ure not normal at all!
shekhe yahya atakuwa amemwambia yule ''shetani'' yupo mitaa ile na akiendelea kuhutubia ataanguka.
Sidhani kama alikuwa amekwenda pale kukagua gwaride tu then atimue. Kuna kitu kitakuwa kimetokea. Nani alihutubia ule umati wa watu instead?
Kwa mazoea tangu nikiwa mdogo kuna kawaida ya Rais kuhutubia siku ya uhuru. Wakati wa hotuba Rais pia alitumia mamlaka yake aliyopewa kuwasamehe wafungwa, n.k. Sasa imekuwaje mambo yamebadilika mpaka leo Rais anahudhuria gwaride tu na kuishia zake.
Je umuhimu wa sherehe ya Uhuru imekwisha??
Je kuna sherehe nyingine kubwa ya kitaifa zaidi ya uhuru??
Kwani wewe umealikwa au uko getini kuwalinda.Apoteze muda wake kuwahutubia Wadanganyika afu achelewe kwenda kula Bata!!Hii ndo ccm Bhana watu wapo Ikulu wanakula Vyuku naku drink Mawine na Mawhisky saivi nyie Mtakomea kulialia nakunung'ung'unika tu hadi siku ambapo AKILI zenu zitakapokaa sawa.
Kwenye sherehe ya uhuru Rais hatoi hotuba. Anakagua gwaride tu.
kama kale ndo kapati kadogo basi kweli watanzania tumeumiaww unauliza au unabisha?jion 6pm kunakadhifa kadogo ka kusheherekea uhuru.
ahca ndoto wewe, Mwalimu died several years agosasa hivi nyerere atakuwa anahangaika sana na kusikitika mno!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!