Radio Imaan: Kikwete anajipendekeza kwa wakristu!

Status
Not open for further replies.
sio kweli makosa yenu hamyaoni?, bila kijana huyo kukojolea quran mengne yasingetokea. Hatuungi mkono kuchomwa makanisa lakin tunashangaa mnapuuzia alichokifanya kijana wenu na mnakiona ni sawa

Ebu tuangalie chanzo cha tukio hili. Ni kijana yule mdogo kumuadaa kijana mwenzake kwamba akinajisi Quaran atakufa au kugeuka mjusi! Kijana akafanya kweli. Maandiko yanasema "usimtie mwenzako katika kishawishi" Bila yulre kijana kumtia kishawishi mwenzie tusingefika hapa.
 
Mungu anasema ktk kitabu chake qur'aan "Mmeruhusiwa waislam kupigana jihad kwa sbb mmedhulumiwa" kwenye aya nyngne "Hakika Allah (s.w) ana nunua kwa waumini roho zao na mali zao ili akawalipe pepo"...2shatangaziwa jihad

Pole sana kaka. Saa inakuja tena imekaribia utakapokuja kujua ukweli na na huo ukweli utakuweka huru. Hakuna wokovu katika mwingine yeyote isipokuwa kwa YESU KRISTO PEKEE.
 
wewe sio mwislam bali ni mpagani, kwa taarifa yako redio iman inajibu kejeli zinazo fanywa dhidi ya uislam, kwani hakuna jipya wanaloanzisha, bali kila wanachosema kiko kwenye ushahidi wa maandiki kutoka vyanzo vya kuaminika, sema tu kwa sababu wamekuwa wakielimisha watu kujua ukweli, na ukweli katka nchi hii ni uongo basi ndo maana sikushangai wewe mpagani unahamaki bila kujua na kutuhumu redio imani, mbona vyombo vingi sana vya habari vinareport habari za udaku tena zinazohatarisha usalama wa nchi mnakaa kimya, leo eti redio imani ifungwe kwa sababu watu wamekojolea Qur'an na kuchoma makanisa. Je unajua redio iman ikifungwa unajua nn kitatokea? Tafakari.
nina wasiwasi na elimu yako, na kama unahisi kwamba uchochezi ndo dini ya mwenyezi mungu inataka hivo kweli wewe ni mlevi wa dini, kwa taarifa yako hicho kinachofanywa na hao akina ponda na mohamed issa ni maasi dhidi ya dini ya mwenyezi mungu. Hivi unajua maana ya uislamu? Nyinyi ni miongoni mwa watu mnaouharibu uislamu mbele ya walimwengu. Je amani ikishatoweka tanzania je utamcha mwenyezi mungu kama ipasavyo?. Tumia akili usidanganywe na akina ponda waliotaka kumng'oa mufti, kwa sababu ya kizembe tu. Ningekuwa rais ningeshafunga hii redio mapema. Jifanye wewe ni muislamu safi kuliko wengine kwa uovu wako huo!
 
Mtoto alichofanya siyo sahihi LAKINI WATU WAZIMA NA VIONGOZI WAO KWENDA KUCHOMA MAKANAISA ETI TU KWA SABABU MTOTO AMEFANYA KOSA NI UHAYAWANI WA HALI YA JUU AMBAPO HAUSTAHILI KUTETEWA.

Mtoto aliyefanya hivyo hakutumwa na wakristo wala hakutumwa na wazazi wake, sasa kwa nini kosa la huyo mtoto waende kuadhibiwa wakristo, tena adhabu yenyewe ni kufanya fujo na uharibifu. Kama waislam waliomwona mtoto akikojelea msahafu, wakimkamata mtoto yule pamoja na aliyekuwa akibishana naye, na kisha kuwacharaza bakora, mimi ningewapongeza, maana mtoto angekuwa anafundishwa na kupelekewa ujumbe kuwa alichofanya si sahihi. Hiyo ndiyo adhabu kubwa kabisa anayoweza kupewa mtoto wa miaka 14, sidhani kuna nyingine zaidi ya hiyo.

HIVI MTOTO MKRISTO IKITOKEA AMEENDA KWENYE NYUMBA YA MUISLAM AKAJISAIDIA HAJA KUBWA, waislam fanatics watu wazima wote watavua kanzu zao na mabaibui kwenda nao kujisaidia makanisani au kwenye nyumba za wakristo kwa maelezo kuwa wanalipiza kisasi?

Tofauti ya watu wazima na watoto ni uwezo wa kufikri, kuchambua na kutoa maamuzi ya hekima. Na ndiyo maana mtu mzima unapofanya mambo ya ovyo unaambiwa, 'huyu ana mambo ya kitoto'.

Waislam nao hawahoji juu ya mtoto muislam aliyekuwa akibishana na mtoto mkristo kuwa ukikojolea msahafu utakuwa kichaa, alikuwa na sababu ya kusema hivyo? Maana hapa chanzo cha kukojolewa msahafu ni mtoto wa kiislam kumweleza mtoto wa kikristo kuwa msahafu ukiukojolea utakuwa kichaa. Watoto waliamua kufanya majaribio kuhakikisha kauli walizokuwa wakibishania.

Waislam hawa kama wangekuwa na roho ya Mungu, kwanza wangemhurumia mtoto yule kwa uovu aliotenda, na kisha kwenda kwa wazazi wake kumshtaki kwa kitendo alichofanya. Maana hata huko polisi, akipelekwa mahakamani, kutokana na umri wake ataachiwa licha ya kwamba alifanya kosa. Mtoto huyu anastahili kufunzwa juu umuhimu wa kuheshimu imani zetu lakini siyo kuondolewa uhai wake kama hawa wanavyoonekana kudhamiria. Mtu yeyote anayeendekeza mauaji lazima ana roho ya shetani, siyo Mungu hata kidogo.

Vitendo vya kipuuzi vilivyofanywa na muslims fanatics vinaudhalilisha uislam na kuona ni dini isiyo na subira, isiyoweza kutumia hekima ya Kimungu, na isiyo na huruma kwa viumbe wa Mungu. Wapo waislam wengi tu, kama tulivyo wakristo, baadhi ya matendo yetu, hata kwa kipimo cha ubinadamu, ni matendo maovu. Mbona Mungu anatuvumilia na tunaendelea kuishi? Kwa nini Mungu hashushi jehanam utuangamiza watu wote kila tunapomkosea? Kama ni mwumini wa Mungu ni lazima uige huruma ya Mungu.

Hawa wote waliofanya vitendo hivyo, ninaamini si wafuasi wa Mungu na wala hawaitetei dini ya Mungu bali wanaishi kuutukuza ufalme wa shetani.


sio kweli makosa yenu hamyaoni?, bila kijana huyo kukojolea quran mengne yasingetokea. Hatuungi mkono kuchomwa makanisa lakin tunashangaa mnapuuzia alichokifanya kijana wenu na mnakiona ni sawa
 
sio kweli makosa yenu hamyaoni?, bila kijana huyo kukojolea quran mengne yasingetokea. Hatuungi mkono kuchomwa makanisa lakin tunashangaa mnapuuzia alichokifanya kijana wenu na mnakiona ni sawa

mkuu nakubaliana na wewe kabisa kijana kufanya makosa ya kukujolea quaraan lakini kwanini huyo kijana ambae ni muislam hajui thamani ya hiyo quraani kama ni kitabu kitakatibu alitakiwa akitunze sehemu ambayo ina heshima na sio kumpelekea huyo kijana sijui chooni au barabarani inawezekana pia hata huyo kijana muislam hajapita katika madrasa vizuri, hata kama mimi mkristo siwezi kuchukua biblia nimpelkee mtu eti kujolea kama unaweza nitaonekana hata mimi ni mjinga niliyeipeleka, suala sio kulaumu upande mmoja wote lazima waadhibiwe aliyeipeleka na aliyeikojolea.
 
