Rais anapotumia blackbery kweli anatambua mfumo wa mawasiliano yake na udhibiti wa siri zake?

Hata sielewi ni siri Gani Mnazosema zipo kwenye Hii Nchi!! Ni sawa na Mtu Uko Uchi ila una ndoto kuwa Hakuna anayekuona!!
 
Mjapani:Nchi yetu ipo juu kiteknolojia,kuna mtoto alikatika mkono,tukamuunga,sasa ni mwana michezo!
Mchina:Sisi ni zaidi!Kuna mtoto alikatika miguu,tukamtibu,sasa ni mwanariadha!
Mtanzania:Usicheze na sisi wewe!Kuna mtoto alikatika kichwa,alikuwa anaishi pale Bagamoyo,tukamuwekea
Kifuu cha nazi,sasa amekua,ni raisi wa nchi!!!!(Source:Humuhumu)
 
Hata sielewi ni siri Gani Mnazosema zipo kwenye Hii Nchi!! Ni sawa na Mtu Uko Uchi ila una ndoto kuwa Hakuna anayekuona!!
 
Duh hapa nimenufaika kweli kweli kwa jinsi teknolojia inavyozidi kusonga mbele, bravo wana JF kwa kuwa on top na mambo ya teknolojia ya mawasiliano.
 
Mi ndiyo maana nilikataa kutumia BB hivihivi. Niliambiwa sms and calls,your destinations are monitored na center yao huko Canada,sijui States..Whether you like it or not. Hata maofisini,ukiona unapewa BB ufanyie kazi,kaa ukijua, bosi anaweza jua current location yako endapo atakuhitaji after job hrs,ama holidays.. I am comfortable with Nokia hapa nilipo.
 
je kuna umuhimu wa kila mwananchi kuwa na mawasiliano na rais ? kuna wakati watu wanawapigia viongozi wakubwa akiwepo rais na kanza story zingine za vijiweni....je huu ni wakati mwafaka rais kujihusisha na mawasiliano haya au ni aina ya tatizo linaloweza kusababishwa na tabia hii?
 
nchi za kiarabu zimepiga marufuku blackberry sababu ya mambo haya haya even ukipiga picha jamaa wanaona,
 
Actually ni opposite, nchi za kiarabu zinapiga marufuku kwa sababu wao (Waarabu) na vyombo vyao vya ki-Intelijensia vinashindwa kusoma message za watu, kwa sababu message za BBM ziko encrypted.

Saudi Arabia is to prevent the use of the Blackberry-to-Blackberry instant messaging service.
Both nations are unhappy that they are unable to monitor such communications via the handsets.
 
Katika taifa lilokua kiteknolojia dunia basi USA ni mojawapo
Walikaa wataalamu na kumshauri rais wao kuwa the most secured kilonga longa ni BB halafu ninyi mnakuja na hadthi gani hapa.
Kwanza simu za mkononi maraisi hawazitumii kwa shughuli za kiofisi zaidi ya mambo yao binafsi.
Hizo zote mnazosema hapa ni propaganda za wapinzani wa BB, when it comes kwenye usalama na usiri basi BB ni baba yao, trust me
 
usiri wa bb ni kwa sisi wenye technolojia ndogo lakini kwa wao waliozitengeneza na kudhibiti technolojia hii wanajua kila kitu na wakitaka kufanya chochote wanaweza
 
usiri wa bb ni kwa sisi wenye technolojia ndogo lakini kwa wao waliozitengeneza na kudhibiti technolojia hii wanajua kila kitu na wakitaka kufanya chochote wanaweza

Wewe unafikiri kwanini hao wataalamu wasimshauri atumie hizo zingine zilizo salama na warisk kutumia BB?.
Mkuu hizo ni propaganda za wapinzani wa RIM tu.
 
Naomba kufaham hawa wanao weza kufanya haya yote wanatumia computer application za aina gani?
 
Naomba kufaham hawa wanao weza kufanya haya yote wanatumia computer application za aina gani?
 
kwa teknolijia ya leo akuna siri tena kwenye mawasiliano unless tunaposema obama yy atakuwa salama mana wanausama watahakikisha rais wao yupo salama at any cost mana kwa cm tu wanaweza kukulipua kupitia gps na wakajua ulipo na picha ya ulipo kwa ufasaha bila ya ww tuachane na sms na call hayo mambo madogo na cio kwa bb tu ata kwa cm zote akuna ilo salama wakuu tusidanganyane hapa
 
Simu hazina siri/usalama, hasa pale unapokuwa unatumia calls na sms pamoja na internet kwa zile zenye net. Kwa hiyo tusidanganyane hakuna siri katika matumizi ya simu hasa mobile.
 
Obama ana Blackberry, lakini yake iko modified na anaweza kuwasiliana na watu 10 tu.
Acha siasa kwenye Techno hama Unachobisha nakua ckuelewi> Simu anayotumia Obama umeona wapi Verify. kuna info nyingi sana zilivuja kwa kina zito sababu ya ushenzi huo huo wa BB naona unaleta mchezo ww. Call and sms interception inawezekana kwa cmu yoyote na kwa mtandao wowote lakini kwa BB hakuna haja ya kuinstall soft ya cll interception ndugu habari zinavuja kama huna akili nzuri.
 
Back
Top Bottom