Radio Imaan: Kikwete anajipendekeza kwa wakristu!

Status
Not open for further replies.

marksalewi

Member
Apr 7, 2012
96
25
Nasikiliza radio imani sasa hivi, wanaongelea kuhusu kukojolewa kwa quran na kuchomwa kwa makanisa.

Wanasema polisi wanatumia kodi za wananchi kuwadhibiti badala ya kuangalia chanzo.

Pia wanasema Mzee mkubwa (Raisi) ameenda kujipendekeza kwa kutembelea makanisa yaliyochomwa. Kwao hili limewakera sana.

my take Serikali ianataka ushahidi gani juu ya uchochezi huu kuifungia radio hii?
 
People who live a life of tenacity and challenge break through all the obstacles they face just as water eventually carves a path through rock. Be strong like constantly flowing water,ever moving forward.
 
Hata mimi nimesikia hii radio imaaan ikiendelea kuhubri chuki namna hii yatatukuta mengi
 
sio kwamba huyu ****** anajipendekeza, mimi naona anawaogopa waislamu, hivi hili nalo lahitaji kwenda fanya utafiti au? achilia mbali kukojolea msaafu, hizo vurugu, uharibifu lofanyika unachukuliwaje? amechukua hatua gani? sio hizi mambo jambo things tunasikia ata wamekamatwa vijana and the like? si kuna ushahidi wa picha za video, picha za kunata zikionesha watu walofanya huo uhasimu. kwa nini serikali isitumie hizo na kuwaadhibu hao kwanza maana haya ni mambo ma2 tofauti kabisa yani la kukojolewa msaafu lishughulikiwe tofaouti na hili la uharibifu na vurugu? naona maada iwe je ****** na anawaogopa hawa ndugu au anawaheshimu?
 
suala la mbagala kila upande utasema yakwake hapa makosa yamefanyika pande zote mtoto kakosea na kwa kuwa alishakamatwa na kuwekwa polisi maandamano ya fujo hayakustahili kuwepo. Lakn pia matukio kadhaa huko nyuma ikiwepo la mwanza mchungaji kuichoma quran na serikali haikufanya llte maana hakupewa adhabu yyte, ni wazi vitebdo hivyo vinachochea chuki miongoni mwa jamii ya Tanzania, ieleweke wazi dini hizi ni tofauti na daima zitabaki hivyo kwahyo lazima watanzania tuish kwa kuzielewa tofauti hizo na sio vinginevyo. Akifanya kosa muislamu sheria imhukumu na akifanya kosa mkristo sheria imuhukumu.
 
Tafsiri ya biblia hawaijui kweli halisi.

sio kweli makosa yenu hamyaoni?, bila kijana huyo kukojolea quran mengne yasingetokea. Hatuungi mkono kuchomwa makanisa lakin tunashangaa mnapuuzia alichokifanya kijana wenu na mnakiona ni sawa
 
mnafikiri hata hekima kidogo tu kanyimwa kam anyie ma empty minded
 
sio kweli makosa yenu hamyaoni?, bila kijana huyo kukojolea quran mengne yasingetokea. Hatuungi mkono kuchomwa makanisa lakin tunashangaa mnapuuzia alichokifanya kijana wenu na mnakiona ni sawa

Mimi ninachojiuliza supposed huyo MTOTO angekojolea Quran na halafu angeuka KWELI kuwa MJUSI baso WAISLAMU wangefanya fujo na kuchoma makanisa?! (Remember yalikuwa mabishano kati ya watoto wawili Mwislamu V Mkiristu)

Maana tunaweza kudhani kwamba kilicho wakasirisha waislamu ni Quran kukojelewa. KUMBE UKWELI hasira za WAISLAMU zimetokana na MTOTO huyo kutogeuka kuwa MJUSI!
 
Jamani hawa wenzetu shule empty! shule waliipa kisogo.Dhaifu anawapa jeuri na redio yao ya wafu.
Wewe uleyosoma naona unaandika pumba.....

Umetumwa na kanisa au CHADEMA....?
maana hata hamueleweki Hoja ikimuhusu muislamu mnatoa kashfa tu badala ya kujadili hoja.....jipeni moyo hivyo hivyo eti waislamu hawajasoma...ilikuwa miaka hiyoooooooooooo......mtabaki hivyo hivyo ..shule empty ndio nini...wewe utakuwa mkimbizi tu..unataka kutuharibia nchi yetu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom