Rais Kikwete akifungua Hoteli Mpya ya Kitalii ya Bilila Lodge Kempinski

Je ujenzi wa hoteli hii umewashirikisha watanzania? Na je huyu mwekezaji anafikiria nini kuhusu wananchi wa hapo Serengeti? Hapa namaanisha shule, hospitali au any "recreation centers"?
Tuacheni ombaomba watatukimbia ,yaani hata mtu hajaanza kujilipa mnaaza kukoromea ,alafu waswaili tuna ule msemo wa Tamaa mbele....! Yaani hakuna subira kabisa ,hujui mtu ametumia mamilioni mangapi hata kuweza kujenga mbali ya 10% alizowapa wakubwa wetu ,yaani apitishe ka miaka mitani hivi ndo tuanze kumnyemelea kwa sasa naona ni mapema au vipi wadau ?
 
Mimi sijajua kwanini tunamzungumzia huyu jamaa au naye ni fisadi?? naombeni majibu maana huwa napata shida, Kama ni mwekezaji atasimamiwa na sheria za uwekezaji
 
WANA JF Napenda kuuliza, Hii hotel ambayo JK ameifungua huko Mbugani SERENGETI napenda kujua ni ya NANI?? Maana kuna kipindi nielenda mbugani wakati nimepumzika sehemu moja dreva mmoja wa TOUR CAR, akawa ananieleza kuwa hiyo hotel ni ya RAIS WETU JK, Nikamuuliza unauhakika na hicho unachokisema??Akajibu ni KWELI. Na hiyo hotel iko juu sana gharama zake ni DOLA 900 per night unapata kila kitu kulala, kunywa na kula na mengine yote, MHESHIMIWA RAIS AMEFUNGUA AKISEMA NI YA MUWEKEZAJI?? Kuna ukweli ndani yake au tunapakwa matope, MAANA HAWA VIONGOZI WETU kila anayekuja lazima ajenge hotel either SOUTH AFRIKA, MBUGANI au JIJINI?? Hili mnalionaje?? MWenye idea azimwage hapa tujue?? MSEMO WA BARACK OBAMA Kama viongozi wanajilimbikizia mali ni ngumu / ndoto kwa AFRIKA KUENDELEA.

Hii ni tetesi?? TOA MAONI YAKO pia
 
Hata mimi nimeyasikia huko huko mbugani. Wahenga walisema "lisemwalo lipo na kama halipo linakujja"
 
$900 per night? This may be the second most expensive hotel in Tanzania after Singita-Sasakwa which charges at least $2000 per night. This luxurious hotel owned by American tycoon, Paul Tudor Jones of Greenwich - CT, is located just outside of Serengeti.
 
Nji hii ni zaidi ya tuijuavyo!

Hiyo ndo kasi mpya na hari mpya ya kujilimbikizia mimali. Lakini wataumbuka baadae kama yanaukweli hayo mambo
 
Kwanza inabidi kufahamu kama KEMPINSKI wanaKODISHA jina lao na kwa watu na watu wanajenga Hotel na kuziita hilo jina huku hiyo hotel si ya KEMPINSKI kama zilivyo KFC, Mcdonalds, etc.

Ninavyofahamu mie, Kempinski ni jamaa matajiri sana na zamani ilikuwa ni ya Wajeruman (ukiwa Berlin (west) iko karibu na lile kanisa lililobomolewa paa na Wajeruman wanasema jino lililomeguka). Baadaye wamenunua Waarabu na wamefungua hizi hotel nyingi tu Duniani. Kuna siku niliona hotel moja wakionyesha kuanzia ikijengwa (nchi za kiarabu) na hadi maandalizi ya ufunguzi. Wakawa wameleta wafanyakazi kutoka dunia nzima na kwa Swahili spiker, akawepo dada mmoja kutoka Kenya. Walileta wafanyakazi wengi kutoka German ili kutoa shule kwa wafanyakazi wapya. Walipata shule hata jinsi ya kusafisha/kufagia, kuosha, .............

