Kuna tatizo mahali, dola hakuna sekta binafsi zinakufa

senzighe

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
1,979
1,512
Kwa sasa hivi pesa ya kigeni hususani dola haipatikani hata kwenye mabenki ambayo sekta zetu binafsi zinafanya nazo biashara. Mambo yanakwama inapofika kuagiza mahitaji kutoka nje ambavyo ni sehemu ya utekelezaji wa kazi yoyote au mradi. Hata dola 1000 kupata ni tatizo.

Je, kitu gani kinaendelea? Mimi na umri wangu mkubwa tumepitia changamoto nyingi za kiuchumi toka enzi za Mwalimu lakini jambo kama hili halikuwahi kutokea. Sasa tunaelekea wapi? Mbona hata hakutolewi tamko kuelezea hili jambo? Je, waziri wa fedha haoni kwamba hili ni tatizo?

Miaka michache ya nyuma na hususan wakati wa Hayati Magufuli tulikuwa tunapewa taarifa kuwa nchi yetu ina akiba ya kutosha na wakawa wanataja hata kipindi ambacho kama itokee dhiki ya namna gani, kwa akiba iliyopo tungeweza kumudu kuagiza nje kwa miezi kadhaa. Sasa hii akiba imeenda wapi?

Jamani tuzidi kujitafakari, kuna tatizo mahali.
 
Kwa sasa hivi pesa ya kigeni hususan dola haipatikani hata kwenye mabenki ambayo sekta zetu binafsi zinafanya nazo biashara. Mambo yanakwama inapofika kuagiza mahitaji kutoka nje ambavyo ni sehemu ya utekelezaji wa kazi yoyote au mradi. Hata dola 1000 kupata ni tatizo. Je kitu gani kinaendelea? Mimi na umri wangu mkubwa tumepitia changamoto nyingi za kiuchumi toka enzi za Mwalimu lakini jambo kama hili halikuwahi kutokea.Sasa tunaelekea wapi ? Mbona hata hakutolewi tamko kuelezea hili jambo? Je waziri wa fedha haoni kwamba hili ni tatizo?

Dola kukosekana ni ishara ya nchi kukosa exports kwenye biashara ya kimataifa na sheria ngumu za kudhibiti dola.

Ukiwa na bidhaa za ku export na sheria nzuri, dola zipo nyingi tu soko la kimataifa zinatafuta bidhaa.

Watu wanatafuta jinsi ya kupata Konyagi na Dodoma wine, lakini hawazioni katika soko la kimataifa.

Kwa nini? Watanzania hawajajipanga katika exports.

Halafu wanalia dola hazipo.

Dola zitakuwapo vipi wakati kila kitu mna import, mpaka toothpicks?

Hamjui kuwa hivyo vitu mnavyo import ndiyo dola hizo mnatoa nje?

Dola itakuwapo vipi wakati exports ni ndogo sana?
 
Uhaba wa Dola ni Dunia nzima. Solution tafuta Currency nyengine, watu wanahangaika kutumia currency zao sasa hivi kwenye international trade.
 
Dola kukosekana ni ishara ya nchi kukosa exports kwenye biashara ya kimataifa na sheria ngumu za kudhibiti dola.

Ukiwa na bidhaa za ku export na sheria nzuri, dola zipo nyingi tu soko la kimataifa zinatafuta bidhaa.

Watu wanatafuta jinsi ya kupata Konyagi na Dodoma wine, lakini hawazioni katika soko la kimataifa.

Kwa nini? Watanzania hawajajipanga katika exports.

Halafu wanalia dola hazipo.

Dola zitakuwapo vipi wakati kila kitu mna import, mpaka toothpicks?

Hamjui kuwa hivyo vitu mnavyo import ndiyo dola hizo mnatoa nje?

Dola itakuwapo vipi wakati exports ni ndogo sana?

Halafu Waziri wa Fedha anajidai ni mchumi #1 halafu hakuna bajeti yake yeyote aliyonyesha kuwa ana solutions za matatizo yetu ..... Mzee wa TRAB and TRAT....!!
 
Dunia nzima kivipi?! Ina maana hata Marekani kuna uhaba wa dollar..?
Unaweza ukasoma hapa

Kwa Lugha rahisi, Corona na Vita vya Urusi inapelekea mfumuko wa bei, kukiwa na mfumuko wa bei unahitaji hela nyingi zaidi kununua vitu vile vile, ambayo ina ongeza pia circulation ya hela, Serikali kukabiliana na hili inabidi iongeze Interest rate ama kuuza bond ili kupunguza circulation, circulation inapopungua huku kwetu nako tunataabika.
 
Kwa sasa hivi pesa ya kigeni hususani dola haipatikani hata kwenye mabenki ambayo sekta zetu binafsi zinafanya nazo biashara. Mambo yanakwama inapofika kuagiza mahitaji kutoka nje ambavyo ni sehemu ya utekelezaji wa kazi yoyote au mradi. Hata dola 1000 kupata ni tatizo.

Je, kitu gani kinaendelea? Mimi na umri wangu mkubwa tumepitia changamoto nyingi za kiuchumi toka enzi za Mwalimu lakini jambo kama hili halikuwahi kutokea. Sasa tunaelekea wapi? Mbona hata hakutolewi tamko kuelezea hili jambo? Je, waziri wa fedha haoni kwamba hili ni tatizo?

Miaka michache ya nyuma na hususan wakati wa Hayati Magufuli tulikuwa tunapewa taarifa kuwa nchi yetu ina akiba ya kutosha na wakawa wanataja hata kipindi ambacho kama itokee dhiki ya namna gani, kwa akiba iliyopo tungeweza kumudu kuagiza nje kwa miezi kadhaa. Sasa hii akiba imeenda wapi?

Jamani tuzidi kujitafakari, kuna tatizo mahali.
Tupo na Waziri wa fedha mchumi first class Mwigulu Nchemba!
Nchi inachezewa sana!
 
Back
Top Bottom