sinafungu
JF-Expert Member
- Feb 13, 2010
- 1,524
- 863
Ameoa mwezi wa nne. sasa hivi mkewe ni mjamzito, wiki iliyopita mkewe amedai arudi nyumbani , jamaa akamgomea, lkn ikawa tifutifu hadi jamaa kamsafirisha, kufika nyumbani , ametoboa siri kumbe jamaa amemla mgongo mkewe hakukubaliana na hali hiyo. kwa sasa anaitwa huko kwao wakina shangazi , wakwe, babu na bibi wanamuhitaji akajieleze........!!! kanijia na taraka eti anampelekea mkewe,nilivyomdadisi ndo akaniambia (nikashindwa la kumshauli) WANA JF tusaidiane tafadhali.