wiseboy
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 2,931
- 3,299
mambo mengine bhana ni aibu za kidunia, hivi unaenda kwao mwanamke unakuta wamekaa kikao cha watu zaidi ya 10 tena wenye heshima, halafu unasimama kunyosha maelezo eti uligonga buzz au hukugonga, mh ngumu kumeza...bora asiende na ajiandae kuoa mwingine coz fedheha ya hapo usiombe.