BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 7,867
- 17,845
Wakuu habari?
Hii trend ya kumsifia Rais kwa kila kitu hata ambavyo hajafanya na hahusiki navyo direct inazidi na tunakoelekea itawakatisha tamaa baadhi ya watu wenye moyo wakujitolea.
Kwenye taarifa ya habari leo ITV kuna mwananchi wilayani Kibiti kajitolea eneo lenye ukubwa wa hekari 9 kwa ajili ya ujenzi wa shule ya msingi kuwaepusha watoto wa eneo lile kutembea umbali mrefu kufuata shule huko iliko.
Cha ajabu na cha kushangaza ni kwamba kila alieohojiwa kwenye ile habari wakiongozwa na mbunge wa viti maalumu wa mkoa wa Pwani somebody Chatanda wamemwagia sifa kibao Rais Samia na sifa wanazotoa hamna namna zinam link rais husika na hili eneo alilolitoa mwananchi kwa ajili ya ujenzi wa shule. Mpaka nikahisi labda rais ana jina lingine anaitwa ndugu Salum Ally.
Mwisho wa siku mtoa eneo anakuja kupewa airtime mwishoni kabisa habari husika inakaribia kuisha. Sasa kwa mwendo huu si tutawakatisha tamaa wenye mioyo ya kujitolea? Maana hata mi siwezi kukubali kwa serikali hii ambayo inauza maeneo yote bila kuacha open space kwa ajili ya mahitaji ya baadae ya kijamii nijitolee eneo halafu sifa apewe mwana siasa.
Watanzania tupunguze uchawa kwenye kila kitu mbwa sisi