Radio Imaan: Kikwete anajipendekeza kwa wakristu!

Status
Not open for further replies.
Unajua hata Mimi nilipokuwa Dogo,nilijengwa hofu kubwa sana juu ya msaafu na bibilia.Baadae nilikuja kugundua kuwa haya ni maandishi tu pale nilipo muona Mtu mmoja anavutia tumbaku karatasi za vitabu hivyo.
NDUGU ZANGU WAISLAM,ELEWENI KWAMBA HAYO NI MAANDISHI TU NA YAMEANDIKWA NA WATU KAMA SISI,CHA MSINGI NI IMANI NDANI YA MIOYO YETU,NJE YA HAPO HATA MTU AKINYEA,HAKUNA TATIZO NA HATA MTU AKIKITUNZA NDANI YA BOX LA DHAHABU,KAMA HAKUNA IMANI NI BURE TU...
 
sio kweli makosa yenu hamyaoni?, bila kijana huyo kukojolea quran mengne yasingetokea. Hatuungi mkono kuchomwa makanisa lakin tunashangaa mnapuuzia alichokifanya kijana wenu na mnakiona ni sawa

kwa maoni yangu yule mtoto "mkristo" alifanya vizuri kuikojolea maana alimsaidia na yule wa kiislamu kufahamu kuwa amesadikishwa uongo. Kuanzia siku hiyo, yule mtoto wa kiislamu anafahamu ukweli kuwa mtu hawezi kubadilika na kuwa nyoka au paka kwa kukojolea kitabu hicho. Kwa sababu kama angeendelea kuamini hivyo, angekuwa anamini uongo. Hakuna haja ya watu kuamini upotofu.

Hii itawasaidia na watoto na waislamu wengine kufahamu ukweli

quality
 
sio kweli makosa yenu hamyaoni?, bila kijana huyo kukojolea quran mengne yasingetokea. Hatuungi mkono kuchomwa makanisa lakin tunashangaa mnapuuzia alichokifanya kijana wenu na mnakiona ni sawa

Busara ya kawaida hivi hiyo quran ilikua imebaki moja tu aliyoikojolea huyo kijana? Kuna nakala ngapi dunia hii za quran za lugha tofauti? Quran ni karatasi tu ambazo ukiziweka vibaya mchwa/panya wanaweza wakazila.! Cha msingi ni maandiko yaliyomo ambayo mtu anapaswa afundishwe na kuyafuata hata huyo mtoto mngetumia nafasi hiyo kumuelimisha labda angeslim na kuja kuwa shehe mzuri baadae lakini kwa mlivyofanya mnawafanya watu wakose iman na dini yenu.na kuyaamini mataifa ya magharibi yanayohusisha uislam na Ugaidi!
 
suala la mbagala kila upande utasema yakwake hapa makosa yamefanyika pande zote mtoto kakosea na kwa kuwa alishakamatwa na kuwekwa polisi maandamano ya fujo hayakustahili kuwepo. Lakn pia matukio kadhaa huko nyuma ikiwepo la mwanza mchungaji kuichoma quran na serikali haikufanya llte maana hakupewa adhabu yyte, ni wazi vitebdo hivyo vinachochea chuki miongoni mwa jamii ya Tanzania, ieleweke wazi dini hizi ni tofauti na daima zitabaki hivyo kwahyo lazima watanzania tuish kwa kuzielewa tofauti hizo na sio vinginevyo. Akifanya kosa muislamu sheria imhukumu na akifanya kosa mkristo sheria imuhukumu.
Nakubaliana nawewe sheria ichukue mkondo wake. Kwanini waislamu hawataki kuacha sheria ichukue mkondo wake? Huyo kijana si amekamatwa? Kuchoma makanisa ndio sheria kuchukua mkondo wake? Huyo Mungu aliywaambia watu wampiganie ndiye aliyewadanganya. Kawadanganya kuruani ikikojolewa mtu anageuka paka. Kuzima zari kawaambia muueni mtu kama huyo na kuchoma makanisa. Huyo Mungu hata maamuzi hana. Hana anachoweza kukifanya kwa wale wasioamini uchawi wake na majini kwani uchawi unafanya kazi kama unamiali au anauakisi. Sasa kwa wale wasioamini huyo Allah miali ya kichawi na kimajini haifanyi kazi. Mwisho Allah anavimba hasira anaamrisha waumini wake wamuue yule aliyeshinda uchawi na majini yake. Hakuna Mungu hapo. Mazingaombwe tu.
 
