RAID Controller

Buswelu

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
1,998
352
Hello JF

Niko na compute yenye hard Drive mbili...moja ikiwa na 37GB na ingine ikiwa na 200GB...mwaka jana iliingiliwa na virus..mmoja akala OS.

Mwaka huu nika format computer yote na nimeweka OS XP tena...sasa katika kuistall Drivers ya RAID Controller ambayo itaniwezesha kusoma HARD DISiK ingine yenye 200GB imegoma...hata imeomba formated Disk niweke...ila iweze ku istall hakuna matokeo mazuri...

Kuna mtu anajua nini kifanyike...ile niweze kuinstall hiyo driver,na hatimaye kuweza kusoma hiyo HDD ingine?Computer hii ni DELL PRECISION 650(Xeon(TM) CPU 3.06GHZ,3.25 of RAM

Regards
Buswelu
 
hello buswelu ulivyofanya partition je hiyo ingine 200 uliifanyia pia na kuiformat ili iweze kutumika ? kama sivyo basi ujue unatakiwa hiyo freespace iwe formated kama haina data lakini inategemea kama hiyo 200 ni hdd nyingine na unatumia brandgani ya computer

lakini all in all raid driver haiwezi kusitisha kuona chochote ndani ya pc yako cd ya xp huwa inakuja na defalt driver za raid sema kama unatumia server ndio inaweza kuwa mengine kutokana na config za hiyo server inabidi uangalia specs za hiyo server katika tovuti yake husika

na kama ulishainstall kila kitu unataka raid controller pia angalia katika tovuti ya hiyo computer kama ni brand kama dell au hp

weekend njema
 
Shy....wakati nafanya format hiyo sikuifanyia kwa kuwa....ilikuwa haisomi...unaweza iona likini no acces ya kuweza kuiformat...wakati wa ku format...inakupa ruhusa ya kusoma hdd moja tu yenye 37GB....

Hapo napo ni tatizo jingine...hata mie najua ni CD za XP huja na default drivers za Raid...but am stack dont knw what to do..let check kwenye web....

Regards
Buswelu
 
Ahsante kwa kujulisha sasa njia rahisi na nyepesi tumia cd ya windows vista utaweza kuona drive zote pamoja na hiyo nyingine kisha utaweza kuiformat kwa kutumia hiyo cd
 
poa kuhusu ishu za raid controller nenda kwenye bios setting allaf set hiyo hard disk nyingine kama slave kama ikikataa check hiyo drive ya 200gb ndiyo uiwekeee OS alaf
uionganishe hiyo nyingine kama slave ila inategemea hiyo yoa 200gb ni external au internal hard disk m2mzima ka ni hizi external zetu mzee baada ya kuiconect kwenye
system nenda kwenye my computer right click manager alaf check device manager moja kwa moja nenda kacheki maswala ya raid controler au check storage device upo hapo
G day
 
Dear Buswelu and others.

From reading the posts of most responders, it sounds like they have never worked on a machine with RAID. FYI RAID stands for Redundant Array of Inexpensive disks - Several disks can be made to appear as ONE LOGICAL Disk.

Now, to solve your problem either find the Startup CD that came with the machine. Before you install your OS, boot using the CD. It will load all the necessary drivers then start OS installation. OR visit the DELL SUPPORT website then look for you machine model and download the drivers.

cheers

Prince
 
Back
Top Bottom