaya Kikwete
 
Sasa huko Nishati na Madini si atajiuzia Power Plant ya Ubungo!

Mkuu tuache ushabiki Eliakim Chacha Maswi ni jembe. Huyu jamaa ana msimamo acha tu. Nishati na madini imepata mtu kama ni upele umepata mkunaji. Kwanza jamaa anatoka Karibu kabisa na mgodi wa nyamongo ngoja tuone atasaidiaje wale jamaa zake wa kewancha na nyangoto kule nyamongo pamoja na maeneo ya nyabigena! Jamaa zake wale hawataki longolongo akicheza na mambo ya madini watampa live kama walivyofanya kwa mbunge wao yule aitwaye Nyangwine Nyambari.
 
Mkuu kumbuka kuna Mdau hapo juu ameripoti kuwa Maswi alikuwa anapokea rushwa kutoka kwa Wakurugenzi wa Halmashauri. Sasa kama ni kweli unadhali wazungu wa Mgodi wakimchotea Pipa la dhahabu atalikataa! Na kuhusu hiyo Migodi ninavyojua mimi, Maswi hawezi kufanya chochote maana Mikataba ya Migodi ilishasainiwa siku nyingi na any need ya reconstruction or break ya Mikataba inaweza kututumbukiza katika adhabu ya kulipa demage kama ile ya Dowans! So sio ushabiki Brother!
 
Sr. Magdalena waache wenzio watoe comment zao kwenye mjadala huu, umeongea mno hadi unaboa, you are getting monotonous meen!
 
Angalau leo umetaja kasoro moja ya Kikwete. Ila kesho usije kusema ni mfumo _____ unaomlazimisha Kikwete kufanya teuzi za namna hii.

Niko huru kusema chochote kutegemeana na wakati na mtazamo wangu..huu siyo enzi za mchonga meno a.k.a haambiliki
 
Tusubiri wale wanaohubiri udini waongee kama kweli wanamaanisha udini ni kuchagua upande mmoja, ama udini kwao ni uislamu?
 
Huwa anawaulizi kina nani kufanya uteuzi??? it seems kuna upendeleo uliopita kiasi kwenye teuzi zake sasa hivi..

sababu akuna
rashid
mfaume
hamis

????????????????????????kwenye list ama
 
Kuna jambo moja ambalo kila siku analisahau kulifanya JK na ambalo tutaendelea kumkumbusha nalo ni Kumuhamisha Philemon Luhanjo kutoka Ukatibu Mkuu Kiongozi hadi kwenye Payroll ya Pensheni ya Wastaafu! Hili kila siku analisahau. Anyway tutaendelea kumkumbusha!

Mkuu tayari Ombeni Sefue kashampeleka Luhanjo kwenye pensheni ya wastaafu
 
ukisoma hata kwenye baibo ukiwa na kibali kibali kinakufwata kinakuchagulia position ya juu
sasa uwezi kuwa na kibali mpakwa uwe kwenye system na system ndio hiyo mnayolalamika soln ni kusubiri maka iishe
usubiri kama kuna kaneema katakutangulia mpwa else soma vizuri anatoka huku anahamia kule soma vyeo avipishani sana
so anza kukomaa nahapo ulipo utoke kwanza
 
Mkuu kumbuka kuna Mdau hapo juu ameripoti kuwa Maswi alikuwa anapokea rushwa kutoka kwa Wakurugenzi wa Halmashauri. Sasa kama ni kweli unadhali wazungu wa Mgodi wakimchotea Pipa la dhahabu atalikataa! Na kuhusu hiyo Migodi ninavyojua mimi, Maswi hawezi kufanya chochote maana Mikataba ya Migodi ilishasainiwa siku nyingi na any need ya reconstruction or break ya Mikataba inaweza kututumbukiza katika adhabu ya kulipa demage kama ile ya Dowans! So sio ushabiki Brother!
Mkuu Two2 usemayo kuhusu mikataba ni kweli manake hata mkuu nadhani alikutana na kakisiki. Kuhusu rushwa sina hakika kwa jinsi nimjuavyo jamaa alivyo mtu wa kufuata taratibu. Kwa kifupi mimi namjua jamaa kama mchapakazi. Kama hatavurugwa basi baada ya muda mfupi tutaona mabadiliko katika hiyo wizara.
 
Back
Top Bottom