sio kweli makosa yenu hamyaoni?, bila kijana huyo kukojolea quran mengne yasingetokea. Hatuungi mkono kuchomwa makanisa lakin tunashangaa mnapuuzia alichokifanya kijana wenu na mnakiona ni sawa
Huyu hakuwa kijana kwa maana unayotaka tuamini. Alikuwa mtoto akitaniana na mtoto mwenzie. Hebu nikuulize wewe kwa akili yako unaweza kuchukua Msahafu Mtukufu uende ukakojolewe? Na ukifanya hivyo hata kama ni mtu mzima tutakuita mtoto. Hata huna maadili na mapenzi na dini yako. Hawa walikuwa ni watoto wasiojua kuheshimu mambo matakatifu. Unapolazimisha tumuone aliyekojolea ni mkubwa au mwenye makosa zaidi ambaye alifanya hivyo kwa nia ya kutaka kuona hasira ya waislamu, na kuacha kuuona ukweli kuwa aliyeuleta Msahafu si kwa nia ya kuusoma bali kuukojolea ndiye mtu mwema asiyestahili lawama ndipo unapowashangaza wale wanaoliangalia jambo hili kwa mizania iliyo sawa. Mimi nadhani mtoto wa kiislamu asingeleta Msahafu ili ukojolewe haya yasingetokea. Sijui unalionaje hilo?
 
ANGALIZO:

Kama redio imaan haitaacha kutoa kauli za kuchochea vurugu na kuwatukana waksristo , tutachukua jukumu la kuizima hiyo mitambo wenyewe bila kusubiri serikali hii dhaifu.

Redio imaan ifanye kazi ya kuhabarisha na kuburudisha, ila sio kuhamasisha chuki na vurugu.

Serikali imeshindwa sisi tutafanya.

Kwa Ukombozi wa Taifa.
 
Hatutaki vitisho tunakaribisha huja zenye mshiko kabla Redio imani haijafungiwa, hoja zako kuwa Redio imani inachochea na kuwatukana wakiristo nizamuda mrefu zimepitwa na wakti, try again

Na kama unataka kuleta fujo, vijana wa mjini huwawezi wewe na wazee wako mtaama nchi
 
Maana tunaweza kudhani kwamba kilicho wakasirisha waislamu ni Quran kukojelewa. KUMBE UKWELI hasira za WAISLAMU zimetokana na MTOTO huyo kutogeuka kuwa MJUSI!

Nakubaliana na ww kabisa, hasira ya waliovamia na kuharibu makanisa haitokani na msahafu 'kukojolewa' bali mtoto anayeaminiwa kukojolea kuthibitisha kinyume chake na hivyo kupunguzia kiwango cha imani ya watoto wa madrasa walikuwepo kuhusu 'nguvu' ya msahafu[/QUOTE]
Hivi kama huyu mtoto angekuwa chizi kama matokeo ya kukojolea Msahafu, waislamu wangekuwa na sababu ya kuchoma makanisa. Si wangekuwa wamethibitisha kuwa Msahafu na Uislamu si vitu vya kuchezewa? Wangetaka kweli kummalizi kichaa kwa kumuua?
 
Radio Imani inaonekana kuwa ima mali ya CCM au mzito mmojawapo wa chama kama siyo serikali. Maana inawezak uvunja sheria zote vitabuni na hakuna anayeigusa. Kumekuwa na udini unaoungwa mkono na serikali huku wanaopendelewa wakijifanya hamnazo kusema eti kuna mfumo-kristo. Mfumo gani Kristo usimamiwe na muislam Jakaya Mrisho Kikwete? Mfumo gani Kristo uwaruhusu warundi kama vile Ponda Issa Ponda kuhubiri maangamizi na wasiguswe? Mfumo gani Kristo uvumilie uchomaji wa makanisa? Jamani tujitahidi kuwa wakweli kuwa Tanzania sasa inaelekea kwenye Islamic Theocracy kama ile ya Iran. Tumefikia kuwahusudu Iran hadi kuwaruhusu watumie bendera yetu kufanya biashara haramu!
 
