Rais Kikwete amfunika 50 cent (Picha)

Hii ni picha ya lini?? Yaani anapata mda wa kuuza sura.?
Hivi kwa jinsi matatizo yetu yanavyorundikana siku had siku we unadhani Rais anafkiria hata kuyatafutia ufumbuzi??kama Rais anashangaa na hajui kwann watu wake ni maskin we unadhani kunaufumbuzi hapo??So we jua tu kuwa muda mwingi alionao ni wakufanya mambo ya kipuuz puuz na show off kama hizo ambazo hazina tija kwa Taifa. Nadhani kwenye katiba mpya itabidi tuainishe safari muhimu zenye hadhi ya kuhudhuriwa na Rais maana huyu bwana hata birth day ya 50 Cent anaweza akaenda kuadhimisha nae kwa gharama ya kodi zetu.
 
Haya sema basi unataka 50cent aifanyie nini Tz?
Kama mnaiendesha nchi kwa kuwategemea akina 50 Cent basi wanawake walompigia kura JK wameingia choo cha kiume na wanaume walompigia kura JK wameingia choo cha kike. Kama nyie ndo washauri wa Rais mnamshauri akaombe misaada kwa 50 cent, basi tumeliwa sisi.
 
Kama mnaiendesha nchi kwa kuwategemea akina 50 Cent basi wanawake walompigia kura JK wameingia choo cha kiume na wanaume walompigia kura JK wameingia choo cha kike. Kama nyie ndo washauri wa Rais mnamshauri akaombe misaada kwa 50 cent, basi tumeliwa sisi.

Naomba unitajie nchi yoyote ya kiafrika inayoendeshwa bila misaada
 
siamini kama picha hii ni halisi... How did that happen???????????
 
Studio ya kisasa wa mtu kama 50 Cent na huu umeme wetu wa kulenga kwa manati??????????? Ama kweli sasa ... duuhhhhhhhh!!!!!!!

Ngoja huyo 50 cent aje aingizwe mjini n Wa-Bongo kama walivyomfanyia GeneraL Defao, kuja kuzindua santuri yake mpya hapa Bongo, kukuta alichokuj kuzindua kwa mara ya kwanza kabisa ikiuzwa kila mtaa kama maandazi ya moto mpaka akaishia kuingia ibu ya kufukuzwa hotelini kwa madeni mtu maarufu kama yule.

Nasema bora 50 Cent asije maana kwa janja janja zetu hizi z kila siku mapromota wetu wa Bongo tutfungwa sana tu na Wa-Marekani. Jamani tuwapige tafu akina Crafters kwanza nao wawe na studio za kisasa kwani sisi huku tuna ubaya gani kupigwa tafu?

Hivi wewe unadhani shida ya Watanzania au priority ya Watanzania kwa sasa ni kuwa na STUDIO????
 
Kwa tabia ya huyu jamaa na mapozi haya ya kichokozi, nani ataamin kuwa waliishia tu kupiga picha??????????????????????Mwachen ajilie raha mana anauhakika muda c mrefu nchi anaikabidhi kwa wapinzani (CDM) kama mwenzake wa Zambia

Nasikitika sana..hivi wana jf kuna utaratibu gani ktka katiba wa kufanya kama rais aliyechaguliwa akasaliti maslahi ya taifa na kufanya uraisi kwa masilahi yake binafsi.?maana haya ni maslahi binafsi ya JK
 
Anajidhalilisha huyu jamaa..mtu mwenye heshima ya kuitwa rais kuomba kupiga picha na mvuta bangi kama 50 cent, ni kujishushia heshima..
 
kwa Elimu yangu ndogo ya graphic design na Photo Edit a.k.a photoshop,hii picha haijaungwa..
 
x2_86970ba
Duh!Mambo ya JK bana!Nimeipenda hii picha hata hivyo.Tatizo ni ufisadi ulioigubika serikali yake.Sioni ajabu kwenye hili given the fact that Mwinyi alifunga shughuli za ikulu na Taifa kwasababu ya Michael Jackson na Kanda Bongoman kama mnakumbuka walipotembelea bongo.Yani sababu unazopewa ni kwamba walikuwa na pesa kiasi kwamba ziara zao zilikuwa zinaingiza pato kubwa sana kwa Taifa.Ishi uone mengi.
 
50 Cents just inaugrated a campaign to feed 1bn hungry people in this globe...... better than taking a pic with careless Obama, he don't care about us.
Nobody should care about us,we should care about ourselves,uwezo huo tunao.Kujilisha tunaweza na ziada pia.Tunashindwa hata na the late Idi Amini Dada?aliyewalisha vyema tu waganda?Nadhani Obama knows them well na hivyo he dont waste his time.I would have done the same thing kama ninajuwa upuuzi wa viongozi wetu na the corruption epidemic lambasted our continent and particularly our country.Eti Obama doesnt care about us.Does our leaders care about us?Kama caring about us ni kuomba omba.Then ulitaka Obama awaombee kwa nani?Hii mentality bana.Hivi mnadhani misaada ni ya bure?In a corporate world there isnt such a thing as a free lunch my friend.
 
50cts does not need to talk anything...

Unajua how much he worth? 450million US Dollars; Yaani zaidi ya Bajeti ya Serikali ya Tanzania...
Acha uongo,Firty isnt worth that much wewe!$450 MIL ni Jay na Diddy around $500 M.Hizo figure zako sijui umetoa wapi.Zangu ni according to Forbes Magazine.
 
Hata mcjari wana jf hyu bwana na chama chake cku zao za kung'oka madarakani zinakaribia lazima yawakute yaliyotokea zambia...damn!!
 
Aaah! jamani Salma kaagwa "Dear naondoka kikazi" kumbe jamaa kaenda kula gucci tucmlaumu hataki kuzeeka anazimalizia starehe c unajua hii ndo awamu ya mwisho warembo wa ng'mbo lazima watajirike kwa kodi za akina massawe,mwaipopo,mutagwaba......... URAISI USUPASTAA BWANA! au sio jk ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom