Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,744
Tuacheni ombaomba watatukimbia ,yaani hata mtu hajaanza kujilipa mnaaza kukoromea ,alafu waswaili tuna ule msemo wa Tamaa mbele....! Yaani hakuna subira kabisa ,hujui mtu ametumia mamilioni mangapi hata kuweza kujenga mbali ya 10% alizowapa wakubwa wetu ,yaani apitishe ka miaka mitani hivi ndo tuanze kumnyemelea kwa sasa naona ni mapema au vipi wadau ?Je ujenzi wa hoteli hii umewashirikisha watanzania? Na je huyu mwekezaji anafikiria nini kuhusu wananchi wa hapo Serengeti? Hapa namaanisha shule, hospitali au any "recreation centers"?