Hivi sisi waislamu kwanini tunakuwa vyanzo vya vurugu. Kwani huyu Mungu wetu tunayemsujudia hana uwezo wa kuadhibu mwenyewe watu wanaochezea vitu vyake vitakatifu? MPAKA SISI WALA KITI MOTO NA WALEVI tumsaidie? Wafanyabiashara wanatushitaki kuwa wakati wa Ramadhani biashara ya KITIMOTO iandorora na BAR kunazubaa. Ah Kumbe wateja ndo sisi !!!!. Basi sisi ni wabaya kuliko MTOTO aliyekojolea Quran. Kwanza ni mtoto amefanya mambo ya kitoto. Lakini sisi watu wazima tukafanya mambo ya kipumbafu - Kuvunja nyumba za Ibada. Huu ni wendawazimu. Hivi Wenzetu Wakristo wanakazana na elimu, sasa hivi karibu watakuwa na vyuo vikuu vya wilaya sisi tunasuasua na kile kimoja tu tulichopewa zawadi na Rais Mkiristo pale Morogoro. LET WAKE UP tuache kukimbia barabarani kama vichaa tufanye mambo ya maendeleo kwa watoto wetu. TUACHANE NA MAMBO YA MIKOJO
 
na wewe unakuwa kama wale wale waliochoma makanisa kwa kuraani kukojolewa.

Kwa radio ndio imechoma makanisa??

Hao wa radio kama kuna masharti wanakiuka, serikali iwape muongozo au adhabu stahili.
 
Chonde chonde usiichome moto utazua msala wa kufa mtu.Ukiristo ni dini ya upendo,amani.
tuwasamehe kwani hawajui walitendalo.
 
why do you expose your ears to those gays, stop listening it and enjoy your life. au wewe ni mtangazaji au mmiliki wa hiyo radio unitafutia wasikilizaji hapa?
 
Kwa hiyo elim mliyosoma ndio mmefundishwa kuhubiria watu kuwa wakikojolea misahafu wanakua panya?
Hawa watotoyawezekana walikuwa kwenye utafiti ili wajue wanachoambiwa na watu wazima kuwa anayechoma Msahafu anakuwa kichaa au kugeukakiumbe kingine yana ukweli au wanazugwa tu. Hata huyu mtoto wa kiislamu hainijii akilini kuwa alikuwa anaiamini kauli ile ndiyo maana akakubali kuchukua msahafu wa baba yake ukakojolewe ili apime kama vitisho vile ni vya ukweli. Kuna haja wazazi tusitoe vitisho visivyo na ukweli kwa watoto. Wao hupenda kuvithibitisha hawakubali nadharia tupu.
 
Tz ikichafuka wadogozangu nitawapeleka wapi? Nyie acheni tu! Kikwete akiamua anaweza ila ni mdhaifu mno!
 
Hii redio sijawahi kuisikia na nimepata ushawishi mkubwa wa kuisikiliza naomba wapanue coverage.
 
na wewe unakuwa kama wale wale waliochoma makanisa kwa kuraani kukojolewa.

Kwa radio ndio imechoma makanisa??

Hao wa radio kama kuna masharti wanakiuka, serikali iwape muongozo au adhabu stahili.

Suala sio redio nina imani kabisa redio ilianzishwa kwa jambo jema kabisa lakini jins imavyotumika imekuwa tofaut na dhima ambayo wengi tunadhani nikukuza iman na kutoa mafundisho ya jinsi yakumjua na kumtumikia mwenyeenzi mungu, lakini redio inaendeshwa kimajungu na kukashifu imani ya watu wengine je ni mungu yupi huyu atakayependa atumikiwe kwa kuuana na kuchoma nyumba za ibada, rai yangu dawa si kuchoma redio maana itakuwa UTAHIRA KAMA MATAHIRA WALIVYO FANYA KUCHOMA MAKANISA.mimi nawaita matahira wasiokuwa na uwezo wakufikiri kuwa wanachokifanya sio sahihi bali wamezoea kuona matahira wenzao wanayo yafanya katika nchi za asia na mashariki ya mbali,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom