Rais Anapoacha Kuhutubia Siku ya Uhuru......Inaashiria nini?

Nimekua bega kwa bega na mhe.Rais but sasa naona ananiangusha! Flashback baadhi ya maMP washawahi kutoka mjengoni wat did it mean! siku izi kila mtu anafanya jambo la wajib wake kwa interest zake! hii ni mbaya sana tz inakoelekea ni unpredictable....!

Kuwa bega kwa bega na Mh. Rais maana yake nini? Je wewe ni mmoja wa wanafamilia wake?
 
Hotuba hotuba kitu gani kama hana jipya aseme nini au nyie mlikuwa hamna shughuli nyingine za kujiingizia kipato ambacho kodi yake ilikuwa inangojewa kwa ajili ya pati zijazo?
 
Kwa mazoea tangu nikiwa mdogo kuna kawaida ya Rais kuhutubia siku ya uhuru. Wakati wa hotuba Rais pia alitumia mamlaka yake aliyopewa kuwasamehe wafungwa, n.k. Sasa imekuwaje mambo yamebadilika mpaka leo Rais anahudhuria gwaride tu na kuishia zake.

Je umuhimu wa sherehe ya Uhuru imekwisha??

Je kuna sherehe nyingine kubwa ya kitaifa zaidi ya uhuru??

Ndugu yangu, hivi unamuona JK yuko kawaida sasa hivi? Nasikia kuitwa raisi roho inamuuma sana kwani anajua (pamoja na vijana wake wanajua pia) hakustahili na hii inaathiri hadi utendaji wake wa kazi. Hayuko vizuri tuanomba wanasaikolojia wamsaidie
 
kwani hamjui kuwa afya ya JK ni mgogoro. Ahutubie halafu angeanguka ndio mngefurahi??????
 
Kwa mazoea tangu nikiwa mdogo kuna kawaida ya Rais kuhutubia siku ya uhuru. Wakati wa hotuba Rais pia alitumia mamlaka yake aliyopewa kuwasamehe wafungwa, n.k. Sasa imekuwaje mambo yamebadilika mpaka leo Rais anahudhuria gwaride tu na kuishia zake.

Je umuhimu wa sherehe ya Uhuru imekwisha??

Je kuna sherehe nyingine kubwa ya kitaifa zaidi ya uhuru??

Kwanza MIMI nimeshtuka, RAisi wa wapi HUYO hajahutubia SIKU ya uhuru wa nchi yake??????? Hawezi kuwa mwelewa na mzalendo!!!!!!! Sidhani kama ni hap TZ!!!!!!!!!!! maana sisi BADO HATUJAPATA UHURU.....

Umoja wa mataifa ulimkabidhi uingereza, nchi ya Tanganyika ili watanganyika wakiweza kujutawala wakabidhiwe wajitawale..............

Then Waingereza nao WAKAMKABIDHI NYERERE ili kama siku watanganyika wakiweza kujitawala wajitawale, na siku hiyo ilikuwa 9/Decemba/1961

SASA BASI, HII NI SIKU YA KUKUMBUKWA AMBAPO NYERERE ALIKABIDHIWA NA WAINGEREZA NCHI ILI WATANGANYIKA (tanzania) WAKIWA TAYARI WAJITAWALE.......

bado hatujawa tayari.... ndo maana kuna CCM (ni bora hata utawala wa waingereza)..... UHURU NDO UPO KWENYE HARAKATI YA KUJA, ndo bado tunaupigania .......... ITAWEKWA trh YAKE kama kumbukumbu YA UHURU ila sasa ni KUKUMBUKA SIKU NYERERE ALIPOKABIDHIWA NCHI NA WAINGEREZA period!

Bado tunapigania uhuru.....
 
kama kale ndo kapati kadogo basi kweli watanzania tumeumia

lile ni jipati ati'

mh aliesema swala la party alikua right,cheki hii link (sherehe za uhuru zahitimishwa ikulu)ndo utajua why raisi alikua anawai alijua jioni atapata pilau lake na wine kwa sana,why aungue jua na sherehe zenu za uhuru

Global Publishers
 
Mimi kwa upande wangu wala sioni mantiki ya kusherehekea siku hiyo, kwa sababu ilipaswa tusherehekee siku ya Uhuru wa TANGANYIKA (RIP) ambayo ilishakufa zamani sana. Sasa kuna haja gani ya kusherehekea?. Zanzibar wana haki ya kusherehekea siku ya uhuru wa Zanzibar.
 
Duh kama kweli hajahutubia basi kazi ipo, yaani jamaa anaona hakuna maana yeyote kuwa na uhuru. Yangu masikio!

Ila mimi napongezwa kutoka kila kona ya dunia huuku ughaibuni kwa kupata uhuru na najivunia uhuru wa nchi yangu, lakini nyumbani ndiyo hivyo tena. Tutafika tu, hakuna lisilowezekana wakuu.

Nami nashangaa na zaidi ya kushangaa kwa nini Rais asilihutubie Taifa letu kwa sherehe ya Uhuru? Nadhani kuna jambo.
 
Mi nadhani alijua mr.invisible president dr.slaa angehutubia kupitia vyombo vya habari,ila naona mgawanyo wa majukumu uliwachanganya apa! Ila mmhh.yan hamna hotuba?ila sawa tu maana democracy in tz is in ICU,now dictating on lead. No speech means dictating!
 
Amegundua hana jipya or si unajua mahotuba yake ni kuandikiwa inawezekana yamelowa maji hakuweza kuhutubia!

