Rais Kikwete ateua makatibu wa Wizara!

So ya luhanjo ndo kwishney ameritaya.zake kwa amani ,hivi hutuwezi. Kumpatia ka TUZO flani hivi kama ka utendaji uliotukuka hiviiii au ngoja nitafute ushauri kwa makatibu tehtehtehteh Wapi kama tanzania bana?

Wewe na Izraeli ndo mmeliona hilo tu
 
Kuna makatibu wakuu wapya wametangazwa na nafasi ya JAIRO iko replaced.
Shida ya Matanzania bana yako nyuma sana ya habari

Tulichokuwa tunataka na hata bunge lilishauri ni kwamba Jairo awajibishwe siyo kuondolewa ktk hiyo nafasi tu
 
Sisi kuachwa haituhusu,,la msingi apelekwe mahakamani kama wahalifu wenginee
 
Maskini Tanzania umelogwa na nani wewe pamoja na watu wako?Maana kila kitu ni kushangilia tu bila kuhoji na kutafakali.Luhanjo+jairo watapewa vitengo vingine na wananchi watapongeza kama kawaida ngojeni muone maajabu ya Tanzania.
 
huu ujinga wa kuteua mabalozi kwa fadhila unatugharimu na kutusababishia fedheha sana watanzania kwenye nchi za watu, sijui utaisha lini mungu wangu..!

Ccm wakiweza kuchakachua katiba kama wanavyotarajia haitaisha ila wakishindwa ndo itaisha
 
Jk unazidi kutudhihirishia huna uwezo wakutuongoza wala huhuwa chaguo la Mungu kuwa rais wa waTZ walio maskini
 
nimesikiliza tbc 1 hivi punde tu, katika orodha ya makatibu wakuu wapya, wizara ya nishati na madini amepewa eliakim maswi maana yake ni kwamba jairo nje

we vipiii?
Unadhani kutokuwepo
kwenye list ndo out!!
Usijipe moyo hii sirikali inamambo meeengi!
 
wote wajumapili kazi kweli kweli..wa I'jumaa mwenzangu hakuna hata mmoja,,
 
Huwa anawaulizi kina nani kufanya uteuzi??? it seems kuna upendeleo uliopita kiasi kwenye teuzi zake sasa hivi..

Yeye anasema hakuna wengine hao waliopo madarakani ndo hao hao wanafaa atakuwa anawazungusha kushoto kulia
 
Tumeshamzoea huyu acha afanye ajuavyo. Siku zake zinahesabika hapo kwenye madaraka aliyonayo![/QU Km kawaida ya Luhanjo anateuwa wabena wenzie,tenbnawaweka ikulu kabisa! Hakuna uteuzi wa rais hapo! Mbena anaacha mizizi.
 
Mapendekezo ya Kamati ya Bunge kuhusu Jairo yametelekezwa au ndiyo utekelezaji?
 
Ahsante sana kwa taarifa. Vipi Jairo kapelekwa wapi?

Jamani, kama ofisi yake kateuliwa mtu, maana yake ndio OUT...., yeye aliapishwa kama katibu mkuu Madini na Nishati, labda ataamua kurudisha ikulu sasa
 
hongera kikwete kwa uteuzi huo.tunategemea waliopata nafasi hizo watawatumikia watz kwa uadilifu mkubwa na hawatakuwa mafisadi.
 
Jamani, kama ofisi yake kateuliwa mtu, maana yake ndio OUT...., yeye aliapishwa kama katibu mkuu Madini na Nishati, labda ataamua kurudisha ikulu sasa

"Kuna waziri mmoja huko Uingereza alionekana akipita pita huko mitaani na akina mama. Vyombo vya habari vikaandika na waziri huyo akaandika barua ya kujiuzulu. Kwa jinsi waziri Mkuu wa Uingereza alivyokuwa amekasirika hakuijibu ile barua bali aliteua tu mtu kushika nafasi ya yule waziri, basi" Julius Kambarage Nyerere.

Maneno kuntu
 
Huwa anawaulizi kina nani kufanya uteuzi??? it seems kuna upendeleo uliopita kiasi kwenye teuzi zake sasa hivi..

Yahe si umeambiwa ni uteuzi manake ni kuchagua unayependa. Komaa ipatikane katiba mpya kilio chako kitaisha
 
kwa lele za maaskofu wakati wa krismass lazima mambo yawe hivi. lwaislam hawakuomba hizi nafasi kn kinachourahisha nchi inazidi kuwa maskini. omba omba wanongozeka

wakiongozwa na ombaomba jemedari mkuu aka. MC KICHEKO aka kuchekacheka mwenyewe anayezunguka kutembeza bakuli hadi djibout... kamuambukiza hadi na mzee wa kulia-lia
 
Back
Top Bottom