sio kweli makosa yenu hamyaoni?, bila kijana huyo kukojolea quran mengne yasingetokea. Hatuungi mkono kuchomwa makanisa lakin tunashangaa mnapuuzia alichokifanya kijana wenu na mnakiona ni sawa

Hizi ni changamoto katika jamii. Shetani anataka kuvunja uelewano uliopo kati yetu sisi waTZ. Kitendo alichokifanya huyo mtoto ni kibaya kuliko lakini Mwenyezi Mungu ndiye atakae mhukumu huyo kijana sio sisi. Gravity ya uharibifu wa mali ni mkubwa kuliko kitendo cha yule kijana. Tungemhukumu yule kijana kama yeye na sio Ukristo na watu wake. Matokeo yake ndiyo hayo. Radio za namna hii no uchochezi, tusikaribishe zile Radio zailizochochea mauaji Burundi.
Ashindwe shetani!
 
Bwana Yesu alisema ndugu yako akikukosa unatakiwa kusamehe hata saba mara sabini. Kumbukeni katika masuala ya kiroho (Ukristo) kusamehe ni kwa faida yake yeye anaye samehe. Usiposamehe na wewe Mungu hawezi kukusamehe. Hivyo tuwasamehe wale wote waliofanya kosa la mtoto mmoja mjinga kukojolea kurani kulifanya kuwa kosa la wote ambao hata hawamfahamu mhusika mwenyewe. Tuwapende na kuwaombea. Kiumbe wa kumchukia ni shetani ambaye anawatumia watu kufanya uovu.

Pia alisema ndgu wakikosean hupaswa suluhisha, wakishindwa waende kwa ndugu wa karibu na ikishindikana wapelekwe mikononi mwa sheria,huko mkosefu atatupwa lupango.

Pia alisema utawajuwawa zizi hili kwa matendo yao.Waislam si wa zizi hili lenye walio wa Mungu.Hawawezi subiri kwani nia yao ni damu, nakusubiri kwao kutonyesha ukweli na nia yao haitotimia.Wao niw atu wa kutawanya si wa kukusanya.
 
ni mavuno yameanza baada ya kupanda mbegu.

mpanzi wa hizo mbegu nbi kikwete mwenyewe....hata waislamu wanapomlaumu wanamuona ni mnafiki tu kwa sababu hayo ndiyo maisha bora aliyowaahidi waislamu kuwa atawalinda na maneno na matendo yao!
 
Hizi ni changamoto katika jamii. Shetani anataka kuvunja uelewano uliopo kati yetu sisi waTZ. Kitendo alichokifanya huyo mtoto ni kibaya kuliko lakini Mwenyezi Mungu ndiye atakae mhukumu huyo kijana sio sisi. Gravity ya uharibifu wa mali ni mkubwa kuliko kitendo cha yule kijana. Tungemhukumu yule kijana kama yeye na sio Ukristo na watu wake. Matokeo yake ndiyo hayo. Radio za namna hii no uchochezi, tusikaribishe zile Radio zailizochochea mauaji Burundi.
Ashindwe shetani!

They will never wait.Nia yao ni uovu na kila nafasi waipayo ni golden chance.Wangesubiri nafasi ingewaponyoka.Shetani huwa huwa asubiri tena linapokuaja suala la kufanya fujo mkataba wake na watu wake ukivunjwa.Huangamiza familia aharaka ili usipate muda hata wa kuombaa msamaha kamakweli ulitenda.Hawa jamaa wapo ktk dini hatari na mitazamo hatari.Wapo wanaoujua ushetani wahii dini yao,ila ndio waliyoichagua.Kama wachaguavyo wachawi au majambazi ndivyo walivyochagua dini hii.

Kwa taarifa yenu hii nchi imejaa washeikh wanaokwenda kuzimu kila siku na hata ukitaka unaweza pelekwa mchana kabisa ukawaombe risiki hao waishio huko.Nawaambia kitu halisi kinachofanywa na uislam.
 
nimeamini hawa jamaa wana mafundisho ya uwongo, yule mtoto kafundishwa eti kuran ikikojolewa unageuka paka sijui mjusi! Katika akili ya kawaida ambayo huitaji kwenda chuo kikuu, dogo hakukubali, kaikojolea na hakugeuka paka. Kumbe wajinga ndo waliwao!
 
