manya kitula
Senior Member
- Apr 1, 2015
- 178
- 45
Anaogopa labda watahamia upinzani. Sii unajua nchi inaongozwa kijanjajanja tu? Ngoja mabadiliko yake ndipo wengine watakimbilia Oman.
Unataka shughuli za serikali ziendeshwe na nani
.Unataka shughuli za serikali ziendeshwe na nani
Makatibu wakuu wa wizara.
Wakuu nashindwa kuelewa nini mantiki ya rais wangu kuto kulivunja baraza la mawaziri, tunamaliza wiki sasa tangu kampen ianze mawaziri wanatumia nafasi za uwaziri wao kuomba ubunge na wengine wanatumia uwaziri wao kuombea u rais. Na bunge halijavunjwa mpaka sasa licha ya ahadi Kuwa litavunjwa tarehe 20/8/2015 lakin mpaka sasa wabunge wanautumia ubunge wao kuusaka ubunge hivi nchi hii ninani katurogaaa
Jibu umebandikiwa hapo kwenye Post yako(f) Ukiwadia wakati wa Rais mteule kushika madaraka ya rais basi mara tu kabla rais mteule hajashika madaraka hayo;