Rafiki yangu hajui la kufanya..........!!!

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
Ameoa mwezi wa nne. sasa hivi mkewe ni mjamzito, wiki iliyopita mkewe amedai arudi nyumbani , jamaa akamgomea, lkn ikawa tifutifu hadi jamaa kamsafirisha, kufika nyumbani , ametoboa siri kumbe jamaa amemla mgongo mkewe hakukubaliana na hali hiyo. kwa sasa anaitwa huko kwao wakina shangazi , wakwe, babu na bibi wanamuhitaji akajieleze........!!! kanijia na taraka eti anampelekea mkewe,nilivyomdadisi ndo akaniambia (nikashindwa la kumshauli) WANA JF tusaidiane tafadhali.
 
Mh Mazoea mabaya,amejifunzia hayo mambo kwingine anayaleta kwenye ndoa aaargh ! wacha binti asepe....
 
ah huyo naye bwana....hii mgongo tamu jamni ukishaanzangumu kuacha.
ila mke nae vipi angempa tuu jamaa apate utamu jamanii
 
Duh! Hii kweli kali yaani huyu bwana ameshindwa tofautisha mke na mwanamke wa nje?Inawezekanaje kweli hata kumuanza kumuambia mke wako wa maisha kuwa munahitaji kufanyakitendo hicho,I CANT IMAGINE.
Au jamaa amekuambia walikubaliana au alilazimisha,au alikuwa amelewa?

Hamna ushauri wowote zaidi ya yeye kusubiri kuvuna alichokipanda.PERIOD.
 
Ameoa mwezi wa nne. sasa hivi mkewe ni mjamzito, wiki iliyopita mkewe amedai arudi nyumbani , jamaa akamgomea, lkn ikawa tifutifu hadi jamaa kamsafirisha, kufika nyumbani , ametoboa siri kumbe jamaa amemla mgongo mkewe hakukubaliana na hali hiyo. kwa sasa anaitwa huko kwao wakina shangazi , wakwe, babu na bibi wanamuhitaji akajieleze........!!! kanijia na taraka eti anampelekea mkewe,nilivyomdadisi ndo akaniambia (nikashindwa la kumshauli) WANA JF tusaidiane tafadhali.

Rafiki yako anaitwa sinafungu
 
Last edited by a moderator:
Sasa sisi tushauri nini mkuu, kwamba asiende na talaka kijijini au aiandike kwenye karatasi la chooni...
 
Duh! Hii kweli kali yaani huyu bwana ameshindwa tofautisha mke na mwanamke wa nje?Inawezekanaje kweli hata kumuanza kumuambia mke wako wa maisha kuwa munahitaji kufanyakitendo hicho,I CANT IMAGINE.
Au jamaa amekuambia walikubaliana au alilazimisha,au alikuwa amelewa?

Hamna ushauri wowote zaidi ya yeye kusubiri kuvuna alichokipanda.PERIOD.

Kwa hiyo wanawake wa nje ndo wa kuliwa mgongo?
 
BIBLE si imetamka kwamba mke hana amri juu ya mwili bali mumewe.
Hata jicho ni haramu ya mume eti jamani??
 
AlimjARIBU WIFE TU HUYO CHALII AKASHANGAA IMEENDA MAANA SIO RAHISI KIIVO KULA
GONGO SASA ANAHISI YEYE SIO WA KWANZA NDIO MAANA
mGONGO MGONGOOOOOOOOO,MGONGO MGONGOOOO
 
Hahaa dah 0713 inataka kuwa ugonjwa wa kitaifa kama malaria sasa!

Hapo inabidi aende tu akalipie his crimes, hayo ya talaka yafwate baadaye
 
No! Najaribu kusema kuna unavyoweza fanya na wanawake wa nje kutokana na ka-tabia lakini kamwe huwezi dhubuti kwa mkeo bana.

As for me hata km ningekuwa mwanamke wa nje, siwezi kabisa kukubali kufanyiwa upuuzi huo, na pengine itokee uingize maada hiyo ndo ingekuwa mwisho. Heshima ya mwanamke iko pale pale either amelewa or hajaolewa. Unless hajieshimu mwenyewe.
 
jamani style zingine muwe mnawaomba kabla ya kuchomeka, na huyo dada alilazimishwa (rape) au alikubali mwenyewe halafu sasa hivi roho inamsuta?? naomba kuelezwa ili nijue namna ya kuendelea
 
Sasa kama wife anapenda gongo utafanyaje utaacha watu wakakusaidie
ili waseme kuwa wanakula nje au utapiga tu gongo?
 
jamani style zingine muwe mnawaomba kabla ya kuchomeka, na huyo dada alilazimishwa (rape) au alikubali mwenyewe halafu sasa hivi roho inamsuta?? naomba kuelezwa ili nijue namna ya kuendelea

Inawezekana jamaa kmharibu sana mama, sasa kaamua kwenda nyumbani maana anaogopa atajifunguaje naye ana jamba jamba... vijana acheni kuiga ujinga!!!
 
Inawezekana jamaa kmharibu sana mama, sasa kaamua kwenda nyumbani maana anaogopa atajifunguaje naye ana jamba jamba... vijana acheni kuiga ujinga!!!
hii pia ni possibility, dada anaona aibu.
hivi hakuna dawa ya kurudisha 'bikra' 0713 ibane? :lol:.
 
Tigo tamu nyie vijana tena umpate mwenye wezele tipwatipwa dah hata Harrier namhonga!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom