Rais Kikwete anavunja Baraza la Mawaziri lini?

Very true ñi uadilifu gani aliokuwa nao na wakati muda wote anazurura ktk campaign halafu anakula mshahara wa bure then anajiita muadilifu. Hovyooooo!!!!
 
Za siku wana Jamvi....

Mwenzenu nataka kujua ni lini Baraza la mawaziri la Mh. Kikwete litavunjwa?

Kikatiba inatakiwa baraza livunjwe lini? maana naona jamaa wapo mpaka leo, sijajua ni nini mpango wake....
Napata wasiwasi sana juu ya hili, mtashangaa mpaka tunaingia kwenye uchaguzi bado ni mawaziri tu...

ngoja tukusaidie
 

Attachments

  • 1445429195975.jpg
    1445429195975.jpg
    62.1 KB · Views: 248
Back
Top Bottom