Radio imaan na sakata la kuchinja

Status
Not open for further replies.
kitoe haraka,hatuwaogopinna ukweli tutausema
KUNA KITABU CHA VITA KINAITWA AHAL BADRI kilipotea mda, kwa sasa nakitoa kopi na kuwauzia ili siku mambo yakiiva walianzishe, hao unao waita mashetani
 
Redio imaan wanalalamikia viongozi wa kikristo waliohimiza waumini wao kutokula nyama iliyochinjwa na watu wa imani tofauti, wanasema hii ndio ilikua mwanzo wa mauaji huko buserere

Swali kwa redio imaan, Mi nikiamua kuchinja nyama yangu tatizo nini? Kwani nikiamua kutokula mlivochinja nyie taabu inatoka wapi?
kiranga chao wanavyo yakashifu dini nyingine wanaona sawa?
 
Redio imaan wanalalamikia viongozi wa kikristo waliohimiza waumini wao kutokula nyama iliyochinjwa na watu wa imani tofauti, wanasema hii ndio ilikua mwanzo wa mauaji huko buserere

Swali kwa redio imaan, Mi nikiamua kuchinja nyama yangu tatizo nini? Kwani nikiamua kutokula mlivochinja nyie taabu inatoka wapi?

Pinda kasema muendelee kuchinja.Nna nguruwe wangu wawili kesho.Ntamtafuta muislam anichinjie
 
Jamaa hebu tuulizane Maswali Muhim
1. Hivi Wakristo walikua wapi Myaka yote kuijua hii Ibada ya Kuchinja?
2. Xpastor/Padre Wilbod Slaa Au Kadinali Pengo mbona wako kimya?
3. Je tuamini kwamba Dini ya Kikristo haijakamilika kisi Ibada nyingine ziwe zinavumbuliwa
 
Uswe usidhan kama unaiskiza peke yako,wao wanasema kwamba kuchinja nyama na wao wenyewe (wakristo) wakaila si tatizo,ila kupeleka mabuchani ndo kutaleta mtafaruku,maana wanaweza wakanunua watu wenye hoteli then wakaenda kuwalisha waislam,

Mbona hao waislam tunakula nao white meat kwasana, kuna mashehe na ma alhaji ukiwakuta serengeti kwenye mahotel makubwa utashangaa, wanapiga kiti moto kwenda mbele
 
Last edited by a moderator:
Mbona hao waislam tunakula nao white meat kwasana, kuna mashehe na ma alhaji ukiwakuta serengeti kwenye mahotel makubwa utashangaa, wanapiga kiti moto kwenda mbele

Hata mwezi wanaouita mtukufu wa Ramadhani kitimoto na pombe huwa mauzo yanashuka sana
 
Jamaa hebu tuulizane Maswali Muhim
1. Hivi Wakristo walikua wapi Myaka yote kuijua hii Ibada ya Kuchinja?
2. Xpastor/Padre Wilbod Slaa Au Kadinali Pengo mbona wako kimya?
3. Je tuamini kwamba Dini ya Kikristo haijakamilika kisi Ibada nyingine ziwe zinavumbuliwa

Tulikuwa tunajua kuwa kuchinja ni kutoa kichwa cha ngombe au kuku sasa tumeshituka kuwa kuchinja kwenu ni ibada na sisi biblia haituruhusu kula chakula cha matambiko. period

Hata kwangu mpaka majuzi nilikuwa namuita rafiki yangu muislam kunichinjia kuku, lakini sasa nishajua kuwa kuchinja ni ibada baaaasi tena, sasa napiga panga mwenywe
 
Nani alimkataza muislamu kujenga shule/hospitali? MoU mnayoipigia kelele inainufaisha pia hospitali ya Agha Khan, nayo ni ya kanisa? Halafu hiyo pesa inayohusiana na MoU inatolewa na makanisa ya Ulaya hasa Ujerumani, unalijua hilo???

kwanini serikali ifanye makubaliano na hayo makanisa, wakati huohuo hamtaki serikali ifanye makubaliano na oic?? iwe balance kwa pande zote.
 
Anae ng'ang'ania ni huyo anaetaka kuingia kwa fitina zote na yeye achinje ikiwa hapo kabla alikuwa hachinji !
Ikiwa hiyo shughuli ni kubwa, bila shaka kanisa halina freelancers wa uchinjaji !
Ukiwa mapepo mnatolewa kwa malipo sembuse uchinjaji wa kibiashara !?

Hata kwangu mpaka majuzi nilikuwa namuita rafiki yangu muislam kunichinjia kuku, lakini sasa nishajua kuwa kuchinja ni ibada baaaasi tena, sasa napiga panga mwenywe

Vipi tena hili la mapepo umemind kwa kuwa mashehe huwa wanafugaga?
 
Uswe usidhan kama unaiskiza peke yako,wao wanasema kwamba kuchinja nyama na wao wenyewe (wakristo) wakaila si tatizo,ila kupeleka mabuchani ndo kutaleta mtafaruku,maana wanaweza wakanunua watu wenye hoteli then wakaenda kuwalisha waislam,
Sasa wakichinja waislamu wakaipeleka kwenye mabucha wakainunua wenye mahoteli si wanaweza wakawalisha wakristo pia? huoni kuwa hilo ni tatizo pia? Au unadhani nyama akichinja muislamu kwa dua ya kiislamu ni sahihi kwa mkristu kuila?
 
Redio imaan wanalalamikia viongozi wa kikristo waliohimiza waumini wao kutokula nyama iliyochinjwa na watu wa imani tofauti, wanasema hii ndio ilikua mwanzo wa mauaji huko buserere

Swali kwa redio imaan, Mi nikiamua kuchinja nyama yangu tatizo nini? Kwani nikiamua kutokula mlivochinja nyie taabu inatoka wapi?

Kwanini wao wachinje tule ila sisi tukichinja hawataki? Na kwanini wakimbilie kuuwa watu huku vyombo vya sheria vipo? Nadhani ni ufupi wa fikra tu
 
Basi nina bucha langu la kiti moto wawe wanakuja kunichinjia na malipo ni 2kg za nyama yake
 
Kuna bwana anaitwa Daniel, kapiga simu na kuwaelewesha kuhusu MOU bila shaka wameelewa

Kiongozi wao akiongea kwa simu amewaambia wasipoteze muda kwa habari ya kuchinja, kama wakristo wakitaka kuchinja waachwe wachinje, cha msingi waislamu wakipange waweke nembo ktk bucha zao ili waislamu wanunue huko....simple!

Ya Daniel umeyasikiliza vipi kuhusu majibu aliyoyatoa Saidi Jafu kumjibu Daniel mbona hukutwambia, na Je yupi yupo sahihi kati ya Kikwete na Daniel?
 
Redio imaan wanalalamikia viongozi wa kikristo waliohimiza waumini wao kutokula nyama iliyochinjwa na watu wa imani tofauti, wanasema hii ndio ilikua mwanzo wa mauaji huko buserere

Swali kwa redio imaan, Mi nikiamua kuchinja nyama yangu tatizo nini? Kwani nikiamua kutokula mlivochinja nyie taabu inatoka wapi?

Mkuu maswali haya magumu mno kwa vichwa vya nazi
 
wewe ni mpelelezi nini?haya tuambie aliyeua ZANZIBAR ANAITWA NANI?MAANA USHAAMUA KUWA PADRI AMEUAWA NA WAISLAM,so na katubu wa mufti mlimmwagia ninyi hiyo tindikali?

waliomuua padri ni wana uamsho wenye msimamo mkali. Na pia ndio haohao waliomwagia tindikali sheikh wa bakwata; kwakuwa uamsho wao wanaona ndio waislamu hasa
 
waislamu ni kuwakandamiza sana. Kama mtume wao alivosema uislamu ulikuja hali ya ugeni na unaondoka hali ya ugeni. Kama unabisha we unayejiita eti muislamu sema.
Mkiendelea kubisha tunawabatiza kwa nguvu iwe kwa maji mengi au machache mkiendelea kubisha, tunawaokoa kwa nguvu na Yesu ni Mungu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom