Songambele
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 4,695
- 2,553
Matatizo yenu haya wezi kwisha, mungu mwenyewe anataka muwe nayo wakina bob mbona kina Mchonga waliuza sana na bob marley enzi hizo. Ndio maana mnaona maendeleo ni madini wakati walioona watu pia ni rasilimali wako mbali, 50cent ni celebrity na kumbeza sio sawa. Mbona wengine wabunge kwetu hatuwezi kuwa na jamii ya wasomi tu.
Bora wanamuziki na wasanii mchango wao katika jamii unaonekana bila semina, wasomi na watu mnao waita makini ndio wametufikisha hapa tulipo, na ndio maana matatizo yenu mmeyapa tume.
Bora wanamuziki na wasanii mchango wao katika jamii unaonekana bila semina, wasomi na watu mnao waita makini ndio wametufikisha hapa tulipo, na ndio maana matatizo yenu mmeyapa tume.