Anaogopa mawaziri wataamia ukawa. And it would worsen the situation a great deal.
kwikwi kwi kwikwi atuvunji ukawa mmetubana sana
Wadau naomba kujua ni kwanini JK amemaliza muda wake lakini havunji baraza la mawaziri? Hii imekaeje
.
Mbona miaka mingine kwa kipindi kama hiki huwa baraza limevunjwa? Je,shughuli za serikali huendeshwa na nani?
Inasikitisha sana iko wapi ile jamii forums ya zamani..Kwani imevamiwa na vilaza hawajui nyuma wala mbele na hawataki kuuliza..Hebu kasomeni katiba ya mwaka 77 ya JMT na mtajua kikomo cha mawaziri na mtu anaambiwa gazeti la serikali anasema Dailynews.. Hivi huko shuke mnasoma nini wadogo zangu?kwani mnatia aibu na Jamii forums siku hizi yatia kichefuchefu
Za siku wana Jamvi....
Mwenzenu nataka kujua ni lini Baraza la mawaziri la Mh. Kikwete litavunjwa?
Kikatiba inatakiwa baraza livunjwe lini? maana naona jamaa wapo mpaka leo, sijajua ni nini mpango wake....
Napata wasiwasi sana juu ya hili, mtashangaa mpaka tunaingia kwenye uchaguzi bado ni mawaziri tu...
Wanabodi,
Inashangaza mtu anayejiita muadilifu kuendelea kungangania wizara wakati zaid ya miezi mitatu sasa hajagusa wizarani..huku akiendelea kula mishahara na malupulupu yote wa waziri??
Huu ni wizi wa wazi wazi wa kodi zetu .
Huu ni UKURUNZINZA.
Hata kama JK hajavunja baraza la mawaziri, mtu muadilifu alitakiwa achukue hatua za kiadilifu kujiuzuru kuliko kuendelea kutumia pesa zetu isivyo halali. Wakati sisi malofa usipoonekana kibaruani siku 3 tu..huna kazi!! Huyu jamaa HATUFAI