Ukweli siku moja utajulikana. Kama ni kweli basi MJOMBA anajiandaa KUPUMZIKA.
 
WANA JF Napenda kuuliza, Hii hotel ambayo JK ameifungua huko Mbugani SERENGETI napenda kujua ni ya NANI?? Maana kuna kipindi nielenda mbugani wakati nimepumzika sehemu moja dreva mmoja wa TOUR CAR, akawa ananieleza kuwa hiyo hotel ni ya RAIS WETU JK, Nikamuuliza unauhakika na hicho unachokisema??Akajibu ni KWELI. Na hiyo hotel iko juu sana gharama zake ni DOLA 900 per night unapata kila kitu kulala, kunywa na kula na mengine yote, MHESHIMIWA RAIS AMEFUNGUA AKISEMA NI YA MUWEKEZAJI?? Kuna ukweli ndani yake au tunapakwa matope, MAANA HAWA VIONGOZI WETU kila anayekuja lazima ajenge hotel either SOUTH AFRIKA, MBUGANI au JIJINI?? Hili mnalionaje?? MWenye idea azimwage hapa tujue?? MSEMO WA BARACK OBAMA Kama viongozi wanajilimbikizia mali ni ngumu / ndoto kwa AFRIKA KUENDELEA.

Hii ni tetesi?? TOA MAONI YAKO pia

Kwa hiyo source yako ni tour driver? kazi kweli kweli....
 
.....Ngurdotto,Bilila..etc,tayari vishasimikwa.nani wamiliki,mitaji imepatikana vipi ni maswali ambayo majibu yake kwa usahihi ni vigumu sana kuyajua.Naelekea kufikiri cha msingi kwa sasa ni 'Kuwakamua Kodi tu'
 
Mi nadhani hapa issue haitakiwi iwe mmiliki ni nani ikiwa kweli sheria na taratibu zimefuatwa. Mbuga zetu strategically inatakiwa ziwe expensive kwa ajili ya kuvutia wateja wenye mshiko usio na mgogoro. Kwa hiyo inatakiwa tuwe tunawacharge fees zilizoshiba ili kuzifanya hizi Mbuga ziwe tofauti. Watalii wengi siku hizi wanataka maeneo ya utalii yasiyokuwa crowded na ambayo nature ya pale haijasumbuliwa sana. Watalii hasa wa high value hawataki mbuga ambazo kuna bara bara za rami, n.k. Wanataka kitu natural.

Sisi Mbuga zetu bado ni natural (thanks to Mwalimu's conservationist policies). Inatakiwa tuwe tunawabamiza hasa kwenye fees. Ndo maaana haya mahoteli yanakuwa expensive. Ikiwa wanalipa fees kubwa kwa TANAPA mie sina wasi wasi. Tatizo ni kama tunaingia mikataba kama ya kwenye madini na hawa wamiliki wa mahoteli!!

Wamiliki si issue ikiwa taratibu zinafuatwa. Wamiliki si issue ikiwa strategy yetu ya kupata wataliii wacheche wenye pochi zilizoshiba inaendelezwa!!
 
WANA JF Napenda kuuliza, Hii hotel ambayo JK ameifungua huko Mbugani SERENGETI napenda kujua ni ya NANI?? Maana kuna kipindi nielenda mbugani wakati nimepumzika sehemu moja dreva mmoja wa TOUR CAR, akawa ananieleza kuwa hiyo hotel ni ya RAIS WETU JK, Nikamuuliza unauhakika na hicho unachokisema??Akajibu ni KWELI. Na hiyo hotel iko juu sana gharama zake ni DOLA 900 per night unapata kila kitu kulala, kunywa na kula na mengine yote, MHESHIMIWA RAIS AMEFUNGUA AKISEMA NI YA MUWEKEZAJI?? Kuna ukweli ndani yake au tunapakwa matope, MAANA HAWA VIONGOZI WETU kila anayekuja lazima ajenge hotel either SOUTH AFRIKA, MBUGANI au JIJINI?? Hili mnalionaje?? MWenye idea azimwage hapa tujue?? MSEMO WA BARACK OBAMA Kama viongozi wanajilimbikizia mali ni ngumu / ndoto kwa AFRIKA KUENDELEA.

Hii ni tetesi?? TOA MAONI YAKO pia

Mbona kwenye taarifa ya ufunguzi wa hii hoteli waliweka wazi wamiliki wa hio hoteli ni nani, na huyo mwarabu mwenyewe alikuwepo.
 
Mwarabu kuwepo si tatizo?? nani mmiliki?/ Kama tunavyojua mmiliki wa Kempiski, ngurudoto etc?? Na sisi hatujui nani anamiliki tunapeana changamoto!!

Si vibaya kuwa na mmiliki kikubwa sheria zifuatwe.

Bless
 
WANA JF Napenda kuuliza, Hii hotel ambayo JK ameifungua huko Mbugani SERENGETI napenda kujua ni ya NANI?? Maana kuna kipindi nielenda mbugani wakati nimepumzika sehemu moja dreva mmoja wa TOUR CAR, akawa ananieleza kuwa hiyo hotel ni ya RAIS WETU JK, Nikamuuliza unauhakika na hicho unachokisema??Akajibu ni KWELI. Na hiyo hotel iko juu sana gharama zake ni DOLA 900 per night unapata kila kitu kulala, kunywa na kula na mengine yote, MHESHIMIWA RAIS AMEFUNGUA AKISEMA NI YA MUWEKEZAJI?? Kuna ukweli ndani yake au tunapakwa matope, MAANA HAWA VIONGOZI WETU kila anayekuja lazima ajenge hotel either SOUTH AFRIKA, MBUGANI au JIJINI?? Hili mnalionaje?? MWenye idea azimwage hapa tujue?? MSEMO WA BARACK OBAMA Kama viongozi wanajilimbikizia mali ni ngumu / ndoto kwa AFRIKA KUENDELEA.

Hii ni tetesi?? TOA MAONI YAKO pia
JK hausiki kabisa na umiliki wa hiyo hotel...
 
Kempinski is not a chain of hotels; rather, it is a management company that runs a collection of exclusive international hotels on behalf of their owners.
 
Kuna tatizo na tour driver kuwa na information ndugu yangu? Au ndo dharau? Kwa nini tukuamini wewe zaidi yake?
kwa hili la madereva nakubaliana nalo kwamba wakati mwingine madereva wanataarifa muhimu sana na nyeti sana, hii ni kwasababu wanakutana na watu wengi na mara nyingi ni rahisi sana kwa wao kusikiliza mazungumzo kati ya abiria au simu.

Ila tu ni wepesi sana na wao kutoa habari wakati mwingine bila kujua wanaongea na nani au katika kutaka kumwonyesha abiria na wao wapo informed...
 
Nimesikia imejengwa eneo la utata kidogo lakini huo tunaita tetesi tuu.. Mi nataka nimjue mmliki haswa wa hii Hotel maana nimesikia leo kuwa jamaa yetu yule hamiliki mali yoyote hapa nchini zaidi ya kuwa kiongozi mkubwa....

Usiweke Hoja kama Huna Hoja!!
Toa hoja kama una hoja kama imechakachuliwa kaa nayo tuuu...
Hili ni swali wala si udhandiki kama MS atakavyofikiria!!
 
Duh! Tanzania hii atutaji majina ya wamiliki ila tunatabia ya kukanusha kumiliki mali zetu. Tafadhali rejea Salva et al dot ikulu. Hizo ndo tabia zetu
 
...Si ile ya serengeti ? Ni yule tajiri wa kimarekani, ambaye amewaweka mfukoni viongozi wengi afrika akiwemo mtembeza bakuli mkuu, na ana chumba chake maalum pale. Ndiyo fogo wa Grumeti GCA, anajifanyia lolote analotaka. Ben nadhani alikuwa wa kwanza na kama sikosei..
 
Back
Top Bottom