Rais anasifiwa hadi kwa mambo ambayo hahusiki nayo kabisa

BUSH BIN LADEN

JF-Expert Member
Mar 16, 2019
7,755
17,458
Wakuu habari?

Hii trend ya kumsifia Rais kwa kila kitu hata ambavyo hajafanya na hahusiki navyo direct inazidi na tunakoelekea itawakatisha tamaa baadhi ya watu wenye moyo wakujitolea.

Kwenye taarifa ya habari leo ITV kuna mwananchi wilayani Kibiti kajitolea eneo lenye ukubwa wa hekari 9 kwa ajili ya ujenzi wa shule ya msingi kuwaepusha watoto wa eneo lile kutembea umbali mrefu kufuata shule huko iliko.

Cha ajabu na cha kushangaza ni kwamba kila alieohojiwa kwenye ile habari wakiongozwa na mbunge wa viti maalumu wa mkoa wa Pwani somebody Chatanda wamemwagia sifa kibao Rais Samia na sifa wanazotoa hamna namna zinam link rais husika na hili eneo alilolitoa mwananchi kwa ajili ya ujenzi wa shule. Mpaka nikahisi labda rais ana jina lingine anaitwa ndugu Salum Ally.

Mwisho wa siku mtoa eneo anakuja kupewa airtime mwishoni kabisa habari husika inakaribia kuisha. Sasa kwa mwendo huu si tutawakatisha tamaa wenye mioyo ya kujitolea? Maana hata mi siwezi kukubali kwa serikali hii ambayo inauza maeneo yote bila kuacha open space kwa ajili ya mahitaji ya baadae ya kijamii nijitolee eneo halafu sifa apewe mwana siasa.

Watanzania tupunguze uchawa kwenye kila kitu mbwa sisi
 
tunabweka bweka bweka ilimradi tusikike😀😀😂

Na akilikoroga ni either hajashauriwa au wasaidizi wake hawawezi kasi yake.....; Sijui kwanini mambo yakienda vema wasipongezwe hao washauri na wasaidizi wanaompoteza pindi issue zikienda pear-shaped
 
Inashangaza sana kwakweli, sijui tumekuwaje
 
Mambo ya kusifia yalianza kipindi cha Mr.Kikwete ,akaja Mungu MTU Magufuli akayapeleka kiwango cha master's na SAMIA anaendeleza vyote alivyooacha mtangulizi wake.
mitano tena kwa SAMIA,Mama wa Wamama,Mama wa watu wote,Mama wa karne.
 
Inakuaje Rais alaumiwe kwa kusifiwa ?

hata Kamanda wa Anga alimsifia Mama kwa kumtoa Gerezani japo yeye ndie aliemuweka

kama mambo yakiharibika popote pale nchini huwa tunamlaumu Rais basi na ya kitengamaa tusione wivu akisifiwa
 
Inakuaje Rais alaumiwe kwa kusifiwa ?
Aliwaambia waandishi sijui wakimfanya nini atawaparura na ikiwa vinginevyo atawapapasa sina uhakika na meneno ila nina paraphrase
hata Kamanda wa Anga alimsifia Mama kwa kumtoa Gerezani japo yeye ndie aliemuweka

kama mambo yakiharibika popote pale nchini huwa tunamlaumu Rais basi na ya kitengamaa tusione wivu akisifiwa
Tatizo lipo hapo yakiharibika ni either washauri au watendaji ndio hawaendi kwa kasi yake... Full propaganda mwanzo mwisho....

Hata mazuri kipindi cha JPM ni ya kwake mabaya yote ni JPM
 
Inakuaje Rais alaumiwe kwa kusifiwa ?

hata Kamanda wa Anga alimsifia Mama kwa kumtoa Gerezani japo yeye ndie aliemuweka

kama mambo yakiharibika popote pale nchini huwa tunamlaumu Rais basi na ya kitengamaa tusione wivu akisifiwa
Unafiki mtupu
 
Wakuu habari?

Hii trend ya kumsifia Rais kwa kila kitu hata ambavyo hajafanya na hahusiki navyo direct inazidi na tunakoelekea itawakatisha tamaa baadhi ya watu wenye moyo wakujitolea.

Kwenye taarifa ya habari leo ITV kuna mwananchi wilayani Kibiti kajitolea eneo lenye ukubwa wa hekari 9 kwa ajili ya ujenzi wa shule ya msingi kuwaepusha watoto wa eneo lile kutembea umbali mrefu kufuata shule huko iliko.

Cha ajabu na cha kushangaza ni kwamba kila alieohojiwa kwenye ile habari wakiongozwa na mbunge wa viti maalumu wa mkoa wa Pwani somebody Chatanda wamemwagia sifa kibao Rais Samia na sifa wanazotoa hamna namna zinam link rais husika na hili eneo alilolitoa mwananchi kwa ajili ya ujenzi wa shule. Mpaka nikahisi labda rais ana jina lingine anaitwa ndugu Salum Ally.

Mwisho wa siku mtoa eneo anakuja kupewa airtime mwishoni kabisa habari husika inakaribia kuisha. Sasa kwa mwendo huu si tutawakatisha tamaa wenye mioyo ya kujitolea? Maana hata mi siwezi kukubali kwa serikali hii ambayo inauza maeneo yote bila kuacha open space kwa ajili ya mahitaji ya baadae ya kijamii nijitolee eneo halafu sifa apewe mwana siasa.

Watanzania tupunguze uchawa kwenye kila kitu mbwa sisi
Wameshajua jua udhaifu wake ni mpenda sifa hivyo anapewa sifa za hovyo
 
Huu Sasa ni wivu wa kike 🤣🤣

Yepi hayo ambayo wewe unaona anasifiwa na hahusiki nayo na yamekukera?
 
Back
Top Bottom