Rafiki kutambulishwa kwa mke/mume/mchumba? IS IT REASONABLE?

Mmojawapo anashirikiana na shemejiye wananipigia simu/sms wanatukana we eti homebreaker! wakati mie ilikuwa ni urafiki tu,tena angenishukuru kwa vile nilikuwa namtwanga injili mumewe aokoke.

ZD huyo lazima umemzidi katika nyanja mbalimbali so akawa insecured.....alimpotezea jamaa nafasi ya kuokoka which would have punguzad mastress ndani huko
 
Hatari gani wakati ni urafiki wa kawaida tu? Namleta nyumbani wife anampikia chai, wanapiga stori kama kawaida. Kuna hatari gani hapo?
Hujawahi ona watu wanatambulishana kama marafiki kumbe wanabenjuana...??? Mtu yeyote aliyekaribu na mkeo/mumeo ana nafasi kubwa sana kukuchulia kuliko yule aliye mbali naye.
 
Nimesema tangu utotoni mpaka sasa. Kote ulikopitia mpaka ulipofikia. Hujawahi kuwa na marafiki wa kiume? Wote walikutongoza?
Asilimia kama 99 wanaanza vizuri eti ushauri,urafiki lakini badae wanavuka mipaka,wanaume bana ,kazi kwelikweli.
 
Mmojawapo anashirikiana na shemejiye wananipigia simu/sms wanatukana we eti homebreaker! wakati mie ilikuwa ni urafiki tu,tena angenishukuru kwa vile nilikuwa namtwanga injili mumewe aokoke.

Inategemea ulikuwa unampigia wapi hiyo injili. Hahaha! Pole sana. Na wao ungewapigia au kutatumia sms waokoke! Namba zako za simu walizipatia wapi? Inawezekana hukuwa introduced kwa mke wake ndiyo maana. Ungekuwa introduced wasingekutukana, sasa hivi wangekuwa wameshaokoka. Unaona umuhimu wa introduction sasa?
 
haya ngoja nikatambulishe leo mambo yakienda kombo kesho nakujia na mapanga hapa

Hahahaha! Umekula SENKSI! Inategemea utakavyo introdyuzi lakini! Hahaha! LOL! Na inategemea utakayemtambulisha, isije ikawa unatambulisha kibustani, manake tabia zao huwa hazijifichi. Kwa mtindo huo ukila mkong'oto afu uje na mapanga ntakurudisha na n'chale.
 
Shemeji nimekugongea SENKS haki ya nani na nilivomchoyo wa hizo kitu lol!!!
 
THANKS Iribini once again, nadhani compressor umejibika, Iribini hadi mlegend wangu mbona anamfahamu??? hahaaaaa

Compressor tukiwa marafiki ntakuintroduce usijali...

Mmh!
 
Inategemea ulikuwa unampigia wapi hiyo injili. Hahaha! Pole sana. Na wao ungewapigia au kutatumia sms waokoke! Namba zako za simu walizipatia wapi? Inawezekana hukuwa introduced kwa mke wake ndiyo maana. Ungekuwa introduced wasingekutukana, sasa hivi wangekuwa wameshaokoka. Unaona umuhimu wa introduction sasa?
Yani tukio mojawapo imetokea nyumbani kwake huyo kaka,Hata intro haijaanza,wacha waanze kurushiana magumi,Nani huyu nakwambia!!!!! utanieleza leo!!!.Sijui walikuwa na ugomvi wa siku nyingi? Halafu nilikuwa mgeni maskini hapa mjini hata manzese sipajui,wangeniua sijui ingekuwaje,wacha nikimbie nje haraka, yani hatari sana.
 
Crispin, huo utambulisho unaotaka kuufanya ni hatari sana...Utamfanya mamsap wako akose raha kwa sababu ya huyo rafiki yako wa kike. Kama unabisha kajaribu leo uone bifu litakalo tokea.
 
Shemeji nimekugongea SENKS haki ya nani na nilivomchoyo wa hizo kitu lol!!!

Mambo gani hayo umesema umenigongea senksi kumbe hola! We ni mchoyo wa senksi au na vingine?
 
Hahahaha! Umekula SENKSI! Inategemea utakavyo introdyuzi lakini! Hahaha! LOL! Na inategemea utakayemtambulisha, isije ikawa unatambulisha kibustani, manake tabia zao huwa hazijifichi. Kwa mtindo huo ukila mkong'oto afu uje na mapanga ntakurudisha na n'chale.
umeona sasa unaanza kuweka ulakini katika mpango mzima wa kujitambulisha.ndiomana nikasita,inategemea pia yeye atatafsiri vipi,kaka kuna kamchezo flani cha kimarekani nilipata kukaona kanaitwa Brown sugar,mambo yalikuwa magumu mwishowe.pamoja kulikuwa na makosa madogomadogo
 
Mambo gani hayo umesema umenigongea senksi kumbe hola! We ni mchoyo wa senksi au na vingine?

shem batani ni ngumu niliigonga kumbe haikufanza mambo but just didi it!!!

u can imagine 'senks' zinatoka kwa bajeti je hivyo vingine inakuwaje??? hahaaaa
 
shem batani ni ngumu niliigonga kumbe haikufanza mambo but just didi it!!!

u can imagine 'senks' zinatoka kwa bajeti je hivyo vingine inakuwaje??? hahaaaa

Umepewa bure, toa bure! Hahaha! Turudi kwenye mada, can you introduce me to your real nguli?
 
Kwani hii thread tittle yake ni ipi? hebu nikumbusheni jamani

ZD yamekuwa hayo mamii...off topic muhimu vinginevyo the whole thing becomes monotonous.....(sore off topic once again) tusamehe

tunaongelea kuwaintroduce the so called 'best friends'
 
Crispin, huo utambulisho unaotaka kuufanya ni hatari sana...Utamfanya mamsap wako akose raha kwa sababu ya huyo rafiki yako wa kike. Kama unabisha kajaribu leo uone bifu litakalo tokea.

Ndio maana nikaomba ushauri mzee, manake kabinti kenyewe nakotaka kukaintrodyuzi ni mashaka matupu. Lakini ni karafiki kiukweli. Tumeshibana sana. Nahofia wife asije akanikuta nako mtaani siku moja akajua ni nyumba ndogo yangu ukawa msala. Na mama watoto wangu anapiga kung fuu kama Sho Kosugi! Mtoto wa watu asije akaharibiwa dental formula yake.
 
kwa kweli mi naona suala la mume wa mtu kuzoeana na mwanamke hadi "Mnapiga stori, mnabadilishana mawazo, mnashauriana mambo mengi, mnasaidiana kwa mambo mbalimbali na vitu kama hivyo" bila mke kujua tayari lina walakini....

kwani Chris mke wako akija na m baba usiyemjua akamtambulisha kwako kama rafiki yake ambaye wanapiga stori, wanashauriana mambo mengi, wanabadilishana mawazo na kusaidiana kwa mambo mbalimbali, utajisikiaje? mi naona feelings ktk haya masuala ni zile zile kwa mke/mume..kinachotofautiana ni reaction baada ya hapo..

ni bora kama mtu umeoa/umeolewa watu wa jinsia tofauti wabaki kuwa acquaintance tu au hata marafiki wa kawaida lakini sio marafiki wa karibu kiasi hicho
 
Back
Top Bottom