Rais Anapoacha Kuhutubia Siku ya Uhuru......Inaashiria nini?

Hivi nyie mlitaka rais Mwizi aseme nini? Kwanza anaona aibu kwa Wizi wake then asingeweza kuongea kabisa, bora alivyokacha maana daflao la leo lingekuwa bab-kubwa bora awe anaongea na Banyamulenge wake.
 
Kwa mazoea tangu nikiwa mdogo kuna kawaida ya Rais kuhutubia siku ya uhuru. Wakati wa hotuba Rais pia alitumia mamlaka yake aliyopewa kuwasamehe wafungwa, n.k. Sasa imekuwaje mambo yamebadilika mpaka leo Rais anahudhuria gwaride tu na kuishia zake.

Je umuhimu wa sherehe ya Uhuru imekwisha??

Je kuna sherehe nyingine kubwa ya kitaifa zaidi ya uhuru??

anafahamu hakuna uhuru wa kweli!
 
Vijana wengi wanakosa kitu kinaitwa "past experience
" si mara ya kwanza sherehe za uhuru kufanyika na mara nyingi si lazima kuwe na speech. Vijana tumekuwa mateka wa siasa. Let us be critical in thinking. Habari nyingi zinachakachuliwa na watu waliosoma kwa kuchakachuliwa.

....Katika vyuo vya uchakachuaji!
 
kama CHADEMA wamesusa itakuwa hotuba? hotuba na kususa kipi kikubwa.....MKISUSA SIE TWALAA
 
Kuana mambo mawili yanaweza kuwa chanzo:
1. watu walienda kuangalia gwaride akaona akianza kuhutubia watu watatoka akaabika kwa mara nyingine
2. khari ya mh. haikuwa nzuri si uliona ambulance

Huyu bwana dhamira yake inamsuta jinsi alivyoupata Urais safari hii; he knows that legitemately he is not the President but legally, yes he is!! Hata hivyo nadhani afya yake inaonesha bado tete kwani nilimuona anakunywa maji yenye dawa[most likely] mara alipokuwa anaketi pale jukwaani wakati wanaangalia ligwaride!!
 
Hivi nyie mlitaka rais Mwizi aseme nini? Kwanza anaona aibu kwa Wizi wake then asingeweza kuongea kabisa, bora alivyokacha maana daflao la leo lingekuwa bab-kubwa bora awe anaongea na Banyamulenge wake.
Mind your language buddy
 
Ahutubie juu ya uchakachaji wa kura au nin? He has run out of ideas na nchi inamshinda kabisa ushahidi si mmnauona, umeme hakuna, maji hakuna, foleni kama kazi etc etcsasa atasema nini zaidi 50 yrs after independence?
 
kwa mazoea tangu nikiwa mdogo kuna kawaida ya rais kuhutubia siku ya uhuru. Wakati wa hotuba rais pia alitumia mamlaka yake aliyopewa kuwasamehe wafungwa, n.k. Sasa imekuwaje mambo yamebadilika mpaka leo rais anahudhuria gwaride tu na kuishia zake.

Je umuhimu wa sherehe ya uhuru imekwisha??

Je kuna sherehe nyingine kubwa ya kitaifa zaidi ya uhuru??

acha kukrem nani alikuambia kuwa ni lazima rahisi mkwere ahutubie kila sikukuu ,sheria ngani uijuayo weye inayombana mkwere kuandaa hotuba kila sikukuuu wakati anatakiwa kuwahi traventine kwenye taarab ya mzee yusuphhhhh?????
 
He! na nyinyi binadamu hamuridhiki na cho chote kile anachokifanya JK - angehutubia mungeanza maneno yenu mengi humu, leo hakuhutubia basi pia imekuwa maneno.

Sasa mulitaka muambiwe maneno gani mapya?????????????????
 
Kuana mambo mawili yanaweza kuwa chanzo:
1. watu walienda kuangalia gwaride akaona akianza kuhutubia watu watatoka akaabika kwa mara nyingine
2. khari ya mh. haikuwa nzuri si uliona ambulance

kwani alikuja kwa kutumia ambulance?
 
Jamani eeh....kusafiri ni moja ya Hobbies za mtu...kuna watu tunapenda sana kusafiri, Tunaona RAHA tu kuwa safarini si kupanua jiografia tuliyonayo bali hata kufahamiana na watu wa maeneo mbalimbali. Si mkinichagua mimi kuwa RAIS wenu mjue kabisa kuwa mtakaa na mimi Home 2 days in one week, 5 days ntakuwa Safarini koz ndiyo hobbie yangu....Sasa wenye hobbie hii tupo wangapi???? hope tupo wengi sana including na Muungwana, so msimlaumu sana koz kabla hatujamchagua tuliona hobbie sio kitu muhimu sana, tukakiignore na sasa tunakizungumzia.

Najua wengi wetu tumesoma St. Govt, so hadithi kama SADIKI NA SIKIRI, KIBANGA AMPIGA MKOLONI, SIZITAKI MBICHI HIZI nk mtakuwa mnazikumbuka sana, lakini bila kusahau kuwa kulikua na kitabu cha ALFU LELA ULELA, mle ndani kulikua na hadithi ya SAFARI SABA ZA SINBAD BAHARIA, So may be MUUNGWANA NI KAMA SINBAD BAHARIA.......Kuna ulazimu wa KATIBA MPYA KUADDRESS swala la Hobbies kwa Viongozi wetu??????? Tusije chagua wazururaji jamani.....
 
Nimekua bega kwa bega na mhe.Rais but sasa naona ananiangusha! Flashback baadhi ya maMP washawahi kutoka mjengoni wat did it mean! siku izi kila mtu anafanya jambo la wajib wake kwa interest zake! hii ni mbaya sana tz inakoelekea ni unpredictable....!
 
Kwa mazoea tangu nikiwa mdogo kuna kawaida ya Rais kuhutubia siku ya uhuru. Wakati wa hotuba Rais pia alitumia mamlaka yake aliyopewa kuwasamehe wafungwa, n.k. Sasa imekuwaje mambo yamebadilika mpaka leo Rais anahudhuria gwaride tu na kuishia zake.

Je umuhimu wa sherehe ya Uhuru imekwisha??

Je kuna sherehe nyingine kubwa ya kitaifa zaidi ya uhuru??

Hivi huu ulikuwa ni uhuru wa nchi gani vile? Maana ya hizi sherehe haipo kwa sababu nchi yenyewe inayosherehekewa uhuru wake ilishakufa. Kwa kuweka rekodi sawa uhuru unaosherehekewa siyo wa TANZANIA.
 
Back
Top Bottom