Unataka kusema hapakuwa na mwamvuli au? Anaweza sana kuhutubia mh. JK. Hebu mshitukize uone anavyoshuka mambo. Labda sema hawakumkumbusha kuwa hajahutubia. Kuna mtu aliwahi kusema yeye huwa anasahau mambo mengi lakini kamwe hasahau watu. Naamini tuliohudhuria atatukumbuka.
 
Nilikuwa nimeignore hii thread lakin naona imekuwa na respondents wengi.
Hivi mmezaliwa lini nyie wengine mnaoona kutohutubia ni ajabu kwa vile imefanywa na jk?
Mbona mi nilishuhudia mara nyingi Nyerere akikagua gwaride siku ya uhuru bila kuhutubia?
Ninakumbuka moja nilikuwapo ilifanyika mza miaka ya 80.
 
kwa mazoea tangu nikiwa mdogo kuna kawaida ya rais kuhutubia siku ya uhuru. Wakati wa hotuba rais pia alitumia mamlaka yake aliyopewa kuwasamehe wafungwa, n.k. Sasa imekuwaje mambo yamebadilika mpaka leo rais anahudhuria gwaride tu na kuishia zake.

Je umuhimu wa sherehe ya uhuru imekwisha??

Je kuna sherehe nyingine kubwa ya kitaifa zaidi ya uhuru??
rais ana haki kabsa ya kutohutubia,maana alietakiwa ahutubie ni rais ya tanganyika,si rais wa muuungano,angekuwepo rais wa tangayika hapo ndo palikuwa mahala pake,huyu wa muungano nimgeni mwalikwa kama marais wengine
 
kwa mazoea tangu nikiwa mdogo kuna kawaida ya rais kuhutubia siku ya uhuru. Wakati wa hotuba rais pia alitumia mamlaka yake aliyopewa kuwasamehe wafungwa, n.k. Sasa imekuwaje mambo yamebadilika mpaka leo rais anahudhuria gwaride tu na kuishia zake.

Je umuhimu wa sherehe ya uhuru imekwisha??

Je kuna sherehe nyingine kubwa ya kitaifa zaidi ya uhuru??
rais ana haki kabsa ya kutohutubia,maana alietakiwa ahutubie ni rais wa tanganyika,si rais wa muuungano,angekuwepo rais wa tanganyika hapo ndo palikuwa mahala pake,huyu wa muungano ni mgeni mwalikwa tu kama marais wengine
 
Asimame muda mrefu akihutubia akianguka tena? Mnauliza kama hamjua yanayomsibu mkuu wa Kaya!! Afya mgogoro wazee mwoneeni huruma huyu mtu!!
 
Alikuwa anafikiria kwenda kubembea jamaica na salmna na riziwani
 
Nami nashangaa na zaidi ya kushangaa kwa nini Rais asilihutubie Taifa letu kwa sherehe ya Uhuru? Nadhani kuna jambo.

Aseme nini? Jamani ni ngumu sana kupata cha kuongea siku hiyo ya uhuru wa nchi ambayo haipo. Na kwa vile hana cha kuongea inabidi akague gwaride na kuondoka kimya-kimya. Kuongea kitu siku ya uhuru ni kujichongea mwenyewe, ni kuibua majeraha ya watanganyika na ku-create awareness ya utanganyika katika watu (kitu ambacho hakitakiwi). Kuongea siku ya uhuru wa tangayika lazima hatakwepa kutamka neno/jina "Tanganyika" ambalo sasa linaonekana kuwa mwiko, na kuogopwa na wakubwa wetu kama ukoma. Ni bora akae kimya kuepusha shida hizo!!
 
Kwa mazoea tangu nikiwa mdogo kuna kawaida ya Rais kuhutubia siku ya uhuru. Wakati wa hotuba Rais pia alitumia mamlaka yake aliyopewa kuwasamehe wafungwa, n.k. Sasa imekuwaje mambo yamebadilika mpaka leo Rais anahudhuria gwaride tu na kuishia zake.

Je umuhimu wa sherehe ya Uhuru imekwisha??

Je kuna sherehe nyingine kubwa ya kitaifa zaidi ya uhuru??

If you know world affairs and knows what is happening in Tanzania, it's easy to guess!Ukweli ni kwamba we are not free ,we are slaves.This contradicts the motive of the celebration itself,na naamini kama ana chembe kidogo za ubinaadamu anasutwa.Otherwise kama kweli tungekuwa huru, sherehe hizi ni relevant sana.
 
Kwa mazoea tangu nikiwa mdogo kuna kawaida ya Rais kuhutubia siku ya uhuru. Wakati wa hotuba Rais pia alitumia mamlaka yake aliyopewa kuwasamehe wafungwa, n.k. Sasa imekuwaje mambo yamebadilika mpaka leo Rais anahudhuria gwaride tu na kuishia zake.

Je umuhimu wa sherehe ya Uhuru imekwisha??

Je kuna sherehe nyingine kubwa ya kitaifa zaidi ya uhuru??

Kuna mawili huenda kaona hana jipya la kuwaeleza watanzania wa leo ambao wamechochwa na maneno na sasa wanataka vitendo hivyo akaona ni bora watu wawahi makazini kuliko kuendelea kumsikiliza au kutokana na uchovu wa safari alioupata siku chache alipokuwa safarini kulikuwa na likelihood kubwa sana kwa yeye kurudiwa na ile hali ya "aisee moment" hivyo madaktari wakamshauri apumzike asisimame kuhutubia.
 
Back
Top Bottom