Its risk business ila ningeweza wapa link ya waganga wa vitabu vya kiislam ambao wakikuandaa wanaweza kupeleka kuzimu ukawaombe wazee "mizimu" ili upate vyote vyeo,mali n.k na kuwapa ahadi utawarejeshea nini baadaye.Huku hata JK amekwenda na ndipo ilipo power ya wazee wa kiislam wa saigon na mwingine ushahilini ktk miji yote nchini.

Wengi wamekwenda huko, na wengi wamelia sana baadaye kwani huko kuzimu kuna watu wa kutisha sana na uwezekano wa mtu asiye jasiri kutoa ahadi za kutomfunga ni mdogo sana.Wengi wa waendao lazima waandaliwe kabla ya kwenda huko.Kwa anayetaka hiyo adventure sitoweza msaidia kwa sababu za kiusalama ila akijituma watafuta wataaalamu, maeneo ya pwani atawapata na watamfikisha.Ila jiandae kumkana Mungu kwa njia nyingi sana na hicho ni kiapo shetani hapendi ukitengue.Ni mojawapo ya sifa za kukufanya uwe mchafu kabisa ili ustahili kufika huko.Islam ndio dini inayopewa nafsi sana hapa.Masherrif wengi wanaogopwa duniani kwa nguvu walizopewa humu, na wanapenda hayo maisha ya kibwanyenye.Mtashangaa sana wafanyayo wiaslam ila ni one to one mapping na matukio mengi ya kuzimu.Kule kuzimu jamaa hucheka vibaya kwa kejeli na kukutaka uwanyenyekee kwa kuwasujudu na kuwaomba kwa heshima.
 
Mimi ninachojiuliza supposed huyo MTOTO angekojolea Quran na halafu angeuka KWELI kuwa MJUSI baso WAISLAMU wangefanya fujo na kuchoma makanisa?! (Remember yalikuwa mabishano kati ya watoto wawili Mwislamu V Mkiristu)

Maana tunaweza kudhani kwamba kilicho wakasirisha waislamu ni Quran kukojelewa. KUMBE UKWELI hasira za WAISLAMU zimetokana na MTOTO huyo kutogeuka kuwa MJUSI!

Teh teh, Bobuk wacha matata!
 
mtoto alichofanya siyo sahihi lakini watu wazima na viongozi wao kwenda kuchoma makanaisa eti tu kwa sababu mtoto amefanya kosa ni uhayawani wa hali ya juu ambapo haustahili kutetewa.

mtoto aliyefanya hivyo hakutumwa na wakristo wala hakutumwa na wazazi wake, sasa kwa nini kosa la huyo mtoto waende kuadhibiwa wakristo, tena adhabu yenyewe ni kufanya fujo na uharibifu. Kama waislam waliomwona mtoto akikojelea msahafu, wakimkamata mtoto yule pamoja na aliyekuwa akibishana naye, na kisha kuwacharaza bakora, mimi ningewapongeza, maana mtoto angekuwa anafundishwa na kupelekewa ujumbe kuwa alichofanya si sahihi. Hiyo ndiyo adhabu kubwa kabisa anayoweza kupewa mtoto wa miaka 14, sidhani kuna nyingine zaidi ya hiyo.

hivi mtoto mkristo ikitokea ameenda kwenye nyumba ya muislam akajisaidia haja kubwa, waislam fanatics watu wazima wote watavua kanzu zao na mabaibui kwenda nao kujisaidia makanisani au kwenye nyumba za wakristo kwa maelezo kuwa wanalipiza kisasi?

tofauti ya watu wazima na watoto ni uwezo wa kufikri, kuchambua na kutoa maamuzi ya hekima. Na ndiyo maana mtu mzima unapofanya mambo ya ovyo unaambiwa, 'huyu ana mambo ya kitoto'.

