Radio Maria haipatikani mtandaoni, kuna tatizo

albani

Member
May 29, 2012
24
3
Wana jamvi, tangu juzi usiku radio maria haipatikani mtandaoni. Sisi tulio nje ya nchi tulikuwa tunaitegemea kupata angalau taarifa za nyumbani. Kuna mtu yeyote anayejua ina tatizo gani na ni lini tutaweza kuisikia tena
 
Isotope, nimekuwa naichangia sana nyumbani. Ila kwa miezi miwili sasa niko nje ya nchi sijaweza kuichangia. Nilituma msg kupitia mtandao wa facebook ila pia hawajajibu. Nahisi wanasoma na kutoa majibu redioni ila kwa kuwa sisikii siwezi jua kama wamejibu. Wangekuwa wanajibu nao kupitia mtandao ningeona jibu
 
Unatumia Tunein Pro? Pole sana
 
Wana jamvi, tangu juzi usiku
radio maria haipatikani mtandaoni. Sisi tulio nje ya nchi tulikuwa
tunaitegemea kupata angalau taarifa za nyumbani. Kuna mtu yeyote
anayejua ina tatizo gani na ni lini tutaweza kuisikia tena

wanataka kujiunga na redio "imani ya mashetani" itakayotoka jela tar 28.
 
Mkuu nenda kwa wabepage yao select live kisha utaona window media,real player nk.select which one is compatible with your pc.hata mimi nilipata tabu kuwatafuta tunein,streema etc..nadhani huko italy wanakopokea matangazo ya satelite na kurusha online ndio watakua wamefanya changes kwani radio maria ipo controlled italy.ni kwa radio maria zote duniani
jaribu hii mkuu.
 
Wana jamvi, tangu juzi usiku radio maria haipatikani mtandaoni. Sisi tulio nje ya nchi tulikuwa tunaitegemea kupata angalau taarifa za nyumbani. Kuna mtu yeyote anayejua ina tatizo gani na ni lini tutaweza kuisikia tena

Ulikuwa unaipata kwa namna gani? Ninaisikiliza sasa hivi, mtandaoni.

Nakushauri ufanye hivi:

1. Download Download - Screamer Radio

2. Ukishainstall, weka URL LIVE RADIO

Utaipata. Haina shida.

Screamer Radio ina uwezo mkubwa wa kupata radio yoyote ile inayotangaza mtandaoni. Tena unaweza kurekodi vipindi na kuvisambaza au kusikiliza baadaye kama una shughuli nyingine.

Kila la heri.
 
Wana jamvi, tangu juzi usiku radio maria haipatikani mtandaoni. Sisi tulio nje ya nchi tulikuwa tunaitegemea kupata angalau taarifa za nyumbani. Kuna mtu yeyote anayejua ina tatizo gani na ni lini tutaweza kuisikia tena

Labda imeona zengwe kwenye digitali na kuamua kurudi zake zilipendwa "analogia'.
 
Mkuu nenda kwa wabepage yao select live kisha utaona window media,real player nk.select which one is compatible with your pc.hata mimi nilipata tabu kuwatafuta tunein,streema etc..nadhani huko italy wanakopokea matangazo ya satelite na kurusha online ndio watakua wamefanya changes kwani radio maria ipo controlled italy.ni kwa radio maria zote duniani
jaribu hii mkuu.
Ndugu Lokissa, nashukuru sana kwa msaada wako wenye nia njema. Napenda kukujulisha kuwa kwa kupitia maelezo yako, sasa Napata radio maria muruwa kabisa. Once again thank you very much
 
Jamani mi nilikuwa naomba msaada wenu juu ya v2 gani vinahitajika katika kusikiliza redio on line zaidi ya software aliyoiweka mkuu hapo juu
:help:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom