Kichwa cha panz
Senior Member
- Dec 22, 2010
- 132
- 29
Kwani kuna ubaya kupiga picha na mwafrika mwenzio? Sijaona kosa la Jeykey hapa kupiga picha na aliopiga nao picha, tuwe na fikra chanya majirani zangu sio kila wakati kila kitu basi tunakuwa na fikra hasi tuuuuuuuuuuuuu. Cha kujadili hapan ni kilichompeleka huko US na hotuba aliyoitoa kwenye mkutano wa umoja wa mataifa na pia kwenye mkutano wa DACOTA. Haya mambo ya kujadili picha yapunguza credibility za great thinkers!!