Waislam nao hawahoji juu ya mtoto muislam aliyekuwa akibishana na mtoto mkristo kuwa ukikojolea msahafu utakuwa kichaa, alikuwa na sababu ya kusema hivyo? Maana hapa chanzo cha kukojolewa msahafu ni mtoto wa kiislam kumweleza mtoto wa kikristo kuwa msahafu ukiukojolea utakuwa kichaa. Watoto waliamua kufanya majaribio kuhakikisha kauli walizokuwa wakibishania.

Waislam hawa kama wangekuwa na roho ya mungu, kwanza wangemhurumia mtoto yule kwa uovu aliotenda, na kisha kwenda kwa wazazi wake kumshtaki kwa kitendo alichofanya. Maana hata huko polisi, akipelekwa mahakamani, kutokana na umri wake ataachiwa licha ya kwamba alifanya kosa. Mtoto huyu anastahili kufunzwa juu umuhimu wa kuheshimu imani zetu lakini siyo kuondolewa uhai wake kama hawa wanavyoonekana kudhamiria. Mtu yeyote anayeendekeza mauaji lazima ana roho ya shetani, siyo mungu hata kidogo.

Vitendo vya kipuuzi vilivyofanywa na muslims fanatics vinaudhalilisha uislam na kuona ni dini isiyo na subira, isiyoweza kutumia hekima ya kimungu, na isiyo na huruma kwa viumbe wa mungu. Wapo waislam wengi tu, kama tulivyo wakristo, baadhi ya matendo yetu, hata kwa kipimo cha ubinadamu, ni matendo maovu. Mbona mungu anatuvumilia na tunaendelea kuishi? Kwa nini mungu hashushi jehanam utuangamiza watu wote kila tunapomkosea? Kama ni mwumini wa mungu ni lazima uige huruma ya mungu.

Hawa wote waliofanya vitendo hivyo, ninaamini si wafuasi wa mungu na wala hawaitetei dini ya mungu bali wanaishi kuutukuza ufalme wa shetani.

hakuna hoja yoyote zaidi ya hii. Kila mcha mungu, (sio mfuata dini) hawezi kwenda mbali na ukweli huu. Ee mungu inusuru nchi yetu.
 
Wewe uleyosoma naona unaandika pumba.....

Umetumwa na kanisa au CHADEMA....?
maana hata hamueleweki Hoja ikimuhusu muislamu mnatoa kashfa tu badala ya kujadili hoja.....jipeni moyo hivyo hivyo eti waislamu hawajasoma...ilikuwa miaka hiyoooooooooooo......mtabaki hivyo hivyo ..shule empty ndio nini...wewe utakuwa mkimbizi tu..unataka kutuharibia nchi yetu

sasa wewe kjn chadema imeingiaje tena mbna sasa unaniaibisha
 
Wewe uleyosoma naona unaandika pumba.....

Umetumwa na kanisa au CHADEMA....?
maana hata hamueleweki Hoja ikimuhusu muislamu mnatoa kashfa tu badala ya kujadili hoja.....jipeni moyo hivyo hivyo eti waislamu hawajasoma...ilikuwa miaka hiyoooooooooooo......mtabaki hivyo hivyo ..shule empty ndio nini...wewe utakuwa mkimbizi tu..unataka kutuharibia nchi yetu

Kwani nani kati yao ni adui yako?Ukweli ni kwamba hata mngepewa elimu bado isingewasaidia shinda islamic logic.Kila kitu kina spiral down to hell.
 
my take Serikali ianataka ushahidi gani juu ya uchochezi huu kuifungia radio hii?
Hizi madrasa zilaaniwe kabisa......elimu wanayofundishana kule ndio maana wanaitwa magaidi......huyu unaweza kuta ni shehe anaongea mambo hayo.......hii deen ni aibu kwa kweli aisee.....

mie naona tujitenge nao....wapewe ka nchi kao wajitawale watakavyo..na wakristo wajitawale kivyao.....wamezidi sana hawa...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom